The Finest, Afrodenzi, Asprin, AshaDii, Mbu, MwanajamiiOne, Lizzy, Teamo

Imeandikwa mvumilivu hula mbivu. Afu kama bado umenuna niambie nilog out.
avatar9760_21.gif


Huyu Asprin sijui alimuibia mtalii gani hiyo laptop
 
Huwa hata mimi wananikosha kwa mada zao especially The Finest na Mbu huwa ninahisi labda this guys watakuwa wameoa

mmmmmh.......apo mmoja bado,mmoja tayari..ila....:confused3:
 
SaraM....hii ni lugha gani.....lol
Hommie mbona unachungulia kwenye vungu za watu? khaa....kikazi naona hapo

hahaahh lol
haya babu ...Hivi anakitambi skuizi..
mbaona aliniambia anapiga gym ile mbaya eti ana six pack ...
Danganya toto kula kande mbichi.........

avatar9760_21.gif


Huyu Asprin sijui alimuibia mtalii gani hiyo laptop
Aisee hii picture calling ujue. Kanuni na sheria za JF haziruhusu. Be warned!
 
dahhhhh Mbu unanitamanisha eti..
mate yameanza toka nataka kusikia full story ..

Ukipata muda nenda kule tueleze tu ulianzaje anzaje mpaka hapo aliposena "yes", "NO" au "MAYBE"

halafu story hapa haziendani kidogo ...
bibie anasema bado hajapokea .. duuuhhhhh

utuwekee na details kidogo mfano .. ilikuwa ya Gold na Tanzanite kwa juu au diamond ya carat ...

Twakusuburi asante..

Eh namshukuru MUNGU hukuwa Ditective wala Lawyer..........maana kwa udaku binti hachomoi hapa. Hahahahahah jamani Mbu kasema anayo (ina maana bado hajaitoa kwa muhusika) hahahahha. Mwe !!

AfroDenzi unachakachua thread
 
Ngoja kwanza! Ni hivi hawa watu wana mvuto, wanapenda marafiki na wanajua taratibu za jamvi hili ni wastaarabu hata kama umewakera na siyo hao tu wapo na wengine wengi na ziada sana hawaiachi Thread hewani anakuwepo kuwajibu watu na kuchart nao kwa upendo wanaelimisha bila kumhukumu mtember mwingine.

Well said mkuu........pia wananogesha na mautani
 
jaribu na wewe kuweka maada yenye mvuto uone kama hautopata wachangiaji wengi!!
 
Destiny is not a matter of chance;
it's a matter of choice. It is not a
thing to be waited for; it is a thing
to be achieved.
Yes u guys Make JF alive every day.
Congratulations.
The Finest, Afrodenzi, Asprin, AshaDii, Mbu, MwanajamiiOne, Lizzy, Teamo
One Love Kivumah pamoja sana
 
Eh namshukuru MUNGU hukuwa Ditective wala Lawyer..........maana kwa udaku binti hachomoi hapa. Hahahahahah jamani Mbu kasema anayo (ina maana bado hajaitoa kwa muhusika) hahahahha. Mwe !!

AfroDenzi unachakachua thread

hahahahahahah lol
halafu nlikuwa nampango wakuelekea upande huo wa kazi
lakini skutaka tu hahahaha..lol

mmmhhh Mbu bado hajanipa kiiiiini cha story ..
itabidi nimtafute siku akiwa free...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom