Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,859
- 1,301
Kuna ukakasi fulani; kwa hoja unayojenga usingesema kanisa ungesema dini. Anyway mambo ya dini ni ya kiimani, hata kama yana utata wowote bado tukubali kuwa yanatusaidia kuishi kwa amani kwa kuhofia yaliyo mbele yetu, Ebu fikiria kama hofu ya Mungu isingekuwepo!