Damalu hawa wako pale jirani na Maisha Club (Haile selassie Road , Oyster Bay). Panda basi la kwenda Masaki, Shuka kituo cha Morogoro store. Vuka barabara, ifuate BP petrol station, kuna njia hapo inaingia ilipokua zamani karibu hotel utaona kibao chao hapoNaomba mnifahamishe iliko ofisi hiii ya The Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation (EGPAF)Tanzania wanandugu wa JF plz,,,,,
Kazimkazimkuu nashukuru sana na Mungu akubariki ngoja niwahishe application mapema
mchna mwema
Damalu hujajaribu kuwapata kwa internet labda? Namaanisha kwa email
sorry inahusu nn hii Elizabeth foundation pls?
Vipi ulipata kazi EGPAF?Kazimkazimkuu nashukuru sana na Mungu akubariki ngoja niwahishe application mapema
mchna mwema