The Clintons, soon to be in the guinness book of records

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,589
215,184
images

Sio muda mrefu familia hii itakua kwenye kitabu cha record za dunia, haijawahi kutokea kwa mume na mke kushika nafasi za urais wa nchini Marekani.
 
images

Sio muda mrefu familia hii itakua kwenye kitabu cha record za dunia, haijawahi kutokea kwa mume na mke kushika nafasi za urais wa nchi.
Umewahi kusikia nchi inaitwa Argentina? Unamjua Messi mkwepa kodi?
thumb.php

Unamjua huyo Mama?
Anaitwa Cristina Fernández de Kirchner President of Argentina (2007–2015)
She succeeded her husband, Néstor Kirchner, who had served as president from 2003 to 2007.
 
Na ndio maana dunia inakwenda mrama nyakati hizi......

Mwanamke hana hata sifa moja ya kuwa kiongozi....hata wa ngazi ya familia....leo anakuwaje kiongozi na kufanya maamuzi makubwa kwa niaba ya mamilioni ya watu.......

Hii ni laana kwa ulimwengu mzima....unawezaje kupokea amri kutoka kwa mtu anayekwenda mwezini kila mwezi.....!???
 
hah!haaaha! sasa mkuu huo si ndo utamaduni wao wa kwenda huko mwezn hakuna namna
 
images

Sio muda mrefu familia hii itakua kwenye kitabu cha record za dunia, haijawahi kutokea kwa mume na mke kushika nafasi za urais wa nchi.
Utawala wa Lucifer....Marekani lazima Rais akiwa mwanaume ni lazima waziri wa mambo ya nje ama makamu awe mwanamke..yaaan Lucifer..Lilith and Samael
 
Sikuyajua hayo mkuu lakini Hillary anakua rais mwanamke wa kwanza. Sasahivi rais ni Obama na waziri wa nchi za nje ni John Kerry.
 
images

Sio muda mrefu familia hii itakua kwenye kitabu cha record za dunia, haijawahi kutokea kwa mume na mke kushika nafasi za urais wa nchi.

Msome Ferdinand Marcos na Imelda Marcos wa Phillipines.

Hivi kabla ya kukurupuka na kuja kudanganya watu kwa mambo usiyo na yakini nayo kwa nini hufanyi japo ku Google tu upate uhakika kama uzushi wako una ukweli ndani yake.

Labda iwe ni record ya Marekani lakini si ya dunia.
 
Na wewe usikurupuke soma post zilizotangulia.
 
Na ndio maana dunia inakwenda mrama nyakati hizi......

Mwanamke hana hata sifa moja ya kuwa kiongozi....hata wa ngazi ya familia....leo anakuwaje kiongozi na kufanya maamuzi makubwa kwa niaba ya mamilioni ya watu.......

Hii ni laana kwa ulimwengu mzima....unawezaje kupokea amri kutoka kwa mtu anayekwenda mwezini kila mwezi.....!???
Ghafla mawazo yangu yamenirudisha Dodoma, kwenye ule mjengo wanapo kaa wawakilishi wetu ili kutunga sheria
 
Msome Ferdinand Marcos na Imelda Marcos wa Phillipines.

Hivi kabla ya kukurupuka na kuja kudanganya watu kwa mambo usiyo na yakini nayo kwa nini hufanyi japo ku Google tu upate uhakika kama uzushi wako una ukweli ndani yake.

Labda iwe ni record ya Marekani lakini si ya dunia.
Amemaliza form six matokeo yametoka mabaya msamehe sana
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom