*The Devils* | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

*The Devils*

Discussion in 'Sports' started by Manda, Aug 8, 2008.

 1. Manda

  Manda JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 2,075
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wasalaam wanazi wenzangu wa Manutd Utd pia na wapenzi wa kandanda kwa ujumla!, ikiwa imebaki wiki moja tuu ili pazia la ligi kuu ya Uingereza, ligi ambayo mimi na wewe tunaipenda sio mbaya kwa tukawa na jukwaa letu la Mashetani kama ilivyo ada!..

  Kwa mechi ya ngao ya hisani jumapili kati ya Manutd na Portsmouth ni kiashiria tosha kwamba mchakamchaka umeanza tena..kwa wanazi wenzangu naomba tuungane mkono katika thread hii tangu jumapili ijayo hadi fainali ya Champion ligi mwakani May(najua tutafika tu)!!

  Wasaalam & kila la heri!!..na naomba kuwakilisha!!!!

  One Love.....One United...!!!
   
 2. Manda

  Manda JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 2,075
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mod plz as much as hapo juu kuna thread ya Idimi of the same team plz get the hell out of this, just uinganishe pamoja na hiyo ya IDIMI (MANUTD 2008/2009).
   
Loading...