The Family Business ni Tv Series ya hovyo iliyonishinda kuiangalia

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Carl Weber inawezekana ni very Amateur katika ulimwengu wa Film na Series. Nliona sana BET wakiitangaza hii Series yenye ushiriki wa Black Americans wengi.

Nikashawishika kuipata niitizame. Kiukweli ni TV Series ya kuangalia na watoto wadogo na housegirls wa kibongo.

Sisi watu wazima ni ngumu kusema umelaa seriously unaangalia series ya kipuuzi kama hii. Scripts yake si nzuri...imepoa,haina mvuto ni kama movies za kibongo. But actions zake nazo utachoka...za kipumbavu kama za uigizaji wa jukwaani.

Why hawakuweza kumwambia hata 50 Cent awatengenezee kitu cha maana? Anyway sijui kwa wengine but ukiangalia hii series na wewe umezoea kuangalia series/movies za akili hutoweza vumilia.

Ni kama unaangalia movies za kibongo ambazo mimi ukitaka nife niwekee hizo movies au series.

Kifupi ni kuwa kuna kipindi hata watu wa huko mbele nao wanakuwa na wachemkaji sana. Series hii naifananisha za kikorea,spain,china na wafilipino. Za kitoto sana.
 
Back
Top Bottom