Wengi wetu tunasoma jinsi USA walivyoisambaratisha USSR. Tunasoma jinsi mashirika nguli ya kijasusi kama CIA, MOSAD nk yanavyoendesha harakati za kuhujumu na kuwaondoa duniani maadui wa mataifa yao.
Bahati mbaya upinzani Tanzania (CHADEMA) wanadhani kuwa CCM ni chama kama wao walivyo. Wameshindwa kabisa kutambua kuwa CCM ni mfumo wa kidikteta uliohasisiwa na Nyerere kwa malengo ya kuwatawala watanzania, mtake msitake.
Wakati sasa umefika upinzani kujigeuza kuwa vikundi vya kijasusi na kijeshi vyenye lengo moja tu, la kuwakomboa watanzania dhidi ya mfumo ulioshindwa kuleta tija wa CCM.
Siamini na sitakaa niamini kuwa mifumo kama CCM huondoka kwa amani. Mifumo hii kung'oka labda impate mtu mwenye nia dhabiti kama Abiy Ahmed wa Ethiopia, aliyefanikiwa kuupunguza nguvu mfumo uliokuwepo wa kidikteta, japo hajamaliza.
CHADEMA 2020 mnalazimika kutumia ujasusi na mbinu za kivita zaidi. Ni ushauri tu, kama mnaona unafaa, na kwa nia njema kabisa, anzeni na kikundi kidogo cha intelligence. Siyo lazima kionekane kwenye katiba.
Na lengo la kikundi hiki liwe moja tu. Kuiondoa madarakani CCM na kuung'oa mfumo rushwa ulioshindwa wa CCM ndani ya miaka 10.