Babes napenda Mungu atupe uhai nikuone ukiwa katika umri wake. Nakuahidi sitahangaika na vimada. Labda kwenye dharura tu, baaas
Kwanini asingeutumia yeye huo mbunifu kwake mwenyewe ili yeye ndie angekuja kua France president?Mwalimu wa literature, alifundisha Kilatin na Kifaransa. Ndiye mbunifu wa safari ya Macron kisiasa. Akili kubwa.