The Economist kuhusu Tanzania: Jarida linaona mapungufu tu kuihusu Tanzania!, Hivi kweli Tanzania hakuna mazuri yotote ya kuyaangazia?!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,468
113,583
Wanabodi,
Mimi ni subscriber wa hili gazeti, nime note hakuna hata mara moja linaripoti anything positive kuhusu Tanzania, kila wakiripoti jambo lolote kuhusu Tanzania, sio tuu wana repoti negatively, lakini pia wanaongeza chumvi na sometimes hata kusema uongo na kutoa data za uongo!.

Mfano katika story hii
The war on conceptionIn Tanzania, getting impregnated also means getting expelled from school
President John Magufuli thinks the answer to teenage pregnancies is less education

Print edition | Middle East and Africa
Jun 14th 2018| MWANZA
MARY (not her real name) was 16 when she became pregnant. The father sold chips by the road near her home in northern Tanzania. She felt special when he gave her money. But when her belly swelled, he ran off. At school she was caned in front of teachers, pupils and her own shamefaced parents. Then she was expelled. “I would not have had sex”, she says, “if I knew you could get pregnant after doing it once.”
A quarter of Tanzanian girls aged 15-19 are pregnant or have given birth. The government’s response is to kick them out of school for good. Official statistics record that between 2003 and 2011, more than 55,000 girls dropped out because of pregnancy. This is surely a vast underestimate; cases are often recorded as simple truancy. The main way back into education is through vocational training or at a fee-paying school, which most cannot afford. This policy is reinforced by compulsory pregnancy tests. Teachers pull girls out of class to give a urine sample or, more often, to be squeezed and prodded in the abdomen.

None of this is explicitly required by law. Vague rules say a student may be expelled for an “offence against morality”. In recent years the tone had been changing. Last year the education ministry presented draft guidelines for pregnant girls to re-enter school. The ruling-party manifesto said that those in primary school should continue their studies.
But then John Magufuli, the president, made his views known. “After getting pregnant, you are done,” he thundered last year. Halima Mdee, a lawmaker who criticised Mr Magufuli’s stance, was arrested and charged with insulting the president.
In the past, says one teacher, sympathetic schools could quietly readmit girls after they had given birth. But none dares do so now. An official in one district called for the arrest of pregnant schoolgirls, to “serve as a lesson to the rest”. Five were apprehended by police.
Punishment does not seem to reduce teenage pregnancy. The rate is higher than in neighbouring Kenya, which allows mothers to return to class. It is highest of all in poor, rural areas, where contraception is scarce and sex may pay for better grades or a motorbike ride to school. A government survey found that 11% of 15- to 19-year-old girls had experienced sexual violence. One activist, too nervous to be named, recalls how she was expelled after being raped at 14. Girls get the blame for pregnancy, she says, rather than men and boys.
20180616_MAM916.png

Although Tanzania’s approach is unusual, it is not unique. Sierra Leone and Equatorial Guinea also expel pregnant girls, notes a report published by Human Rights Watch, a pressure group. Laws elsewhere in Africa vary widely. In Malawi pregnant girls are suspended for 12 months, but then allowed to return in the following academic year, subject to some tedious paperwork. In Senegal they are readmitted with a certificate saying they are healthy. A handful of places, including Rwanda and Gabon, encourage mothers to continue their studies. In 24 countries there is no clear policy, leaving girls’ fates to the whims of local officials.
For many girls, getting pregnant is the end of their dreams. Some risk backstreet abortions. Others get married. Many end up as maids; a few, as prostitutes. Mary now scrubs pots and pans for a living. “I would go back to school,” she says, wistfully, “if I got the chance.”
This article appeared in the Middle East and Africa section of the print edition under the headline"The war on conception"
Kwenye story hii, kuna data za uongo!, wanadai
"A quarter of Tanzanian girls aged 15-19 are pregnant or have given birth". The government’s response is to kick them out of school for good. Official statistics record that between 2003 and 2011, more than 55,000 girls dropped out because of pregnancy.
Hapa hawa jamaa wanadai kuwa robo ya wasichana wa Tanzania wenye umri kati ya miaka 15 na 19 wameshika ujauzito, wamefukuzwa shule na wamezalishwa!, hizi data ni kubwa mno kuliko ukweli halisi. Mtu ukisema robo, unamaanisha kati ya kila wasichana wanne wa umri huo, mmoja ameshika mimba, kufukuzwa shule na sasa amezalishwa!. Umri uliotajwa wa kati ya miaka 15 na 19, ni umri wa sekondari, sasa kama kama robo ya wasichana wenye umri wa sekondari wameshika mimba au wamezaa watoto, na ukweli kuhusu mimba za utotoni, wanafunzi wanaofukuzwa shule kwa kupata mimba nchini Tanzania, wengi zaidi wa primary school ambao hawajui kitu, hawa wa sekondari wengi wao tayari ni wajanja!, sasa kama age group hiyo wanaopata mimba ni 25%, ukijumlisha na hizo mimba za wale wa primary ambao ni under 15?, tutakuwa na percentage gani?!.

Japo mimi sio mtaalamu wa takwimu, lakini Sensa ya Watu na makazi takwimu za wanafunzi wote walio acha shule ni 2,738,493 kati yao 2,056,730 ni wa vijijini na 681,763 ni wa mijini. Kati ya hao, wanaume ni 1,420,821 na wanawake ni 1,317,672, hivyo kwa takwimu hizi, zinaonyesha idadi kubwa ya watu wanaoacha shule ni wavulana. Idadi ya wasichana walioacha shule kwa sababu zozote ikiwemo kupata ujauzito ni 1,317,672, sasa hawa the economic wamepata wapi data kuwa robo ya wasichana wa umri wa kushika mimba, walipata mimba na kufukuzwa shule?.

Kila wakiizungumzia Tanzania, sio tuu wanauzungumza kwa mabaya, lakini lazima waseme kitu kumhusu rais Magufuli, hapa wamesema
"But then John Magufuli, the president, made his views known. “After getting pregnant, you are done,” he thundered last year. Halima Mdee, a lawmaker who criticised Mr Magufuli’s stance, was arrested and charged with insulting the president".

Hapa wanadai kuwa rais Magufuli amesema ukipata mimba ndio mwisho wako!, ukweli alichokisema rais ni ukipata mimba, huwezi kusomeshwa na serikali lakini sio mwisho wako. Pia wakachombezea kushikwa kwa na kushitakiwa kwa Mhe. Halima Mdee kumetokana na kumkosoa rais Magufuli kwenye suala hili.

Hitimisho.
Pamoja na matatizo na madhaifu yote ya rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano, lakini kweli hakuna mazuri yoyote ya kuzungumzwa na hawa the economists kuhusu Tanzania ?, kwa nini kila wakitutaja ni kwa mabaya tuu?!.
Inamaana hawa the economist hawaoni zuri lolote la Tanzania worth to be mentioned?, tuna ma macro economic milestones makubwa tuu Tanzania tunayapiga, kama GDP ya 7.1, reli ya SGR, umeme wa Stigler, ma flyovers, etc, yote haya hawayaoni?, hata kitendo tuu cha nchi masikini kama Tanzania kununua ule mdege mkubwa, the Dreamliner kwa cash cash money, kutoka fedha zetu za ndani!, wakati hata nchi matajiri hununua kwa mkopo, wao hawalioni hili na kutusifu?.

Namalizia kwa kusisitiza kwenye madhaifu tukosoe, lakini kwenye mazuri tupongeze, hatuwezi kuona na kunyamaza tuu kila siku nchi yetu ikisemwa vibaya na majarida haya!, kwa nini tuunyamazie uongo kama huu?, au hatuna watu wenye caliber ya kuukanusha uongo wa jarida kama the economic, hivyo kila wanachosema, tunawaachia tuu na kupelekea dunia uamini yote yanayosemwa kuhusu Tanzania ni kweli, na kwa vile baadhi ya kauli huumba, tukiacha kauli za uongo kama hizi bila kuzikanusha, zikijirudia rudia, zinakuja kujiumba na kuwa kweli kwa kuja kutokea kweli.

Mungu Ibariki Tanzania.

Jumatatu Njema.

Paskali
Update.
Sorry Alhamisi Njema, wengine kila mapumziko tunayaona kama Jumapili, hivyo next day ni Monday!.
P.
Rejea za The Economist Kuhusu Tanzania
Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi
‪Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist"
Huku sio kudhalilishwa kwa Rais wetu na Media za Nje? Je, watanzania tukubali, Tukae kimya?
Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, Nchi Yako Inatukanwa!, Rais Wako Anatukanwa!, Tumenyamaza!. Huu Ni Uzalendo Gani?!.
The Economist on Magufuli: A President who looks good but governs impulsively
Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli
 
Wanaangalia uwiano au Ratio au percentage kati ya mazuri na mabaya

Mabaya yakizidi mazuri wanareport mabaya, Pascal wanaposema ulaya maisha mazuri kwani ni kweli?

Wewe ni shahidi katikati ya London Kuna ombaomba wengi sana zaidi ya Moroco Dar es salaam lakini kureport wanasema ulaya maisha mazuri kwa kuangalia na ratio ya kule Posta kwa wahindi kuna omba omba wengi

Mazuri yapo lakini yanaharibiwa au kufunikwa kwa ubaya hivyo wanareport mabaya tu ndio maisha
 
"Punishment does not seem to reduce teenage pregnancy. The rate is higher than in neighbouring Kenya, which allows mothers to return to class. It is highest of all in poor, rural areas, where contraception is scarce and sex may pay for better grades or a motorbike ride to school. A government survey found that 11% of 15- to 19-year-old girls had experienced sexual violence. One activist, too nervous to be named, recalls how she was expelled after being raped at 14. Girls get the blame for pregnancy, she says, rather than men and boys. "
 
Ndugu yangu Pascal Mayalla nilishawahi kukujuza kupitia mada hizi hizi za The Economist vs JPM kwamba hawa "watu" tayari wana tofauti za kimsingi baina yao kwa sababu The Economist ni Classical Liberals!

Hata ukienda kwenye page yao, wenyewe wanategua kitendawili cha kwamba:

Is The Economist left- or right-wing?

Neither. The Economist’s starting point is that government should only remove power and wealth from individuals when it has an excellent reason to do so. When The Economist opines on new ideas and policies, it does so on the basis of their merits, not of who supports or opposes them. The result is a position that is neither right nor left but a blend of the two, drawing on the classical liberalism of the 19th century and coming from what we like to call the radical centre.

Wikipedia wanatafsiri Classical Liberalism as a political ideology and a branch of liberalism which advocates CIVIL LIBERTIES under the RULE OF LAW with an emphasize on economic freedom!

Sasa je, JPM Administration inazingatia Civil Liberties under the Rule of Law? JPM Administration inazingatia suala la economic freedom?!

Theoretically under Classical Liberals,

Hata kama serikali inajenga maghorofa nchi zima hadi vijijini!

Hata kama inajenga barabara za juu kwa juu hadi kwenye vyoo vya kwenye vituo vya mabasi

Hata kama serikali itajenga treni za umeme zitakazounganisha Dar es salaam na Tokyo

Lakini ikiwa yote hayo yanapatikana while there's a suppression of civil liberty, no rule of law, there's abuse private sector, no market economy, there's abuse or no free trade, and the like, then, for Classical Liberal, yote hayo kwake hayana cha kusifia! Na pale watakapolazimika kusifia basi watasifia huku waki-negate!!!

Leo hii kuwatarajia The Economist wamsifie Magufuli ni sawa na wakati ule kumtarajia Mwalimu awasifie Makaburu kwamba, pamoja na yote wanayofanya lakini Afrika Kusini ndio taifa pekee Kusini mwa Jangwa la Sahara wanaotengeza magari na kwahiyo wanahitaji pongezi!!!

It's all about ideology though not necessarily kwamba they always stick to what they believe!!!

Labda tupate mchango wa akina Malcom Lumumba, FisadiKuu, JokaKuu, Wick... wadau, ina maana hawa The Economist hawayaoni mazuri ya JPM?
 
"In Senegal they are readmitted with a certificate saying they are healthy. A handful of places, including Rwanda and Gabon, encourage mothers to continue their studies. In 24 countries there is no clear policy, leaving girls’ fates to the whims of local officials. "
 
This is a war on conception, all Tanzanians are required to give out their views on this critical issue that relates direct to the future of these teenagers, if you expel them from school what else do you do to men? Do you consider sexual abuse cases because other get pregnancy after being raped. There are a lot of things to be considered before taking this kind of inhuman decision.
 
Pascal Mayalla,

From the outset, let me state that mimi sipo kwenye kulikosoa The Economist (I subscribe, it gets some things wrong too) wala Tanzania (I am past all hues of nationalistic bullshyt) wala Magufuli (I have stated countless times that he is a country bumpkin)

When water falls downhill, that is not news, that is the expected. When water climbs uphill, unaided, that is news.

When governments do their humdrum jobs, that is expected. It is not as newsworthy as corruption, malfeasance, decadence et cetera.

When a dog bites a man, that is as expected, that is not as newsworthy as when a man bites a dog.

Halafu elewa tofauti ya "na" na "au" katika mantiki.

Mtu anapoandika

"A quarter of Tanzanian girls aged 15-19 are pregnant or have given birth". The government’s response is to kick them out of school for good. Official statistics record that between 2003 and 2011, more than 55,000 girls dropped out because of pregnancy.

Ukishindwa kuelewa tofauti ya "au" na "na" unaweza kufikiri mmoja kati ya wasichana wanne wenye umri kati ya miaka 15-19 wana mimba na wamezaa, wakati kinachosemwa ni wana mimba au wamezaa.

Pia, unapopinga kwamba data hizi si sahihi, tuoneshe zako sahoihi ziko wapi na zina authority na credibility gani.

Pia, usililaumu "The Economist" kwa sababu Rais wako hana kauli ya Kirais. Rais anaposema "You are done" ana mana gani? Kama ana maana huwezi kusomeshwa na serikali tena, kwa nini asiseme huwezi kusomeshwa na serikali tena? Anaposema "You are done" anajiacha kuwa open to interpretation, maana yake nini? Huwezi kupata ajira serikalini? Watu wasiojulikana watakumaliza?

Rais mwenyewe hajui kuzungumza, watu wakimnukuu hata vibaya, kosa ni lake huyo Rais, si wanaomnukuu.
 
Back
Top Bottom