Yeah kwa mfano kama unazushiwa wewe ni mliberali halafu ni mliberali kweli, usipinge wala kupeleka watu mahakamani, wewe fanya press conference utaje ukweli kuhusu wewe halafu malizia na kicheko cha dharau. Like , " Watu wanasema mimi ni mliberali, eeh kweli wapo sahihi , mimi ni mliberali halafu cheka kicheko cha dharau " baada ya hapo anza kuzungumzia masuala mengine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.