The first billionaire in tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The first billionaire in tanzania

Discussion in 'Entertainment' started by jibabaz, Apr 23, 2009.

 1. j

  jibabaz Member

  #1
  Apr 23, 2009
  Joined: Jun 23, 2008
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana Jamii,
  Naomba kuwasilisha: The first Billionaire HALALI wa kitanzania is/will be Hasheem Thabeet once he is drafted in the NBA league draft top 5. As it currently projects ni kuwa atakua anywhere from pick #2, #3 and #4. Going at one of those picks will guarantee him anywhere between $3,200,200/= to $3,600,000 a year which translates to roughly Tshs 4 Billion a year. (naomba msaada kama nimekosea hesabu).
  Now since he is the only one (at least to me) ambaye we will actually be able to know how much he makes and where he got it and that to me translates as the FIRST TANZANIAN LEGITIMATE BILLIONARE...[SIZE="3"][/SIZE]

  WANAJAMII MNASEMAJE??
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  it depends una maana gani kusema legitimate

  as far as we are concerned... akina Bakhsressa [yaani aba yao]; alishavuka hiyo marking scheme

  unless una maana nyingine!!!!
   
 3. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Una hakika hamna wauza ashikirimu waliopata vimilioni viwili vitatu kihalali?

  Mimi nilifikiri unasema bilionea in dollars.
   
 4. j

  jibabaz Member

  #4
  Apr 24, 2009
  Joined: Jun 23, 2008
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MTM shukrani..
  nina maana ya kwamba kihalali bila kupitia ki wizi wizi EPA ama Richmond style. Je kina Bakhresa walikua legitimate bila kula hela ya serikali? Je tunajua what their capital was and how they got it?
   
 5. K

  Kalunguyeye Member

  #5
  Apr 24, 2009
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jibabaz nimekupata vizuri sana,huenda kweli akawa Legitimate Billionaire here in Tz !Atleast we know for sure where re comming from......many re doing ramson money !
   
 6. C

  CottonEyeJoe JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2009
  Joined: Jan 8, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  I dont think ni the only one; lets take the example of Omar Issa wa ICF, I am sure this guy is worth more the $4m and as far as I know he earned his money legitimatly through the sell of his stake in Celtel to Zain....That is just one example, I stand to be corrected....
   
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Na ina semekana ndiye mtu binafsi ambaye analipwa kiasi kikubwa cha pesa kuliko watanzania wote huyo bwana Omar Issa. Tunajua mnampenda Hashim lakini hata bongo hatuja chacha kuna wauza mchicha na unga wapiga mawe kuzidi hizo 4 bn. Kuna siku tulikuwa tunamfanyia hesabu mfanyabiashara mmoja wa k'koo tulitaka kulia ana tulipoona turnover yake ni bilioni tatu kwa mwaka mshenzi analipa kodi laki tisa tu.
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Agreed completely, but once again hatuja-substantiate kama SSB alipata pesa kihalali au la na tumeshamtoa kweye list: i like Hashimu Thabiti na nakubali AKIPATA hiyo contract atakuwa the highest paid person Tanzanian in History na labda first legitimate billionaire --- Tusicount SSB off hadi tu-confirm uchafu/USAFI wake
   
 9. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hashim Thabit from Sinza Makuburini to First Legitimate Tanzanian Billionare! What a Journey?
   
 10. G

  GarageRules Member

  #10
  Apr 24, 2009
  Joined: Aug 8, 2008
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na mbongo aliyeshinda powerball mnampatia nafasi gani au mnaongelea paycheck??
   
 11. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mbona unaweka mentality ya "guilty until proven innocent"?

  Onyesha SSB amefanya wapi ufisadi au kupata wapi hela zake isivyo halali then utakuwa na sababu ya kumtoa kwenye list.

  Akifuatisha logic yako, mtu mwingine anaweza kusema hata hashim naye muondoe mpaka watu wafuatilie uhalali wake kwa kila kitu.
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kwani hiyo mentality hairuhusiwi? I suggested SSB, then kukawa na concern which is always expected kwa mazingira ya Tanzania

  Na hiyo logic unayoichanganua ni kweli--- ITS ABOUT LEGITIMACY mzee
   
 13. O

  Ogah JF-Expert Member

  #13
  Apr 25, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Unakumbuka vyakula VIBOVU alivyokuwa akituuzia na hatimaye ilipogundulika vikawekwa mahala ready kwa kuchomwa moto/kuteketezwa!.........

  vingine vilichomwa...vingine vilifanyiw aUmafia na kurudishwa mtaani kuuzwa......i tell you .......only in Tanzania......na hao ndio matajiri wetu wanaogawa sadaka kila Ijumaa.......huku wakitutengenezea Cancer/magonjwa huko mtaani.....damn
   
 14. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  A very cheap thread.

  Huna data za watu wengine jinsi walivyopata mitaji yao na kukuza biashara zao, siyo sahihi kufanya mahitimisho bila ya kuwa na data za kutosha za kufikia tamati unayoitaka wewe.
  Tujifunze kuwa tusiongozwe na hisia badala yake tufanye kazi na kuleta habari zilizokamilika.
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Apr 25, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  YES, A very cheap thread talking about billionaires; LUCKILY, YOU HAVE POSTED A VERY RICH POST!!! hakuna aliyefanya hitimisho na kama umesoma vizuri hakuna hata sehemu moja nimesema SSB ni clean au HAshimu keshapata hiyo contract ---WHO KNOWS NINI KITATOKEA KESHO?

  KAMA YUPO ANAYEONGOZWA NA HISIA BASI SIO MIMI
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Apr 25, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hapo mkuu nimekusoma na inawezekana kabisa kapitia njio chafu kupata pesa--- it is these evidences that can count him off

  BY THE WAY, VILE VIBOVU SIO VYA MOHAMMED ENTEPRISES KIPINDI KILE AMBACHO KUNA YULE MHINDI MNENE ALIYEUA WATU KWENYE CONTAINER NA KUWATUPA MWENGE KIWANDA CHA BAISKELI?
   
Loading...