The Congo Dandies: living in poverty and spending a fortune to look like a million dollars

Ha ha ha! Alichagua kununua pair ya weston badala ya kiwanja. Hawa watu pumba kabisa!
 
Hawa watu waliotawaliwa na wafaransa wana ujinga mzito

Samahani mkuu nikusahihishe kidogo, Hawa walitawaliwa na wabeleji(Belgium) na si wafaransa.
Hata jina la zamani lilikuwa Belgian Congo kabla ya uhuru wao.
 
Congo hata walitawaliwa na mtu si nchi..maana nchi nzima ilikua ni mali ya King Leopold....yeye alikua CEO, Congo company..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom