BAFA
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 3,059
- 5,927
- Thread starter
- #21
Gupta ktk vitabu estimated networh ni 800m lkn wako kwwnye billions sababu kazi yao kubwa hao ni money laundering mpk bank of Baroda south Africa wanairun wao kwa Mzigo wao mkubwa kwwnye article hapo kuna almost 8000 transactions za mana zimefichwa na Baroda ambz ni laundering mpk HV Baroda wanaondoka south Africa sababu wenye kuweka hela nyingi hawapo tena wamekimbia dubaigupta ni newcomer africakusini,huwezi linganisha na hao wayahudi wa Deebers,hata kiutajiri tu hawa Gupta kumbe hawamzidi hata MO wa bongo,asilimia kubwa ya makaburu ni wayahudi,hakuna jipya kwa hii family moja ya kiyahudi kuegemea upande wa mandela enzi za ubaguzi,hata nyerere kuna wazungu walimsupport enzi za ukoloni