The Divine Name—Its Use and Its Meaning

griffin griffith

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
549
440
upload_2017-7-5_6-46-57.jpeg upload_2017-7-5_6-47-51.jpeg upload_2017-7-5_6-50-45.jpeg upload_2017-7-5_6-52-32.jpeg upload_2017-7-5_6-52-47.jpeg upload_2017-7-5_6-56-44.jpeg upload_2017-7-5_7-1-49.jpeg upload_2017-7-5_7-8-9.jpeg upload_2017-7-5_7-9-49.jpeg upload_2017-7-5_7-10-28.jpeg upload_2017-7-5_7-13-4.jpeg upload_2017-7-5_7-15-26.jpeg upload_2017-7-5_7-17-35.jpeg
hello great thinkers...
natanguliza shukrani kwa wasisi wa hii site,foshizzle it is very smart and enjoyable.leo nataka tufahamishane kuhusu biblia despite of religious discrepancies, i would like either islamic,mormon,hindu,thao,fremasons na hta pagan guys to jadili hii mada
images

kwanza unatumia biblia tafsiri ipi?wengi hutumia
1.the gideons bible translation
upload_2017-7-5_7-1-49.jpeg

2.new american standard bible
upload_2017-7-5_7-8-9.jpeg

3.new international bible version
upload_2017-7-5_7-10-28.jpeg
.
4.new king james version
upload_2017-7-5_7-13-4.jpeg

5.new living translation bible
upload_2017-7-5_7-15-26.jpeg

6.new revised standard
upload_2017-7-5_7-17-35.jpeg

7.new world translation
COVCB-2.jpg
,
IN YOUR copy of the Bible, how is Psalm 83:18 translated? mimi nitatumia The New World Translation of the Holy Scriptures kama unaitaka hii biblia watafute mashahidi wa yehova mtaani kwako,waombe watakaupa free of charges.
hebu turudi,IN YOUR copy of the Bible, how is Psalm 83:18 translated? New World Translation of the Holy Scriptures renders this verse: “May know that you, whose name is Jehovah, you alone are the Most High over all the earth.” A number of other Bible translations give similar renderings. However, many translations leave out the name Jehovah, replacing it with such titles as “Lord” or “Eternal.” What belongs in this verse? A title or the name Jehovah?
think if someone claims..my president is hero,are you really satisfied to know the name of stated person?kuna maraisi wengi sana,

Psalm 83:18 This verse speaks about a name. In the original Hebrew in which much of the Bible was written, a unique personal name appears here. It is spelled יהוה (YHWH) in Hebrew letters.
images
In English, the common rendering of that name is “Jehovah.” Does that name occur in only one Bible verse? No. It appears in the original text of the Hebrew Scriptures nearly 7,000 times!
images

How important is God’s name?
Consider the model prayer that Jesus Christ gave. It begins this way: “Our Father in the heavens, let your name be sanctified.” (Matthew 6:9) Later, Jesus prayed to God: “Father, glorify your name.” In response, God spoke from heaven, saying: “I have glorified it and will glorify it again.” (John 12:28) Clearly, God’s name is of the utmost importance.

Why, then, have some translators left this name out of their translations of the Bible and replaced it with titles?
There seem to be two main reasons.
1.First, many claim that the name should not be used because the original way to pronounce it is unknown today. Ancient Hebrew was written without vowels. Therefore, no one today can say for sure exactly how people of Bible times pronounced YHWH. However, should this prevent us from using God’s name? In Bible times, the name Jesus may have been pronounced Yeshua or possibly Yehoshua—no one can say for certain.
images

Yet, people the world over today use different forms of the name Jesus, pronouncing it in the way that is common in their language. They do not hesitate to use the name just because they do not know its first-century pronunciation.
Similarly, if you were to travel to a foreign land, you might well find that your own name sounds quite different in another tongue. Hence, uncertainty about the ancient pronunciation of God’s name is no reason for not using it.
marriage-relationships-husband-wife-married-marriages-relationships-thu0379_low.jpg

2.A second reason often given for omitting God’s name from the Bible involves a long-standing tradition of the Jews. Many of them hold that God’s name should never be pronounced. This belief is evidently based on a misapplication of a Bible law that states: “You must not take up the name of Jehovah your God in a worthless way, for Jehovah will not leave unpunished the one who takes up His name in a worthless way.”—Exodus 20:7.(usilitaje jina la bwana mungu wako)
This law forbids the misuse of God’s name. But does it forbid the respectful use of his name? Not at all. The writers of the Hebrew Bible (the “Old Testament”) were all faithful men who lived by the Law that God gave to the ancient Israelites. Yet, they made frequent use of God’s name.
For instance, they included it in many psalms that were sung out loud by crowds of worshipers.
upload_2017-7-5_6-46-57.jpeg
upload_2017-7-5_6-47-51.jpeg
upload_2017-7-5_6-50-45.jpeg
upload_2017-7-5_6-52-32.jpeg
upload_2017-7-5_6-52-47.jpeg
upload_2017-7-5_6-56-44.jpeg
upload_2017-7-5_7-1-49.jpeg
upload_2017-7-5_7-8-9.jpeg
upload_2017-7-5_7-9-49.jpeg
upload_2017-7-5_7-10-28.jpeg
upload_2017-7-5_7-13-4.jpeg
upload_2017-7-5_7-15-26.jpeg
upload_2017-7-5_7-17-35.jpeg
upload_2017-7-5_6-46-57.jpeg
upload_2017-7-5_6-47-51.jpeg
upload_2017-7-5_6-50-45.jpeg
upload_2017-7-5_6-52-32.jpeg
upload_2017-7-5_6-52-47.jpeg
upload_2017-7-5_6-56-44.jpeg
upload_2017-7-5_7-1-49.jpeg
upload_2017-7-5_7-8-9.jpeg
upload_2017-7-5_7-9-49.jpeg
upload_2017-7-5_7-10-28.jpeg
upload_2017-7-5_7-13-4.jpeg
upload_2017-7-5_7-15-26.jpeg
upload_2017-7-5_7-17-35.jpeg
upload_2017-7-5_6-46-57.jpeg
upload_2017-7-5_6-47-51.jpeg
upload_2017-7-5_6-50-45.jpeg
upload_2017-7-5_6-52-32.jpeg
upload_2017-7-5_6-52-47.jpeg
upload_2017-7-5_6-47-51.jpeg

Jehovah God even instructed his worshipers to call on his name, and faithful ones obeyed. (Joel 2:32; Acts 2:21) Hence, Christians today do not hesitate to use God’s name respectfully, as Jesus surely did.—John 17:26.
now In replacing God’s name with titles, Bible translators make a serious mistake. They make God seem remote and impersonal, whereas the Bible urges humans to cultivate “close friendship with Jehovah.” (Psalm 25:14) Think of a close friend of yours. How close would you really be if you never learned your friend’s name?
upload_2017-7-5_6-52-47.jpeg

Similarly, when people are kept in ignorance about God’s name, Jehovah, how can they become truly close to God? Furthermore, when people do not use God’s name, they also lack knowledge of its wonderful meaning.
What does the divine name mean?
God himself explained the meaning of his name to his faithful servant Moses. When Moses asked about God’s name, Jehovah replied: “I Will Become What I Choose to Become.” (Exodus 3:14) Rotherham’s translation renders those words: “I Will Become whatsoever I please.” So Jehovah can become whatever is needed in order to fulfill his purposes, and he can cause to happen whatever is required with regard to his creation and the accomplishment of his purpose.

Suppose that you could become whatever you wanted to become. What would you do for your friends?
upload_2017-7-5_6-56-44.jpeg

If one of them became seriously ill, you could become a skilled doctor and perform a cure. If another suffered a financial loss, you could become a wealthy benefactor and come to his rescue. The truth is, though, that you are limited in what you can become. All of us are. As you study the Bible, you will be amazed to see how Jehovah becomes whatever is needed in order to fulfill his promises. And it pleases him to use his power in behalf of those who love him. (2 Chronicles 16:9) These beautiful facets of Jehovah’s personality are lost to those who do not know his name.Clearly, the name Jehovah belongs in the Bible. Knowing its meaning and using it freely in our worship are powerful aids in drawing closer to our heavenly Father, Jehovah

kind regards

best
 
Attachments

  • 17309281_1891655294409992_6049007732833810113_n.jpg
    17309281_1891655294409992_6049007732833810113_n.jpg
    11 KB · Views: 96
Mkuu kwanini hukutulia ukarafsiri hicho kilugha, unajua umetunyima uhondo sana tusiojua kimbombo.
Unaonaje utafsri kwa ajili yetu wafuasi wa mukulu tusiojua Eng!!
 
Ninatambua kuwa huu ndiyo moja ya misingi ya imani ya JW [Jehovah Witness]Msingi mwingine ni kuwa Yesu siyo Mungu pamoja na mambo mengine madogo madogo kama kutokuamini uwepo wa jehanamu na suala la wanadamu kuishi hapa duniani milele na mengine mengi....

Ukiachana na historia yenye ukakasi wa kluanzishwa kwa dhehebu hili pamoja na historia ya ukakasi ya mwanzilishi wake Charles Taze Russell bado kuna shida kwenye jina au neno Jehovah...

Hizo herufu nne [tetragrammaton] zina historia yake ambayo ina ukakasi fulani hivi mkuu.Sijawa tayari kuizungumzia kwasababu kuna mambo nayafuatilia kuhusu hizo herufi,lakini hizo herufi kwa nijuavyo sasa siyo Kiebrania hicho bali ni lugha moja inaitwa Babylonia-Aramaic na Wayahudi walitoka nayo kule Babeli walipokuwa wamepelekwa utumwani.....

Hata kama hizo herufi zingekuwa kweli bado neno au jina Yehova ni "guess" name siyo halisi kwasababu,kutokana na nadharia ya herufi hizo kuwa Musa alipewa na hazikuwa na zile herufi za ziada ambazo zinatusaidia leo kusoma maandiko ambazo ni a,e,i,o,u,kitendo cha kuweka hizo herufi katikati ya hizo herufi nne ambazo ni YHWH ni kukisia tu maana hatujui kama jina hilo lilikuwa linatamkwa Yehova kama kweli herufi hizo ni halisi....

Kwa kukuongezea tu,jina la Mungu alilopewa Musa mara ya kwanza ambalo ni NIKO AMBAYE NIKO kwa Kiebrania ni Ehyeah Asher Ehyeah na lilikuwa ni HYH ambalo ni tofauti na hilo unalolisemea wewe ambalo ni YHWH,kwanini?

Yote katika yote,nina maswali kadhaa kwenye hili na sitarajii nipate majibu yake kwa watu bali ninaendelea kumuomba Mungu anipe majibu kama ambavyo amekuwa akinipatia majibu ya maswali yangu mengine mengi sana.....
 
shukrani mkuu
ila ningependa kujibu hoja yako iliyosheheni smartnesskwa vipengele vifuatavyo
WAASISI AU WANZILISHI WA IMANI,DINI AU DHEHEBU
kwanza nipende kusema mimi sizungumzii dini hapa,nazungumzia mada kuhusu jina la mungu, nafahamu vema historia ya mashahidi wa yehova ni ukweli kuna uatata katika wasisi,nasema hili watu wajue ukweli halisi..ila si kigezo cha mimi au wewe tusilete au tusijadili mada zilizowahi au zinazotolewa na mashaidi wa yehova..tukichunguza chanzo cha wasisi na makosa yao yaliyosahihishwa hamna dhehebu au dini inayopona hapa duniani maana hao wote walikuwa wanadamu yaani hawajakamilika..hivyo si busara nikaanza kusema au wew ukasema mistakes walizofanya ambapo hao watu wamesimamisha dini au dhehebu kama roma catholic,rutheran,FPCT,TAG,budhisim,shinto,islamic ,mormonism,freemasonry...
narudia tukijadiri makosa yao hamna dini au dhehebu safi mkuu kufanya hivi ni sawa na kusema tanzania haifai kwa kuchunguza makosa ya wasisi kama nyerere na karume,au ethiopia chini ya haile selasie

2.JINA LA MUNGU YEHOVA

ni kweli kabisa baadhi ya majina yana utatata.ila nataka kukuuliza jambo mkuu
1.najua unaelewa kuna tafsri nyingi za biblia,swali original document ni ipi?ilipatikanaje?iko wapi kwa sasa?ukishajua hilo utagundua kuwa ni bora orijino document ni yenye majibu sahihi mkuu..kwanini?wakati mashahidi wanatafsiri biblia walitumia vigezo hivi
a.original document written by bible characters inataja jina la mungu yaani yehova mara 7000,sasa ukitilia shaka jina la mungu maana yake umetilia shaka those legends
b. lugha ya sasa i maean modern and update words....ikumbukwe lugha za kiswahili au zozote mbali na za kigiriki na kiebrania si orijino

3.SHUKRANI
Nipende kukushukuru zaidi kwa hoja zako zenye kuleta changamoto vichwani mwa watu...pia uandishi wako katika kutumia lugha inayokubalika,lakini pia nitafurahi zaidi ukiendelea kutolea hoja ili mimi,wewe,na engine tujijenge pia
ahsantee
 
Ninatambua kuwa huu ndiyo moja ya misingi ya imani ya JW [Jehovah Witness]Msingi mwingine ni kuwa Yesu siyo Mungu pamoja na mambo mengine madogo madogo kama kutokuamini uwepo wa jehanamu na suala la wanadamu kuishi hapa duniani milele na mengine mengi....

Ukiachana na historia yenye ukakasi wa kluanzishwa kwa dhehebu hili pamoja na historia ya ukakasi ya mwanzilishi wake Charles Taze Russell bado kuna shida kwenye jina au neno Jehovah...

Hizo herufu nne [tetragrammaton] zina historia yake ambayo ina ukakasi fulani hivi mkuu.Sijawa tayari kuizungumzia kwasababu kuna mambo nayafuatilia kuhusu hizo herufi,lakini hizo herufi kwa nijuavyo sasa siyo Kiebrania hicho bali ni lugha moja inaitwa Babylonia-Aramaic na Wayahudi walitoka nayo kule Babeli walipokuwa wamepelekwa utumwani.....

Hata kama hizo herufi zingekuwa kweli bado neno au jina Yehova ni "guess" name siyo halisi kwasababu,kutokana na nadharia ya herufi hizo kuwa Musa alipewa na hazikuwa na zile herufi za ziada ambazo zinatusaidia leo kusoma maandiko ambazo ni a,e,i,o,u,kitendo cha kuweka hizo herufi katikati ya hizo herufi nne ambazo ni YHWH ni kukisia tu maana hatujui kama jina hilo lilikuwa linatamkwa Yehova kama kweli herufi hizo ni halisi....

Kwa kukuongezea tu,jina la Mungu alilopewa Musa mara ya kwanza ambalo ni NIKO AMBAYE NIKO kwa Kiebrania ni Ehyeah Asher Ehyeah na lilikuwa ni HYH ambalo ni tofauti na hilo unalolisemea wewe ambalo ni YHWH,kwanini?

Yote katika yote,nina maswali kadhaa kwenye hili na sitarajii nipate majibu yake kwa watu bali ninaendelea kumuomba Mungu anipe majibu kama ambavyo amekuwa akinipatia majibu ya maswali yangu mengine mengi sana.....
Mkuu basi malizia utafiti wako tuje kusoma vizuri
 
sorry sikukujibu kuhusu swala la mashahidi juu ya kuamini kuwa yesu si mungu
labda niseme nimezaliwa na kukua nikiwa mlutheri,ila niseme hata mimi nasema yesu ni mwana wa mungu,kuhani mkuu na nabii mkuu pia..labda mkuu kama una mda au mimi nina mda tuanzishie uzi wa hii mada..yawezekana upo sahihi au mimi nipo sahihi,lmsingi wa mada utegemee biblia tu..
pia kama ulivyosema mashahidi wa yehova hawaamini yesu si mungu,pia wanaamini moto wa mateso haupo,utatu haupo na mengineyo..
ninaamini wewe ni msomi waweza leta jibu hoja kwa misingi ya biblia si kisa kiongozi fulani wa dini au mapokeo.karibu sana tujengane kwa hoja si kama ilivyozoeleka watu wanajibu kwa uzoefu au kutetea udini maana hata amri ya mungu yasisitiza mpende mungu wako kwa akili zako zote na kwa moyo wako wote.....

karibu sana mkuu
 
mungu au Mungu mkuu au pia hiyo m na M havimati huko JW
 
Unaweza kuanzisha tu uzi mkuu kisha tukachangia pale ambapo tutaona inafaa na piakujibu maswali ambayo tutaona tuna majibu yake.....

Ahsante...
 
2.JINA LA MUNGU YEHOVA
ni kweli kabisa baadhi ya majina yana utatata.ila nataka kukuuliza jambo mkuu
1.najua unaelewa kuna tafsri nyingi za biblia,swali original document ni ipi?ilipatikanaje?iko wapi kwa sasa?ukishajua hilo utagundua kuwa ni bora orijino document ni yenye majibu sahihi mkuu..kwanini?wakati mashahidi wanatafsiri biblia walitumia vigezo hivi
a.original document written by bible characters inataja jina la mungu yaani yehova mara 7000,sasa ukitilia shaka jina la mungu maana yake umetilia shaka those legends
b. lugha ya sasa i maean modern and update words....ikumbukwe lugha za kiswahili au zozote mbali na za kigiriki na kiebrania si orijino
Mkuu...

Unaandika Biblia kama vile ni kitabu kimoja wakati Biblia ni maktaba ya vitabu vingi sana ambavyo binadamu ndiyo walivikusanya na kutengeneza maktaba inayoitwa Biblia....

Unapozungumzia original ya Biblia jibu lake ni kwamba hakuna original isipokuwa kuna vitabu vya kale kabisa vilivyokusanywa na kupatikana mkusanyiko wa pamoja unaoitwa Biblia leo hii...

Dead sea scrolls inathibitisha kuwa King James version iko accurate na ni sahihi kabisa...

Waliokusanya vitabu hivi ni akina nani hadi tukapata maktaba inayoitwa Biblia leo?
 
Hapana hamna mahali niliposema biblia ni kitabu kimoja...labda umesema hivyo kwa maana IPI??Mimi nafaham fika orijino kopi ni hizo hati kunjo unazozisema

Pili niambie wew ulivoelewa kwanini king James ni sahihi,tuelimishe hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom