The Economist wakiri Erick Kabendera ni mwandishi wao ni dhahiri alitumika na Acacia kutangaza propaganda dhidi ya Tanzania

Eti watu ndo wanadai kachongewa na Mayala!! Waliomchongea ni hao wa Intelligent unit ya Economist walipomtaja waziwazi. Mtu wa jinsi hii ni hatari Sana anajali masilahi yake kuliko ya Nchi na ya watu masikini yeye alishachukua chake.
 
Ugomvi wao binafsi unakuwaje tena ni ugomvi wa nchi?
 
Yaani kalipwa 176m kwa miaka kumi sawa na 1.5m kwa mwezi hela mbuzi kabisa so Bora angeuza matikiti kando ya barabara, hizi njaa zingine nitabu tupu
 
Magufuli anasimama badala ya Nchi
Ni Nchi inayowekewa vyikazo vya kiuchumi kwa matendo ya Magufuli au Serikali yake, asifikiri alikuwa anamkomoa Rais alikuwa anawakomoa Watanzania.
 
Yaani kalipwa 176m kwa miaka kumi sawa na 1.5m kwa mwezi hela mbuzi kabisa so Bora angeuza matikiti kando ya barabara, hizi njaa zingine nitabu tupu
Kweli Mkuu mtu mwenye njaa ni hatari kuliko njaa yenyewe.
 
Economists awezi kuwa kishawishi cha watu kuja kuwekeza Tanzania. Linaweza kuwa gazeti linalosomwa na werevu lakini wasomi nchi za wenzetu are cautious on bias of the report that is the skill wanayofundishwa kwenye kufanya text analysis na kufanyia tathmini lengo haswa la habari yenyewe kama ni kutoa elimu, kuponda, kuonya, inatoa tahadhari etc with the article intentions.
Never underestimate the power of the WORD.
Maandishi ya mtu yanaweza kuchafua taswira ya nchi, kabila, eneo au bidhaa flani hadi ikakosa wateja sababu ya maneno tu ya watu au mtu mmoja.

Kwanini Uingereza, Ujerumani, Ufaransa, Marekani, China na Japan wanaingia gharama kubwa kurusha matangazo ya redio zao duniani kote?
Kwanini wana hangaika kufundisha lugha zao zienee duniani kote?
Lengo wanapotaka kusambaza jambo flani kwa malengo yao iwe NENO (WORD) la kweli au uongo wanataka lifike kila kona waliyo kusudia kwa faida yao.

Msomi kuchukulia lightly maandishi ya The Economist au tuite ya Erick Kabendera dhidi ya Tanzania na dhidi ya Magufuli ni kujaribu kuukana ukweli huku rohoni ukijua ni jambo baya na hatari, haijalishi makosa ya Magufuli au hasira zako juu yake.
 
Kesi za uhujumu uchumi ni mateso sana hasa kwa wale ambao uchunguzi ukikamilika huonekana hawana hatia
 
Never u nderestimate the power of the WORD.
Maandishi ya mtu yanaweza kuchafua taswira ya nchi, kabila, eneo au bidhaa flani hadi ikakosa wateja sababu ya maneno tu ya watu au mtu mmoja.

Kwanini Uingereza, Ujerumani, Ufaransa, Marekani, China na Japan wanaingia gharama kubwa kurusha matangazo ya redio zao duniani kote?
Kwanini wana hangaika kufundisha lugha zao zienee duniani kote?
Lengo wanapotaka kusambaza jambo flani kwa malengo yao iwe NENO (WORD) la kweli au uongo wanataka lifike kila kona waliyo kusudia kwa faida yao.

Msomi kuchukulia lightly maandishi ya The Economist au tuite ya Erick Kabendera dhidi ya Tanzania na dhidi ya Magufuli ni kujaribu kuukana ukweli huku rohoni ukijua ni jambo baya na hatari, haijalishi makosa ya Magufuli au hasira zako juu yake.
Kwanza sina hasira na Magufuli if anything ningependa kuona orodha ya watu wanaotupwa Lupango inaongezeka, that’s a long story ni akina nani haswa.

Tanzania aiwezi shindana na nchi tajiri duniani wao wanagombea global leadership direction with that there is need to influence their ideogies globally in order to gain support and acquire allies in their quest.

Magufuli kama raisi pamoja na uzuri wake he isn’t a saint ivyo waandishi wa habari wana uhuru wa kutoa perspective zao za aina ya uongozi wake, sijaona tatizo la msingi kwenye nakala za Kabendera kama ni hoja zinajibika kabisa.

Kama wanadhani zina madhara iwapo hao mabeberu mpaka sasa awajachukua hatua za mwandishi wa hizo nakala kusota rumande bila ya evidence ya mashitaka yake ina maana hizo nakala zake hazikuwa na impact kwao kama tunavyodhani.

Hapa ndio tunarudi kwenye hoja yangu wasomaji wa economists na wenye kufuatilia international politics ni watu wenye elimu ya juu.

Huko kwa wazungu usishangae majimbo mengi tu kukuta a third of constituents awajui hata jina la mmbunge wao na kwa uelewa huo serikari zao inapotoa sera mpya inatumia nguvu nyingi sana kutoa elimu kwa raia kabla ya utekelezaji kwa sababu wanajua bila ivyo a lot of people will be taken by suprise kwa sababu siasa sio kitu kilichopo akilini mwao raia wengi sana.

Sasa hao kweli unadhani wanamjua hata raisi wa Tanzania ni nani. Nchi yenyewe ni moja ya zile inayopata least air time from the western media to their audience Tanzania is among them.

Hao wasomaji wenyewe wa economists kwa sababu they have political interest kwenye story yoyote asilimia kubwa wanaangalia balance yake na kama article ya propaganda au upande mmoja inapuuzwa na wengi they can easily distinguish between a factual piece and one which is based on opinion.

Sasa basi sitetei alichofanya Kabendera outright hila he has the right to air is views as a journalist freely and therefore the force used against him is unnecessary.

Mwisho maandishi yake if anything reaction hipo more ndani ya Tanzania kuliko huko kwa mabeberu, kwa maana hiyo JF ndio iliyomponza Kabendera sio mabeberu maana huko mtaani average Juma hata aelewi hizo nakala za Kabendera zilikuwa zinaongelea nini kwanza.
 
tatizo mayalla aliwahi kudai anamfahamu vizuri jamaa isitoshe ni rafiki yake, hapo ndipo kuna ka ukakasi kidogo, mayalla alikuwa anajua au hajui rafiki anapata wapi riziki kweli, P kama utaweza kunitolea kitongotongo hichi nitashukuru kinanifanya nisikuone vizuri nikiwa mbali
Eti watu ndo wanadai kachongewa na Mayala!! Waliomchongea ni hao wa Intelligent unit ya Economist walipomtaja waziwazi. Mtu wa jinsi hii ni hatari Sana anajali masilahi yake kuliko ya Nchi na ya watu masikini yeye alishachukua chake.
 
Kwanza sina hasira na Magufuli if anything ningependa kuona orodha ya watu wanaotupwa Lupango inaongezeka, that’s a long story ni akina nani haswa.

Tanzania aiwezi shindana na nchi tajiri duniani wao wanagombea global leadership direction with that there is need to influence their ideogies globally in order to gain support and acquire allies in their quest.

Magufuli kama raisi pamoja na uzuri wake he isn’t a saint ivyo waandishi wa habari wana uhuru wa kutoa perspective zao za aina ya uongozi wake, sijaona tatizo la msingi kwenye nakala za Kabendera kama ni hoja zinajibika kabisa.

Kama wanadhani zina madhara iwapo hao mabeberu mpaka sasa awajachukua hatua za mwandishi wa hizo nakala kusota rumande bila ya evidence ya mashitaka yake ina maana hizo nakala zake hazikuwa na impact kwao kama tunavyodhani.

Hapa ndio tunarudi kwenye hoja yangu wasomaji wa economists na wenye kufuatilia international politics ni watu wenye elimu ya juu.

Huko kwa wazungu usishangae majimbo mengi tu kukuta a third of constituents awajui hata jina la mmbunge wao na kwa uelewa huo serikari zao inapotoa sera mpya inatumia nguvu nyingi sana kutoa elimu kwa raia kabla ya utekelezaji kwa sababu wanajua bila ivyo a lot of people will be taken by suprise kwa sababu siasa sio kitu kilichopo akilini mwao raia wengi sana.

Sasa hao kweli unadhani wanamjua hata raisi wa Tanzania ni nani. Nchi yenyewe ni moja ya zile inayopata least air time from the western media to their audience Tanzania is among them.

Hao wasomaji wenyewe wa economists kwa sababu they have political interest kwenye story yoyote asilimia kubwa wanaangalia balance yake na kama article ya propaganda au upande mmoja inapuuzwa na wengi they can easily distinguish between a factual piece and one which is based on opinion.

Sasa basi sitetei alichofanya Kabendera outright hila he has the right to air is views as a journalist freely and therefore the force used against him is unnecessary.

Mwisho maandishi yake if anything reaction hipo more ndani ya Tanzania kuliko huko kwa mabeberu, kwa maana hiyo JF ndio iliyomponza Kabendera sio mabeberu maana huko mtaani average Juma hata aelewi hizo nakala za Kabendera zilikuwa zinaongelea nini kwanza.
Uliposema humtetei Kabendera ume nagate yute uliyoandika na hayana maana tena
 
Back
Top Bottom