The Dancing Boys of Afghanistan: Homosexuality among Taliban Commanders | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The Dancing Boys of Afghanistan: Homosexuality among Taliban Commanders

Discussion in 'International Forum' started by Ndjabu Da Dude, May 31, 2011.

 1. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2011
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,652
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  The Dancing Boys of Afghanistan | FRONTLINE | PBS Video

  [​IMG]  Huffington Post Nicholas Graham
  First Posted: 04/22/10 03:46 PM Updated: 06/22/10 05:12 AM

  PBS's Frontline has posted their latest piece online, and it is both fascinating and horrifying. "The Dancing Boys of Afghanistan" exposes the horrific practice called Bacha Bazi, in which young Afghan boys are sold to warlords and powerful businessmen to be trained as dancers who perform for male audiences in women's clothing and are then used and traded for sex. The practice is sadly making a comeback in that country.
  Frontline writes:
  Under the guise of doing a documentary on similar practices in Europe, Quraishi gained the confidence of Dastager, a former mujahideen commander and wealthy businessman whose business interests include importing autos from the Far East. With Dastager as his guide, Quraishi takes viewers inside the world of bacha bazi, where prominent men compete to own and use the boys. "I go to every province to have happiness and pleasure with boys," says an Afghan man known as "The German," who acts as a bacha bazi pimp, supplying boys to the men. "Some boys are not good for dancing, and they will be used for other purposes. ... I mean for sodomy and other sexual activities."
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  lol, kaaz kweikwei.

  Ami uppozz? atakuja mda si mrefu na trupu lake kusema hii ni Western propaganda. :pound:
   
 3. The Mockingjay

  The Mockingjay JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Hii mbona imefanana sana na story ya the Kite Runner? There is a character in there they called The German or at least he was half German. He grew up to be a warlord and making small boys dance and do all sad stuff to the poor kids.

  Wanaume wengine jamani? Simply not humans.
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kufanya ngono na vivulana vidogo unaeza kuikuta ktk jamii nyingi za Far East, Middle East na kwingineko ktk ancient times. Kaa nlivoeleza hapo juu, inasababishwa na jamii kudumaa ktk ulimwengu uliopita, na jamii ambazo hazitaki kubadilika.
   
 5. The Mockingjay

  The Mockingjay JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hii sio kitu ya waislamu, wakristu, hindu, jew or wapagani. Ni baadhi tu ya few bad men who follow their animal instinct and nothing else. Alafu vitoto vya watu vikikua vimeathirika kisakolojia jamii inaviita "mtoto si ridhiki". The bad guy is the person who takes others kinyume na maumbile. But hautasikia huyu mtu akisemwa.
   
 6. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Ni kweli, ulichosema. Umewahi kusikia "Eunuchs" au Hijra (ki-urdu/kihindi)?
  Inasikitisha sana. Jamii ya kimataifa haishupalii sana. Ila ingekuwa inatokea Africa, wangekuwa wanaongelea kila siku.

  Baadhi ya maeneo ya South East Asia wanaendelea ku-practice mpaka leo. Vivulana vinang'olewa nyeti na kuvifanya eunuchs. India, mpaka wanataka Eunuchs watambuliwe kama "gender" BBC NEWS | South Asia | Eunuchs 'cut off man's penis'
  BBC NEWS | South Asia | India eunuchs turn tax collectors

  Katika mambo mazuri ambayo Taliban walifanya kule afghanistan ilikuwa ni pamoja na kupiga marufuku, utamaduni huo. Inaonekana ni vigumu sana kuondoa mambo fulani ya kimila kutoka katika jamii fulani.
   
 7. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #7
  May 31, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ............... kafiri yeyote atafurahia huu ubazazi, the same as you !!
   
 8. R

  Ray Isly Member

  #8
  Jun 1, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jama yangu upo saf kwa matus!ona haya ya Anglicana Uk,Italy,HATA PALE KENYA YULE bishop wa Kiitaliano alipo mkamata mwana katibu muktas.na 25% ya Vijana usa ni watu wa maring vp ni Muslim?kuwa makini wewe.
   
 9. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  usiende mbali sana-refer hapo zanzibar
   
 10. R

  Ray Isly Member

  #10
  Jun 2, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Najua umekomaa sana ndomana huwa hatujeng utamaduni wa fact and figure, chakueleza ni kwamba homosexual z not monopoly to any reliog kwakua watu wameamua kufanya mambo yao bila kufata vitabu nanikwakua ujinga umewatawala,na yoyote ambaye hafati mafundisho ya mwenyez mungu yani hawana total submision to the will of god ndo wanaitwa Kafir kwahyo hatumwiti mtu kwa dini ya mungu mpaka awe anafata hayo,kwahyo anaefanya huo unyama wa homosexual hatauona ufalme wa mungu kwahyo 2some vitabu niendelee kuwa wakwel na waungwana.
   
 11. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #11
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  well said bro
   
 12. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Hii ni hatari kwa kweli halafu hii vita wanaiita jihadi kweli?
   
 13. mtu kitu

  mtu kitu JF-Expert Member

  #13
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  kuna watu wana laana na sio kwamba eti ni watu wa dini...ingawa hata miongoni mwetu tunwaona kuwa ni watu wa dini lakini vitendo vyao ni vya laana tupu,,,hii haimaanishi kuwa eti kwa kuwa ni Afghanistan basi ndio Taliban.....je watanzania wote wanatahiri wanawake ? kwani kuna makabila yanatahiri......je wanaume wote wa TZ wametahiriwa ?? kuna makabila yanatahiri...hii inatokana na mila za desturi za watu.hizi ni mila hazimo kwenye dini............Je tuseme Kanisa katoliki ni la kudhalilisha watoto ? maana kuna padri mmoja wa Hispania katika visiwa vya kanarias (gazeti la mwaka 2007)alisema kuwa eti watoto huwatega mapadri !!!!!!!!!! huwatamanisha na mpaka mapadri hushindwa kushamili na kuwaingilia waototo hao .... sasa watu waseme kuwa kanisa katoliki ndo lenye mtindo huu ?? kwa nini tusihukumu mtu kwa kitendo chake ???
   
 14. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #14
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  maswala ya kujaamiana hayana mahusiano na ukristo wala uislamu,hii ni tabia ya mtu na tamaduni mgando ambazo baadhi ya watu wanaendelea kuzikumbatia,we angalia marekani,kina elton john mpaka wanataka watambulike na jamii kwa ujumla,hii inatisha na siyo ya kuifumbia macho

  hata hapa Tz tunashoga letu lipo marekani juzijuzi tu lili ogopa kurudi bongo eti litauwawa heheheheh


  ila dunia ndio inakwisha hivyo
   
 15. R

  Ray Isly Member

  #15
  Jun 3, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimegundua ki2 kimoja! Watanzania tujenge utamaduni wa kutoa maoni yanayojenga kuliko kuharibu,maranying 2naushabik sana!hebu imagine leo m2 anatoa kashfa kiasi hiki leo kama co mwanao, wewe au ndugu yako ameamua kuja upande ambao huutaki!Je utafanyaje?2MEWAONA WENGI wa Hivyo na viongoz wakubwa 2 wa kiiman.G'mrng
   
Loading...