The Economist wakiri Erick Kabendera ni mwandishi wao ni dhahiri alitumika na Acacia kutangaza propaganda dhidi ya Tanzania

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Leo the Economist wamekiri kuwa Kabendera ni ripota wao kwa hapa Tanzania.

Ikumbukwe tokea mwaka 2017 baada ya serikali kuwadhibiti Acacia hili gazeti liliandika makala mfululizo kuchafua serikali na nchi ya Tanzania kwa uamuzi wa kusimamia rasilimali.

Kweli mzungu hana huruma baada ya kumtumia sasa wamemwanika.

TheEconomist.png
 
Acha upuuzi kwa hiyo hata hao wakina kikeke wa BBC na wale wa DW na frans International nao watasema wanachafua nchi,je mbona anasakamwa uraia badala ya uhaini kama unavyotaka kusema.

Kiufupi hata wewe ungekuwa mwandishi unaweza kufanya kazi na the econimist na mengineyo.

Tuache siasa kwenye maisha ya watu maana hata Magufuli hatabaki salama kama ataendelea kuwasakama watu,kwa sababu serikali ni watu na wala sio nchi.
 
Leta facts acha kubwabwaja
 
Ule uandishi mmh ...
Kila la heri na kesi yake ya uraia.

Bora Ulimwengu anaandika na kujiweka jina lake kabisa ili kama kuna wasi wasi na hoja zake wamtafute.

Sasa huyu jombaa alikuwa anajificha nyuma ya keyboard na kutupa maneno mazito sana(sijasema kama ya uwongo au kweli).
 
Ndugu zangu,

Leo the Economist wamekiri kuwa Kabendera ni ripota wao kwa hapa Tanzania.Ikumbukwe tokea mwaka 2017 baada ya serikali kuwadhibiti Acacia hili gazeti liliandika makala mfululizo kuchafua serikali na nchi ya Tanzania kwa uamuzi wa kusimamia rasilimali.Kweli mzungu hana huruma baada ya kumtumia sasa wamemwanika.View attachment 1168584
Kwahy apo kuna tatizo gani make habari alizoandika ni za kweli?au unatak waandike unazopenda kuziona wewe
 
Ndugu zangu,

Leo the Economist wamekiri kuwa Kabendera ni ripota wao kwa hapa Tanzania.Ikumbukwe tokea mwaka 2017 baada ya serikali kuwadhibiti Acacia hili gazeti liliandika makala mfululizo kuchafua serikali na nchi ya Tanzania kwa uamuzi wa kusimamia rasilimali.Kweli mzungu hana huruma baada ya kumtumia sasa wamemwanika.View attachment 1168584
Kwa hiyo sababu sio uraia.
 
Back
Top Bottom