The effective informative channel in Tanzania ni JF ambapo mtu anaandika bila unafiki

Thats JF
FB_IMG_1636674379285.jpg
 
Hapa JF uzi zinazofutwa ni 54%, na 46% ndiyo zinaachwa.

hakuna uhuru wa kuandika kama inavyo hubiriwa.
Sometimes inafanyika hivyo ili kutulinda sote pamoja na jukwaa letu pendwa... Hili linaweza kuwa gumu mpaka uwe umefuatwa PM ama nje ya JF na wasiojulikana na kupewa onyo la warning na vitisho
Kuna baadhi walishalazimika kuomba Moderator afute post zao ama walishalazimika kuzihariri ama kufuta reply
 
Where we dare to talk openly...
Hii mada hii.. Nilitishiwa...
 
Hii mada hii.. Nilitishiwa...
Uliandika ishu nyeti sana ambayo kwa system yetu hapa wanadai taarifa kama hizo zinatakiwa kutolewa na mamlaka husika wakati mamlaka zenyewe ni either zinahusika au wanaficha maovu hawataki kuripoti hizo cases kuogopa kuchafua kantri yetu since tunajulikana ulimwenguni kuwa ni nchi ya amani na usalama😂

Nimekumbuka ule msemo wa Idi Amin 'There is freedom of speech but i can not guarantee freedom after speech'
Nadhani ndio maana wadau walikutisha kama kukuonya kwenye huo uzi
 
Uliandika ishu nyeti sana ambayo kwa system yetu hapa wanadai taarifa kama hizo zinatakiwa kutolewa na mamlaka husika wakati mamlaka zenyewe ni either zinahusika au wanaficha maovu hawataki kuripoti hizo cases kuogopa kuchafua kantri yetu since tunajulikana ulimwenguni kuwa ni nchi ya amani na usalama

Nimekumbuka ule msemo wa Idi Amin 'There is freedom of speech but i can not guarantee freedom after speech'
Nadhani ndio maana wadau walikutisha kama kukuonya kwenye huo uzi
There is freedom of speech but i can not guarantee freedom after speech'
 
Back
Top Bottom