the Citizen Photoshoped Mandela funeral pictures, front page

Democracy999

JF-Expert Member
May 26, 2012
947
0
What is wrong with Kenyans? Also Nairobi Senator Sonko fotoshopped Mandela removing a hug with Mohamed Ali and replaced with himself. Angalia picha ya mbele ya the citizen ya leo, ili kuonyesha na kusisitiza kuwa Mandela amezikwa Kikabila wameonyesha wanajeshi wakipigia Saluti kaburi tu, sio kweli kwa aliefuatilia jana Live image hii imechanganywa ya mwanzo tupo na ya maaskari baada ya kushusha jeneza ila wao wameliondoa jeneza. Wakenya mpaka makampuni nje ya kenya kweli sio wazima. Uongo una nature kwao
 
Smatta

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
2,351
2,000

Usiulize what is wrong with Kenyans, bali what is wrong with the Kenyan media specifically the Citizen. Hii mambo ya kuturundika kwenye makundi hainifurahishi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom