mazojms
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 1,607
- 2,481
- Thread starter
- #41
Ubongo wa mwanadamu unayafafanua mambo kwa namna ambayo mwili unaweza elewa.Una uthibitisho wowote kuhusu hicho ulichokiandika?
_ Nikimaanisha huwezi kuona vitu ambavyo mwili wako hauwezi kuvifafanua, miili hii tulionayo ni primitive hivyo hata kile tunacho fikiria ni reality kuhusu maisha na mazingira yake ni primitive pia.
_ kila kiumbe reality yake kuhusu maisha kulingana na namna ubongo wa kiumbe husika unavyochangania mazingira. The more primitive an individual is, ndivyo reality inakua primitive.
_ Mfano rahisi ni Color vision kwa binadamu, ushawahi jiuliza dunia ingeonekanaje bila rangi kuwepo?? Well! Kuna viumbe wasioona rangi and that makes their reality quite different from ours.
Sent using Jamii Forums mobile app