The Economist wakiri Erick Kabendera ni mwandishi wao ni dhahiri alitumika na Acacia kutangaza propaganda dhidi ya Tanzania

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
13,738
2,000
Ndugu zangu,

Leo the Economist wamekiri kuwa Kabendera ni ripota wao kwa hapa Tanzania.

Ikumbukwe tokea mwaka 2017 baada ya serikali kuwadhibiti Acacia hili gazeti liliandika makala mfululizo kuchafua serikali na nchi ya Tanzania kwa uamuzi wa kusimamia rasilimali.

Kweli mzungu hana huruma baada ya kumtumia sasa wamemwanika.

View attachment 1168627
Aendelee tena kuandika shenzi type
 
Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
6,621
2,000
Kumbe kuikosoa serikali ya jiwe ni kosa kubwa kuliko kubaka na kuua.Kuna wabakaji na wauaji wamepata misamaha.Wana harakati wanaozea jela!
 
mulaga

JF-Expert Member
Sep 2, 2019
3,158
2,000
Kabendera aliokolewa na ccctv sawa na Wa tarime aliokolewa na cha moto chake zaidi yangemkuta ya lwajaba mtini mkuranga,sema tarehe zake zilikuwa bado kwa aibu kaishia kubambikwa kila mtu anajua gangster paradise state.
 
Hans2009

Member
Dec 27, 2019
20
45
Tuiachie mahakama iamue, ijapokuwa kilichofanyika kiukweli hakipendezi machoni mwa watanzania walio wengi
 
Hans2009

Member
Dec 27, 2019
20
45
Kabendera aliokolewa na ccctv sawa na Wa tarime aliokolewa na cha moto chake zaidi yangemkuta ya lwajaba mtini mkuranga,sema tarehe zake zilikuwa bado kwa aibu kaishia kubambikwa kila mtu anajua gangster paradise state.
Exactly
 
Holly Star

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
1,660
2,000
Unajua maana ya intelligent unit wewe au hujui kibeberu, kifupi huyu jamaa hatakiwi kutoka mahabusu
Acha upuuzi kwa hiyo hata hao wakina kikeke wa BBC na wale wa DW na frans International nao watasema wanachafua nchi,je mbona anasakamwa uraia badala ya uhaini kama unavyotaka kusema.

Kiufupi hata wewe ungekuwa mwandishi unaweza kufanya kazi na the econimist na mengineyo.

Tuache siasa kwenye maisha ya watu maana hata Magufuli hatabaki salama kama ataendelea kuwasakama watu,kwa sababu serikali ni watu na wala sio nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,126
2,000
Kabendera aliokolewa na ccctv sawa na Wa tarime aliokolewa na cha moto chake zaidi yangemkuta ya lwajaba mtini mkuranga,sema tarehe zake zilikuwa bado kwa aibu kaishia kubambikwa kila mtu anajua gangster paradise state.
Kumbe ulikuwepo eeh?
Hivi unaanzaje kumhurumia muhujumu uchumi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom