The citizen: CCM wanacheza RAFU mchakato wa katiba mpya

Dec 11, 2010
3,322
0
CCM ‘foul play’ in Katiba process

In principle, and according to the law, which guides the process of constitution making, no new ideas or proposals from any group or institution should be inserted in the second Draft Constitution unless they improve or perfect (not alter) what is already in the second Draft Constitution. All stakeholders of the constitution making process, including the CA, are supposed to focus on the contents of the second Draft Constitution with a view to improving it if there is a need to do so.

http://www.thecitizen.co.tz/News/CCM--foul-play--in-Katiba-process/-/1840340/2319104/-/wl7671/-/index.html
 

Edward Sambai

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
2,459
2,000
BMK halitakiwi kuibadilisha rasim ambayo msingi wake unatokana na wananchi, bali wanatakiwa kuiboresha.

Kama lilivyo Bunge hutunga sheria kwa ku-reflect katiba na sio kubadilisha kifungu kwenye katiba.

Shame on ccm!???
 

sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,492
2,000
Hili linajulikana toka mwanzo na ndo maana nilitegemea wabunge wa upinzani wangetoka mapema mara tu baada ya kamati zile 12 kurudi na mabadiliko yale waliokuja nayo bungeni.. Maana kilichowapeleka pale ni kujadili rasimu ya katiba ya serikali 3..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom