Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,542
- 2,171
SawaTutawapima kwa mapato kitaifa
SawaTutawapima kwa mapato kitaifa
Hakika,Anafanya kazi nzuri sana
Kazi iendeleeSafi sana hii, Tanzania nakupenda sana,
Hakuna Kama Rais Samia😍😍
tulishazoea utalii upo tu na hauna faida kwetu
Daaah mkuu uko mkoa gani?tulishazoea utalii upo tu na hauna faida kwetu
Nijambo Positive sanaInawezekana ni ‘marketing ploy’ tu (above the line promotion).
Its common practice kulipia nakala kwenye gazeti (sponsored articles) especially kwenye tourism. Wanaandika mambo unayoyataka to raise awareness with a touch of journalism.
Either way ni jambo zuri kuandikwa positively na FT.
Sana aiseMama anaupiga mwingi sana anatupaisha tu
Tutawapima kwa mapato kitaifa
Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameipongeza ATCL kwa kupanua biashara ya usafiri na usafirishaji ya anga, hasa baada ya ATCL kuongeza safari zake za kibiashara kwa karibu mara tatu.
Rais Samia ameipongeza zaidi ATCL kwa kurejesha Safari za Kenya Nairobi tena kwa gharama ndogo ya KSh37,525 au $334 sawa na TZS 770, Two ways.
Lazima tufahanu kuwa mwendo huu wa kasi wa ATCL ni kabla ya ujio wa ndege mpya tano za kisasa zinazotarajiwa kuingia nchini ndani ya kipindi kifupi kijacho, hakika hakuna kama Rais Samia.