BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,007
Hivi mambo yanaendelea je huko kwenye Game?
Dakika ya 15 bado hakuna goli.
Hivi mambo yanaendelea je huko kwenye Game?
Duh...
Keep me up date,
LoL...
Man U wenyewe wanajua kuwa leo ni kimeo kwao... Man City watawabugiza. Leo naona kina Icadon hawataki kugusia mechi yao na watani wao wa jadi.
Big matches I may say!
Tusubiri asieonekana na wenzake akina ab-titchaz sijui watasemaje.
Tumefunga 3 moja tumewasaidia maana hawana mfungaji, Anelka kwikwi nyingi ni mfaransa, wafaransa wote Arsenal.Inv yuko wapi asije kusema he is busy ku upgrade sytem.......mmeona mambo ya mchumi wetu asene venga........mna bahati yalikuwa 3 leo...
First 11 ya the ganazi leo hakuna muingereza chama rinatisha......Tumefunga 3 moja tumewasaidia maana hawana mfungaji, Anelka kwikwi nyingi ni mfaransa, wafaransa wote Arsenal.
Magoli ya Chelsea ya MburahatiJoe Cole (dk 7), Anelka (dk 19, 67), Lampard (dk 56), Sylvester (OG, dk 89)
5 Bila!!!!!!!!!!!!
Vipi Kamanda... naona sikuoni tena hapa...Droo hakuna mkuu! Subiri uone...
Nafasi ya Ushindi haipo kwenu Arsenal, naomba game likiisha njoo hapa ulonge tena mkuu.
Wenger tu? Hata wachezaji wenu kwa sasa vibonde mkuu. Leo tunawabamiza tu!
Endeleeni kupunguzana speed tuu....!!! Hongereni Gunners ila sitoshangaa mkidraw na Wigan!!
Labda ushindi wa leo utawapa motivation kwamba kwa kumfunga kiongozi wa EPL nyumbani kwake basi wanaweza kuifunga timu yoyote ile. Tusubiri tuone maana Wigan wanakuja juu taratibu.