The difference between the west and the Chinese societies in responding to racism acts

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,483
51,056
No doubt, there is still racism in the west.

The effects of slavery and colonialism still exist on how racial relationships take place in the west especially the United States of America. There are racists in those countries who would love to see their countries go back to the way of lives 200 years ago where blacks were Slaves.

However on the positive note, The Majority in the Western societies today are enlighten, they hate racism, they detest it in all its forms.
This can be evident in the steets of All Cities in the United States and other Western countries. People of all races, White, black, Latino, Natives and so on have poured in the streets in millions to protest against racism against black people.

These people have shown empathy, and all agree that, a more fairer society must be created for all.

These people not only stand up for blacks today, but they stood up for the Chinese too when the chinese were being discrimnated in the streets when bigots and racists were equating them with the Corona virus.

You can see the difference between western societies with the chinese society. for example, Where are the Chinese people in the streets of Shanghai and Beijing to stand up against racism in America?. Why the Chinese were so vocal when they were victims of racism due to corona virus but they don't show much solidarity with the African Americans to what is going on in America now?

Few months ago, the Chinese government circulated a document requiring the chinese people to give comments on what they think should be done on a new type of residence permit (take it as green card) to people from all over the world with special talents, capital, expertise to settle and live in China, What happened then after was a big shame, The majority of the Chinese Comments were purely racists against black people, The chinese were using slurs against black people calling them ugly, low IQ, black devils, people who will contaminate the chinese "pure" blood and so on. These racists are free to give such comments with impunity, and the government never warn them to stop, but these people would be in trouble on a slightest negative comment about the Chinese Communist party!

While The Chinese ministry of foreign affairs has issued a statement against racism in America, yet we don't see very much if the chinese society as a whole is touched with empathy to blacks when it comes to suffrage against racism all over the world.

Indeed, Racism still ecists in the west, but fortunately, through freedoms that exist in the west, one good thing that give me hope is there are millions of white people in the west who have much empathy, enlightened and good people who will never tolerate racism in all its ugly forms. Their presence in millions in the streets today is self evident of that
 
Wazungu ndio wapinga ubaguzi wakubwa, ingawa kuna wazungu wabaguzi.
 
I regret this nice topic might not attract many people as it should because it vividly exposes the racist disposition of the Chinese towards the black Africans.

Needless to say, racism is a sin that is of human nature as it can be traced to many generations back and it will definitely not go away.

Unfortunately the black people are the ones who have frequently been the subject of racism especially when they find themselves to be outside of their native continent.

Although the black people are being discriminated against in the west, the vice is worse in Asian countries China being no exception. The racist Chinese are not content to see the growing population of Africans rising in their country and are ready to do everything they can to stop it.

United States has a population of over 40 million African Americans the population that has been left to grow despite allegations of racism in that country and surely if this population could be in
China it's incomprehensible how the situation there could have been.

Lastly, as the trend is set to continue it's not bad to pinpoint the potential causes that trigger this vice one of which is the African continent's inability to properly govern herself a situation that has made the continent to be both technologically and development wise ever backward.
 
Racism is an in born sense of nationalism, superiority complex of a race against others, I don't wonder seeing Chinese are discriminating the black race ( people). This is because China is a nation of Chinese dominated territory with no any history of black race being part of China's foundation.

I think in the US, black race was supposed to be respected since then, black majority are the cornerstones of the present day powerful USA.

Any civilized society would be firm to condemn the ongoing racial classifications in the modern world, we must live for taking advantage in each other's presence.

But all in all we as black people in this world, we must agree that we are perhaps the less valued race under the sun.
 
White race has no history of being a part of china too, and infact Imperialists from the west in the past humiliated China for about 200 years, where they would divide China among themselves like a pizza.

But with this reality, The Chinese accord the white people a deserved human dignity, they dont racially discrimnate against them Unlike how they treat Africans.

This shows that the Chinese only respect people with riches and power, and since this fortunes have been in the hands of the west for the past 300 years, then this could be a reason why the chinese respect them than they do to Africans
 
Racism is an in born sense of nationalism, superiority complex of a race against others, I don't wonder seeing Chinese are discriminating the black race ( people). This is because China is a nation of Chinese dominated territory with no any history of black race being part of China's foundation.

I think in the US, black race was supposed to be respected since then, black majority are the cornerstones of the present day powerful USA.

Any civilized society would be firm to condemn the ongoing racial classifications in the modern world, we must live for taking advantage in each other's presence.

But all in all we as black people in this world, we must agree that we are perhaps the less valued race under the sun.
Black majority or black minority ?
 
Chinese are hypocrites , they pretend to be our closest allies yet they treat us like animals.

We are the ones who buy majority of their fake goods, we have given them super contracts and neglected our very own companies , its time to deal with them squarely.
 
Angalau MKUU umetoka MBOCHI kwahio umeleta huu uzi kuhalalisha Unyama alofanyiwa Floyd ama kupinga kuhusiana na ubaguzi!?

Huwezi kutatua tatizo lako kwakujidanganya kuwa halipo
 
Nani kahalalisha unyama uliofanywa kwa Floyd? , point ya msingi ni kuwa pamoja na ubaguzi ulioko huko, bado jamii yao inaweza kusimama na kukemea ushenzi. Walifanya hivyo wachina walipokuwa wakibaguliwa na sasa wamefanya kwa wingi kuside na blacks
 
Suala lakupinga kama wana andamana lazima waandamane kwani katika taifa lakidemokrasia siwana haki yakuandamana ?!

Siungi mkono ila kama CHINA watazuiwa kuandamana kuna tatizo gani wakati taifa sio lakidemokrasia ?!

Kama HONG KONG wanazuiwa wasiandamane unashangaa kama watazuiwa kwenye kupinga ubaguzi ?!

Ishu sio kuhalalisha ubaguzi ishu nikukujulisha yakwamba kuandamana UCHINA sio haki yakimsingi yaraia wanayopewa naserikali kama ilivyokuandamana katika mataifa yademokrasia

Hv huelewi kwani kama UCHINA sio taifa linalofuata demokrasia au unafanya kusudi BOSS

Hv huelewi katika taifa ambalo halina demokrasia kunamambo mengi yanaekewa mipaka ikiwemo kuandamana ?!

Kuifananisha UCHINA na Mataifa mnayoyaita yakidemokrasia katika masuala yakuandamana nimatumizi mabaya ya jukwaaa.....
 
Hoja siyo ishu ya demokrasia, kupinga ubaguzi wala huisumbui serikali yako, tofauti na kuingia mtaani kudai demokrasia.
Sema tu huenda wachina hawajali vya kutosha kuhusu ubaguzi dhidi ya mtu mweusi.

Kama kuandamana, mbona wachina huwa wanaandamana mamilioni kwa mamilioni kupinga unyama waliofanyiwa na wajapani miaka 80 iliyopita?

Kwa nini sasa wasiandamane kupinga ubaguzi dhidi ya mtu mweusi popote duniani including nchini mwao?
 
Dah suala lakuandamana tena ambalo walinyanyaswa wao MKUU unahisi wanaweza wakapingwa naserikali yao katika kufanya hivyo ?!

Ntaftie mfano mwengine huu hauwezi kua mfano

Linapokuja suala lamaslahi yakulitetea taifa wanakua pamoja nandio maana awali nlikwambia maandamano lazma yapate baraka yaviongozi sasa hayo yamepata baraka kwa zaidi ya 100%

UCHINA ubaguzi upo ila haimaanishi kwamba ndio unaungwa mkono ila nikwamba swala lamaandamano andamano ambayo yapo against naserikali pale UCHINA hua yanazuiliwa sio laubaguzi tu maandamano yeyote sababu hua wanategemea kutokea fujo ndio maana.

Ila linapokuja suala lakuandamana dhidi ya wajapan hilo nisuala rasmi lakiserikali ukake ukijua.....
 
Kupinga ubaguzi hakuwezi kukuweka katika ugomvi na serikali yako, labda kama nayo inaunga mkono ubaguzi.

Vipi, kwani serikali ya China inaunga mkono ubaguzi nini, kiasi kwamba raia wakiandamana kuupinga ni kosa mbele ya serikali yao?
 
Sijasema wanapinga kuandamana sababu ya ubaguzi nimesema wanapinga maandamano kama maandamano maranyingi sababu wanaamini maandamano mengi mwisho huleta vurugu kwenye hili laubaguzi sikufatilia vyema ila UCHINA sikumbuki walitoa kauli gani ila naamini hawakuunga mkono ubaguzi japokua wanaweza kua watu hawakuandamana kama ilivyokua kwamataifa mengi ya Afrika

Kwani MKUU katika hili mataifa ya AFRIKA na UCHINA nani muathirika MKUU waubaguzi wawatu weupe

Je kunamataifa mangapi ya AFRIKA yaliandamana kupinga mauwaji yabwana floyd?!
 
Suala lakupinga kama wana andamana lazima waandamane kwani katika taifa lakidemokrasia siwana haki yakuandamana ?!

Siungi mkono ila kama CHINA watazuiwa kuandamana kuna tatizo gani wakati taifa sio lakidemokrasia ?!

Kama HONG KONG wanazuiwa wasiandamane unashangaa kama watazuiwa kwenye kupinga ubaguzi ?!

Ishu sio kuhalalisha ubaguzi ishu nikukujulisha yakwamba kuandamana UCHINA sio haki yakimsingi yaraia wanayopewa naserikali kama ilivyokuandamana katika mataifa yademokrasia

Hv huelewi kwani kama UCHINA sio taifa linalofuata demokrasia au unafanya kusudi BOSS

Hv huelewi katika taifa ambalo halina demokrasia kunamambo mengi yanaekewa mipaka ikiwemo kuandamana ?!

Kuifananisha UCHINA na Mataifa mnayoyaita yakidemokrasia katika masuala yakuandamana nimatumizi mabaya ya jukwaaa.....
Kwa asilimia fulani mimi nakubaliana na Missile of the Nation kwa sababu zifuatazo.

1. Ubaguzi dhidi ya wa-China covid-19 iliposhika hatamu wa-China walilalamika sana Ulimwenguni kwa kutumia serikali yao na vyombo vya habari vya kwao.

2. Serikali yao ilionyesha hili tatizo lipo na ilifanya juhudi ya kulizungumzia hili kimataifa kwa mapana.

Ubaguzi wa-China kwa watu weusi. China ilifanya haya:

1. Vyombo vyao vya habari walilipa mgongo suala.
2. Serikali yao ilikana kuwa wa-Afrika wanafanyiwa ubaguzi.
3. Kila aina ya clip iliyoonyesha ubaguzi dhidi ya watu weusi nchini China serikali na vyombo vya habari vya China walitumia propaganda ili kuzima hili suala.

• Vituo vya habari vya China vilitumika kupinga kwa kuonyesha kuhoji baadhi ya watu weusi waishio China kwa kuonyesha kwamba wanaishi vizuri, zinazotumika ni propaganda tu dhidi ya wa-China.

•Waliandaa vipindi vya kuonyesha wanatembelea makazi ya watu weusi na kuonyesha kuwa wanaishi bila bughudha ya ubaguzi wa rangi.

• Serikali ya China ilikana kwa nguvu kubwa ulimwenguni, mfano hapa Tanzania Mh. Zitto Zuberi Kabwe alitoa masikitiko yake kwa serikali ya China kutokana na ubaguzi wa rangi wanaoufanya kwa watu weusi. Kilichotokea ni kwamba Balozi ya China hapa Tanzania ilikana kabisa! Ilichokifanya ilikana kabisa na kumtuhumu Mh. Zitto kuwa anataka kuvunja mahusiano chanya yaliyopo baina ya China na Afrika.

• Serikali ya China ilikana kwa kusema Afrika kwa China ni ndugu tangu kale. Walitumia vyombo vya habari na kujificha kwenye kivuli cha uhusiano wa serikali ya Amerika na black Amerika.

Niishie hapa!

Kwa ufupi ni kuwa serikali ya China haikuonyesha kuwa kuna tatizo hilo na wala hawakuchukua hatua na ndiyo maana hawakukemea raia wao.
Haya sikusimuliwa bali nimeyashuhudia mwenyewe kwenye vyombo vya habari vya China! Kwa hasira nili unsubscribe Tv stations zao zote na movie zao mpaka sasa (Ilikuwa haipiti siku 3 au 2 natizama movie zao mpya).

Ijapokuwa mzungu naye ni mbaguzi na ana kasoro zake lakini raia wao miongoni wanaonyesha kuwa hawapendi ubaguzi na wapo tayari kumwambia mzungu mwenzao unachokifanya ni ubaguzi. Nilichogundua ni kuwa serikali ya China imewapunja raia wake ustaarabu wa kutangamana na jamiitofauti iliyo mbali na mzungu.
 
Nilichogundua ni kuwa serikali ya China imewapunja raia wake ustaarabu wa kutangamana na jamiitofauti iliyo mbali na mzungu.(kupitia hoja hii nandio maana nikasema UCHINA sio taifa lakidemokrasia kwahio hata raia wao kuna baadhi yamambo wanashindwa kutolea hisia zao sababu ambazo zipo control naserikali)
Kwa asilimia fulani mimi nakubaliana na Missile of the Nation kwa sababu zifuatazo.

1. Ubaguzi dhidi ya wa-China covid-19 iliposhika hatamu wa-China walilalamika sana Ulimwenguni kwa kutumia serikali yao na vyombo vya habari vya kwao.

2. Serikali yao ilionyesha ilionyesha hili tatizo lipo na ilifanya juhudi ya kulizungumzia hili kimataifa kwa mapan.

Ubaguzi wa-China kwa watu weusi. China ilifanya haya:

1. Vyombo vyao vya habari walilipa mgongo suala.
2. Serikali yao ilikana kuwa wa-Afrika wanafanyiwa ubaguzi.
3. Kila aina ya clip iliyoonyesha ubaguzi dhidi ya watu weusi nchini China serikali na vyombo vya habari vya China walitumia propaganda ili kuzima hili suala.

• Vituo vya habari vya China vilitumika kupinga kwa kuonyesha kuhoji baadhi ya watu weusi waishio China kwa kuonyesh kwamba wanaishi vizuri, zinazotumika ni propaganda tu dhidi ya wa-China.

•Waliandaa vipindi vya kuonyesha wanatembelea makazi ya watu weusi ni kuonyesha kuwa wanaishi bila bighudha ya ubaguzi wa rangi.

• Serikali ya China ilikana kwa nguvu kubwa ulimwenguni, mfano hapa Tanzania Mh. Zitto Zuberi Kabwe alitoa masikitiko yake kwa wa-China kutokana na ubaguzi wa rangi wanaoufanya kwa watu weusi. Kilichotokea ni kwamba Balozi ya China hapa Tanzania ilikana kabisa! Ilichokifanya ilikana kabisa na kumtuhumu Mh. Zitto kuwa anataka kuvunja mahusiano chanya yaliyopo baina ya China na Afrika.

• Serikali ya China ilikana kwa kusema Afrika kwa China ni ndugu tangu kale. Walitumia vyombo vya habari na kujificha kwenye kivuli cha uhusiano wa serikali ya Amerika na black Amerika.

Niishie hapa!

Kwa ufupi ni kuwa serikali ya China haikuonyesha kuwa kuna tatizo hilo na wala hawakuchukua hatua na ndiyo maana hawakukemea raia wao.
Haya sikusimuliwa bali nimeyashuhudia mwenyewe kwenye vyombo vya habari vya China! Kwa hasira nili unsubscribe Tv stations zao zote na movie zao mpaka sasa (Ilikuwa haipiti siku 3 au 2 natizama movie zao mpya).

Ijapokuwa mzungu naye ni mbaguzi na ana kasoro zake lakini raia wao miongoni wanaonyesha kuwa hawapendi ubaguzi na wapo tayari kumwambia mzungu mwenzao unachokifanya ni ubaguzi. Nilichogundua ni kuwa serikali ya China imewapunja raia wake ustaarabu wa kutangamana na jamiitofauti iliyo mbali na mzungu.
Sidhanii kama kuna sehemu niliosema UCHINA hakuna ubaguzi la suala laubaguzi UCHINA lipo tena lipo

Ila nlichokua namsemea jamaa ndio hilo ulilolizungumzia hapo lautengano nanilimwambia jamaa kwamba UCHINA kunawakati RAIA wanashindwa kutoa baadhi yamambo sababu yamfumo waserikali yao(sio yademokrasia)

Umegusia suala la koronya(COVID-19)sidhanii kama suala hili lilikua kinahusiana na ubaguzi nadhani suala lile lilikua kisiasa na kiuchumi zaidi

Nipo tayar kukosolewa nakurekebishwa MKUU(ngoja nkakupe na like maana umetiririka kinyama mzee Kongole.)
 
Umegusia suala la koronya(COVID-19)sidhanii kama suala hili lilikua kinahusiana na ubaguzi nadhani suala lile lilikua kisiasa na kiuchumi zaidi
Hili suala unafahamu lilivyokwenda? Kwa vile sintofahamu ya siasa ya US na China, US alivyolishikilia bango ubaguzi wa China kwa watu weusi unajua Mchina alifanyaje?

Watu waliyotoka Taifa moja wenye tofauti ya rangi hatamu ya covid-19 nchini China walikuwa wanahudumiwa tofauti, unafahamu hili?

Unaju ndugu yangu mara nyingi humu Jf mi huwa napenda kusoma zaidi, huwa nasoma nyuzi unazochangia pia!

Moyo wako hauja uelekeza kwenye haki, moyo wako umeuelekeza kwenye chuki! Taifa linalopmbana na wamagharibi dhidi ya ubabe wao unayaunga mkono sana, hata mimi pia nayaunga mkono na nayapenda!

Lakini hayo mataifa yakifanya ufisadi kwenye ardhi hata tuseme labda waliteleza wewe haupo nadhiri nalo hilo utawatetea tu.

Msimamo wa Missile of the Nation naufahamu, lakini haimaanishi akiandika ukweli nimpinge! Sasa sijajua labda unamtia changamoto Missile of the Nation
 
Nakuelewa sana Bwana Utam
Tunawalalamikia sana Wachina na nchi nyingine za Asia pasipo kuangalia namna ya uongozi ulio kwao. Tunachokiona Magharibi kikiendelea kwa watu kuingia mitaani ni zao la demokrasia ambayo haipo kwenye nchi nyingi za Asia. China kwa mfano kuandamana si haki ya raia, lakini kwa nchi za Magharibi ni haki ya msingi itokanayo na hiyo demokrasia. Wakati Wachina wanabaguliwa (kipindi corona ipo kwao tu) nadhani wangetamani kupaza sauti zaidi ya kulalamika tu kwenye vyombo vya habari na mitandaoni, lakini ni Mchina gani alithubutu!
 
Hapana MKUU inawezekana ukawa hujanielewa maranyingi hua niko upande wawapinga MAGHARIBI kweli kabisa

Ila kuhusiana na UCHINA maranyingi hua napenda kuwatetea kwasababu yaaina yamfumo wao ulivyotofauti na wengine

Namfano jamaa hapa hoja ilipo anzia ilikua ishu nzima kuhusiana nanamna wamifumo miwili yasiasa ambayo ipo tofauti

Inawezekana kwa 100% sijakujibu namna swali lako ulilonielekeza ila pia kwaupande mmoja nimekujibu kwa 100%

Mfano UCHINA iliwatesa sana nabado inawateza waislam wa UIGHUR kwanamna wanavyojua wao ila siungani nao kuwatesa WAISLAM ila kutokana namfumo wao wautawala hawana DEMOKRASIA wakisema tunataka taifa zima liwe halina dini watakua wamekosea(KIBINA ADAMU WAMEKOSEA SANA SANA SANA)ila kimfumo wautawala uliopo kwao Watakua wapo sahihi kwasababu sio mfumo ambao watu wanauhuru wakufanya wanayoyapenda ila waanuhuru wakuyafanya yanayopendwa naserikali hatakama sio mazuri

Mfano katika mfumo wakidemokrasia huwezi ukamwambia mtu lazima ufanye hivi(utakua ushavunja demokrasia yenyewe) wakati US wanawalaumu UCHINA kuhusiana na UIGHUR na HONGKONG wanasahau kama UCHINA nitaifa ambalo sio lakidemokrasia anaweza akaamka JINPING akasema leo simu zote zinazimwa na akawa yuko sawa kwamfumo wakwao ila kwademokrasia sio sawa

Mfano katika mfumo wakidemokrasia unaotawala MAGHARIBI ubaguzi unatamalaki kwanini wakati wanasema kabisa kuna usawa kwakilamtu (uelewe katika suala lademokrasia mwanaume mwaanmke msichana mvulana hawawote wanahaki sawa atakavyo shughulikiwa mwanamke mwanaume mweusi mweupe nisawa ukienda kinyume umekiuka demokrasia) wakati katika taifa kama la UCHINA maamuzi yanaweza yakatolewa na CCP hatakama yanaweza yakawagharimu watu wengi haitakuashida maadamu wao wameyaridhia

Mwisho:-nnapotaka munielewe nikwamba unapotaka taifa lakidemokrasia kama US(WESTERN) wafanane kiutawala na UCHINA taifa ambalo demokrasia wao hawaijui kwao nikutudanganya MKUU kuna mambo mabaya yatafanywa UCHINA siokama nitayapenda Binafsi yangu Nitayakemea(hapa ntayakemea mimi kama mimi ila sio mfumo wautawala wa UCHINA)

Tatizo lenu nikwamba mnataka UCHINA taifa ambalo sio lakidemokrasia liendeshwe kidemokrasia nahapa ndio mnapokosea nakuniona kama nayaunga mkono mabaya ya UCHINA hapana Siyaungi mkono ila kutokana na mfumo wa UCHINA wachache wanamamlaka kuliko wengi ila DEMOKRASIA wanamfumo wawengi wape

Leo UCHINA wakiamua kuwauwa watu weusi kibina adamu itakua haiko sawa ila kutokana namfumo wao wautawala watakua wako sawa

Leo US wakitaka kufanya jambo watataka wapige kura waangalie wengi wanasemaje

Maandamano kibinaadamu hayapingwi ila kimfumo wautawala wachina maandamano yanaweza kua haramu kubwa

Tatizo sio kama naitetea UCHINA ila nautetea aina yao yamfumo wautawala unawapa ruhsa kufanya wanayoyafanya

Leo mtu anakuja kuuliza watu wangeandamana CHINA unajiuliza UCHINA namaandamano ambayo serikali hawayataki wapi nawapi

Yanayowatokea wamagharibi niaina yamfumo wao kama yanayowatokea UCHINA
 
Nakuelewa sana Bwana Utam
Tunawalalamikia sana Wachina na nchi nyingine za Asia pasipo kuangalia namna ya uongozi ulio kwao. Tunachokiona Magharibi kikiendelea kwa watu kuingia mitaani ni zao la demokrasia ambayo haipo kwenye nchi nyingi za Asia. China kwa mfano kuandamana si haki ya raia, lakini kwa nchi za Magharibi ni haki ya msingi itokanayo na hiyo demokrasia. Wakati Wachina wanabaguliwa (kipindi corona ipo kwao tu) nadhani wangetamani kupaza sauti zaidi ya kulalamika tu kwenye vyombo vya habari na mitandaoni, lakini ni Mchina gani alithubutu!
Dah Hammaz Natamani wote mungekua mnanielewa kama huyu BOSS hapa

Shukran MKUU nahisi naweza nikaeleweka Kupitia wewe
 
Back
Top Bottom