THE Fall of John Mnyika na Mdee: Majimbo yamewashinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

THE Fall of John Mnyika na Mdee: Majimbo yamewashinda

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kachanchabuseta, Aug 19, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Sasa hivi tunaelekea mwezi wa kumi tukia hawa wabunge wa Dar es salaama
  wamechaguliwa hawajafanya kitu tokea wachaguliwe.

  Haiwezekani kwa miezi kumi mtu anawakilisha wananchi zaidi ya millioni 2 lakini
  hakuna lenye muonekano ambalo mtu anaweza kuliona kama mchango kwa
  hawa wabunge.

  wakiongea jana katika TBC wananchi walisema " wabunge wetu wametutosa
  wakishapata ubunge ndo wanapotea na magari yao, sisi wakazi wa ubungo tunateseka na
  maji na maisha yamekuwa magumu"

  Akiojiwa mwananchi wa kawe alisema " jimbo la kawe limerongwa kwa maendeleo mtu akipata
  ubunge anajineemesha mwenyewe, huku inaitaji nguvu zako mwenyewe mbunge wetu hawezi kusadia
  "

  Mytake

  hawa wabunge wakichezea muda huu 2015 ndo utakuwa mwisho wao
   
 2. Maverick

  Maverick JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2011
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 308
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hela ya utekelezaji wangetoa wapi wakati hii ndio bajeti yao ya kwanza? Wahukumu baada ya bajeti hii
   
 3. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ukiwa muongo uwe nakumbukumbu.
   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Wewe utuambie umefanya nini toka uwe 'Rais' miezi hiyo
   
 5. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wale wale wanao fikiria kutumia masaburi.
   
 6. G

  Greard Member

  #6
  Aug 19, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sina uhakika kama umejiandaa kuanzisha uzi huu. Umejianika na kujionesha kiasi ganu uelewa wako ulivyo. Nimekukalili sitasoma uzi
   
 7. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Nafikiri inabidi tuwe makini sana when posting hizi threads zetu.... Lets us kidogo tu analyse what you've posted.
  1. Ni Mnyika na Mdee tu ndio ambao hawajafanya kitu kwa miezi 10? Wabunge zaidi ya 300 wameshatekeleza waliyoahidi? Basi makubwa haya. Hebu tuwe analytical, tupe promises ambazo walitoa during election, halafu sema hili na hili hawajafanya kitu..... lakini sio kuwa too general and so unfounded facts.

  2. Halafu kwani watu wanaohojiwa kwenye TVs na radio, do they really represent Kawe and Ubungo citizens? In terms of number etc? Wamehojiwa mara ngapi? Ingekuwa wanahojiwa labda kila cku - that could be an indicator that kweli wamechoka hawa viongozi. Todate naweza sema hakuna Mbunge yeyote aliyetekeleza hata robo ya ahadi zake alizotoa kwenye uchaguzi. Mwisho wa siku zile ahadi ni za miaka mitano- kwanini mnataka zitekelezwe ndani ya miezi kumi? Japo of course maandalizi lazima yawepo na indicators should be sprouting in dealing with the promises made.

  Mm nafikiri tuwe makini, na ushabiki tuuweke pembeni, wakishindwa waliowapa nafasi ya kuwaongoza, watawanyang'anya tu..... Watanzania wa sasa hawadanganyiki, kuanzia Ikwiriri - to Nyamika - to Mgeta - to Ubungo and else where.....
   
 8. Ben Mugashe

  Ben Mugashe Verified User

  #8
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 940
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Jimbo la Ubungo ndo ninakoishi, sinza ndo kitaa..Mbunge wangu Mnyika na diwani wangu Chadema! Mbona kuna kongamano la maji tulishafanya na mikakati imewekwa? Kawe kila siku Halima analia na watu wa Chasimba waliopokonywa ardhi na kiwanda cha wazo, kila siku yuko kwenye migogolo ya kule bunju, madale na tegeta, sasa mwataka aje mikocheni kufanya nini wakati hamna matatizo?..
   
 9. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuandika uzi sio jambo la kitoto bwana keyjey wa ukweli...ONYO! Usiandike uzi ukiwa na njaa.
   
 10. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu NGALIA WENZIO HAPO JUU WOOTE WANAJIBU IN SHORT KUONYESHA KUWA HUYU MTU TUNAMFAHAMU YEYE MASABURI YAKE NDO YANAFANYA KAZI NA SI KICHWA, usiumize kichwa chako! HIVI HUYU MNAJUA KUWA NDO JK WA UKWELI KABISAA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA??
   
 11. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Kwani uongo hata mimi Sijui Kikwete anafanya nini Ikulu Kila kukicha safari nasikia Maeamua kupasha engine ya Ndege anajiandaa kwa Safari ya USA. Tuanzie na Kikwete kabla hujaja kwenye Majimbo yeye ndio Mwizi mkubwa tena ni Mfalme wa Majambazi
   
 12. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mdee ni mbunge wangu na 2015 kura yangu anayo, anafanya kazi nzuri sana so far.
   
 13. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nadhani watu kama wewe ni miongoni mwawengi wasiojua hasa majukumu ya mbunge na wa bunge .

  Kama unaona halima Mdeee na mnyika hawajafanya kitu basi unakiri kabisa kuwa serikali amabyo ndiyo hasa mtendaji na intakiwa kutekeleza sera yake haijafanya kitu

  mbunge kazi yake ni kufutailia, kuhoji na kutunga sheria,

  Ni CCM imeleta kasumba mbaya ya wabunge wao kujipachika na kuzawadiana miradi na hivyo Ikijengwa barabra inaonekana ni kazi ya mbunge . Ndio maana una wabunge hawana michango kitaifa il sababu ya pesa zao wanaonekana ni bora( Dewji, Rostam)

  Mbunge( dewji) anayetoa hela zake kuwalipa walimu posho sio mfano wa mbunge mzuri.Mbunge mzuri ni yule anayegoma kupitisha bajeti ya elimu ili walimu wa jimbo lake wapate posho nono zinazoendaa na uzito wa majukumu yao. Hatutaki wabunge wa uhurumia wananchi tunatak wbunge wapigania haki.

  Juzi Juzi tu hap wabunge ( Sio H mdee na myika pekee) wamejipa majukumu batili ya mfuko wa CDF ambayo yanawafanya kuwa watekelezaji.

  Kama mbunge kujineeemesha basi mafao yote ya wabunge yamewekwa na serikali ya CCM. Kwa maana hiyo unasema CCM sera yake ni kuneemesha wabunge. Bora wa upinzani japo wanaendelea kuvuta mshiko mnono wamesema na kukosoa.

  Na tatizo sio wabunge kuneemeka tatizo ni kila mtu aneemeke kulinga na uzito na majukumu wa wajibu na kazi zake.

  Ni CCM imekewa sera ambayo mbunge ndiyo mtumishi wa umma anayepokea mshaahara mkubwa mkoano kuliko RC ,DC, Afisa elimu wa moa, Afisa Mifugo wa mkoa, Mhandisi wa Mkoa Mganga mkuu.

  So ingawa unamtaja H mdee na myika Hilo jiwe uumetupia CCM bila kujijua . teh teh teh teh
   
 14. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #14
  Aug 19, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa hata kama anatumia masaburi yangekuwa yameshachoka,inaelekea yeye anatumia lile tundu la masaburi.
   
 15. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  tatizo sio mnyika wala mdee ni rubani wetu (jeykei) anaumwa ugonjwa wa kifafa halafu kapewa mashua unadhani tutakuwa salama,mchawi wetu ni kikwete na ccm yake...................
   
 16. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #16
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Je mpaka sasa mnyika kafanya nini?
   
 17. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #17
  Aug 19, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Magamba wavivu wa fikra... Kwani miaka 50 Mmefanya nin?
   
 18. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #18
  Aug 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ahadi za jeykei ambazo amehaidi ametekeleza ngapi kwa mfano ujenzi wa nyumba za walimu,chuom kikuu shinyanga,chuo kikuu musoma,reli mpya,kiwanja cha ndege misenyi,kivuko kipya ziwa nyasa na victoria ..................................................................huyu ndio hatufai watanzania kwa sababu kazi yake ni kuruka angani kama popo hajui hata wananchi wake wanamaisha magumu mbona toka achaguliwe awamu hii hajazunguka kutoa shukrani kwa wapiga kula sio kura wake?
   
 19. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #19
  Aug 19, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Endelea kuchaapa usingizi na kucheza pool table mwanzo mwisho utajua amefanya nini
   
 20. samito

  samito JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  uwe unajipanga kabla ya kuleta jambo lijadiliwe, usiwe na akili za kitoto naamini ushakua
  Think critically
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...