The Council on Foreign Relations (CFR): until very recently, Tanzania was a development darling and a preferred African partner of the United States.

Athlete

JF-Expert Member
Jan 1, 2015
996
1,000
Asiyewajua CFR asome vitabu vya Henry Kissinger,au kule Jamii intelligence kuna uzi fulani wa Rockefeller kama sikosei.
Kwa muktadha huu inaonekana Tz ina maslahi ya wakubwa wa dunia na yako hatarini.CFR sio wa mchezo mchezo.
 
Themagufulianz

JF-Expert Member
Apr 15, 2017
4,516
2,000
CFR ni Rockefeller Organizations, mtapekuwa kila kitu mwishowe mtajichokea tu lkn work done no sifuri, hizo nguvu mngewekeza nyumbani hata mngjipatia Madiwani na Wabunge extra.
During the 1970s and 1980s, especially, David Rockefeller was considered by knowledgeable observers across the political spectrum to be the undisputed “chairman of the Eastern Establishment.“ In addition to being chairman of the Chase Manhattan Bank, the Council on Foreign Relations (CFR), the Trilateral Commission (TC), the Rockefeller Brothers Fund, and the Americas Society
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
30,405
2,000
Asiyewajua CFR asome vitabu vya Henry Kissinger,au kule Jamii intelligence
kuna uzi fulani wa Rockefeller kama sikosei.
Kwa muktadha huu inaonekana Tz ina maslahi ya wakubwa wa dunia na yako hatarini.CFR sio wa mchezo mchezo.
Shida ya hawa Makada wanafikiri wanatutawala sisi basi wako on top of the world.
 
GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,494
2,000
CFR ni Rockefeller Organizations, mtapekuwa kila kitu mwishowe mtajichokea tu lkn work done no sifuri, hizo nguvu mngewekeza nyumbani hata mngjipatia Madiwani na Wabunge extra.
Ustadhi naona elimu ya kujitoa ufahamu mnayofundishwa madrasa
 
MAGALEMWA

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
6,314
2,000
CFR ni Rockefeller Organizations, mtapekuwa kila kitu mwishowe mtajichokea tu lkn work done no sifuri, hizo nguvu mngewekeza nyumbani hata mngjipatia Madiwani na Wabunge extra.
Mkuu kushindana na Jiwe lililofuzu uimla ni pyu pyu pyu na mazishi yanagharimiwa na serikali.
 
MAGALEMWA

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
6,314
2,000
Bado ipo,ila nashangazwa na kusema kuwa mkulu anaharibu sifa ya nchi yetu nje ya nchi,ama unazungumzia hiyo sifa ya kuwa tegemezi?
Swali zuri sana. Kuharibika kwa sifa msingi wake ni nini? Ni thamani ya maisha ya mwananchi. Kutumikishwa kutekwa kupata riziki kwa tabu kutoruhusiwa kushiriki kimawazo kwenye maamuzi na mustakabali ndani ya nchi yake? Yote haya yapo kwenye kapo la utegemezi.
 
Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
20,080
2,000
CFR ni Rockefeller Organizations, mtapekuwa kila kitu mwishowe mtajichokea tu lkn work done no sifuri, hizo nguvu mngewekeza nyumbani hata mngjipatia Madiwani na Wabunge extra.
Nyundo ikishindwa jaribu baruti.
 
Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
12,258
2,000
It turns out that America has decided to turn her torch of liberty to watch on what is happening in this part of the world. Certainly the good people of America will never leave innocent people of Tanzania alone!.
Democracy, Freedom, Human rights are things essential to the human dignity and true development!!. Injustice anywhere is a threat to justice everywhere!.
Mungu wabariki Wazungu

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom