The Economist Misleads Again on Tanzania Versus Acacia Mining

Critical analysis of this nature in Jamiiforum will not attract a lot of comments cause wengi wanapenda habari za mipasho...you won't see salary slip or Dr. Goodbless commenting on this post.... The home of lazy thinkers ... Jamiiforum
Mbona wewe 'great thinker' umeandika umbea wako wa tandale badala ya kuja na points ambazo zitaonyesha wewe ni ' great thinker kama unavyojiona? Ni bora ungekaa kimya kuficha UJINGA wako.
 
Critical analysis of this nature in Jamiiforum will not attract a lot of comments cause wengi wanapenda habari za mipasho...you won't see salary slip or Dr. Goodbless commenting on this post.... The home of lazy thinkers ... Jamiiforum
Mmebakia ku kopi na kupest tu
 
Tatizo matamko mengi... Mara paap wametuibia trillioni 300+.....tena tunakuja kuona bosi wa kampuni anatakutana na rais.... Fishy from The beginning..
 
Yes he is not corrupt, but ndiye huyu aliyegawa nyumba za serikali kwa ndugu zake na vimada wake!.
Ndiye huyu aliyenunua kuvuko cha MV Bagamoyo,
Ndiye huyu akiwa waziri, alijenga the best hotel in Chato!.

Ndiye huyu sasa ni rais, hoteli ya ghorofa ya nyota 5 imeota kama uyoga pale Chato, sakafu ni marble, makochi ni pure imported leather na imported furnishings.

Ni huyu baada ya mazungumzo na Barrick, aliutangazia umma furaha ya kupewa kile kishika uchumba cha dola milioni 300!.

Rushwa sio lazima iwe pesa, hata posa ni rushwa. Kuhongwa sio lazima iwe ni individual hongo, hata kupokea hongo ya dola millions 300 ili kuruhusu makinikia yaondoke pia ni hongo!.

P
One of the basic rules of the universe is that nothing is perfect. Perfection simply doesn't exist.....Without imperfection, neither you nor I would exist
Quote from
Stephen Hawking

Kwahiyo Rais Magufuli kama binadamu anaweza kukosea lakini hiyo haiwezi kusababisha akashindwa kupambana katika kujenga uchumi wa mfumo wa kipato halali hapa Tanzania. Kuhusu umiliki wa hoteli hiyo sio kosa kwani kuna viongozi waliomtangulia walifanya mabaya zaidi kwa kujenga mahekalu South Africa na hata kushirikiana na wafanyabiashara wasiokuwa waaminifu kupeleka mabilioni ya dola kwenye account za siri nje ya Tanzania.
 
Mkuu Bowie, kwanza nakubaliana na wewe kuwa nobody is perfect, na Magufuli pia ni binadamu, he is a human being, sio malaika. Kitu nisichokubaliana na wengi humu ni kumuona Magufuli kama malaika, wakati ukweli ni kuwa Magufuli sii malaika, na sii msafi kwa usafi huo ambao watu wanataka kumvisha, ila ni ukweli amekabidhiwa nchi ikiwa imepinda sana, anachofanya sasa ni kuinyoosha nchi, katika kuinyoosha nchi, kuna watu lazima wataumia.

P.
 
Hakuna kiongozi yeyote anayelata mabadiliko ya kiuchumi atapendwa na mtu ama watu. Kwa hali ilivyokuwa uchaguzi mkuu wa 2015 aina ya kiongozi kama Rais Magufuli Tanzania ilimwihitaji. Miaka mitatu watanzania wasitegemee nchi itapiga hatua kitu kikubwa ni kuona Rais Magufuli yupo njia sahihi.
Majirani zetu wa Kenya tayari hali ya uchumi unazidi kuwa mbaya sana serikali ya Kenya imepunguza mishahara ya maofisa wa jeshi la polisi nchini humo ili kukabiliana na ukata wa serikali.

Tough times ahead as State gives in to IMF
 
Back
Top Bottom