Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 14,967
- 10,461
Kwa kuwa kibarua kimeisha ota magugu siyo mbaya kuifunga. Tuwkee kule store kwa ajili ya references just in case akija na vimbwanga vingine maana bado anapiga kelele!
Kwi kwi kwi!
Na bado vingine vitaendelea kuota magugu tu.
Poa Invisible, tuhifadhie hii thread, tutairejea miaka ijayo nitakapotaka kusaini mkataba wa kuuza machimbo ya kokoto kule Kunduchi.