Namba hazadanganyi

Willian in EPL
2013/14 goals 4 assist 2
2014/15 goals2 assist3
2015/16 goals5 assist6
2016/17 goals8 assist2
2017/18 goals6 assist7

Huyu ndio key player wao soon naleta na za Dada yetu #edina_hazard

Kama hutaki kashabikie bundesliga
 
*BREAKING NEWS*

Chelsea have confirmed the signing of Rugani from juventus, for a reported £45m on a five-year-contract. Medical to take place in the next 24-48 hours. More details to follow..
 
Hivi Chelsea kinachoturudisha nyuma nini hasa? Kila mchezaji tunayemtaka ni zilipendwa.

Inamaana bosi amechoka na hii klabu? Mwaka jana walimtaka Nzeko, tukamkosa na tukaangukia kwa Giruod, mwaka huu tunamtaka Higuan, na Robert Green.

Wachezaji wa maana akina Ircadi, Griezman wala hatuhangaiki nao na tunashindwa kusajili..tatizo nini?
 
Daniele Rugani’s agent, Davide Torchia confirms on Radio Sportiva:
“The interest from Chelsea is there” but “neither the player nor
Juventus have ever said they want a sale”. [HASHTAG]#CFC[/HASHTAG] [HASHTAG]#Juventus[/HASHTAG]
(football-italia)
 
Hivi Chelsea kinachoturudisha nyuma nini hasa? Kila mchezaji tunayemtaka ni zilipendwa.

Inamaana bosi amechoka na hii klabu? Mwaka jana walimtaka Nzeko, tukamkosa na tukaangukia kwa Giruod, mwaka huu tunamtaka Higuan, na Robert Green.

Wachezaji maana akina Ircadi, Griezman wala hatuhangaiki nao na tunashindwa kusajili..tatizo nini?
higuan lazima atue maana pale juventus saivi wanamleno lazima atue
 
Chelsea mlikosea sana kumuuza
Costa
Haina haja kulilia maziwa yaliyokwisha mwagika.

Kwa Costa kweli tulikosea nadhani hiyo treatment ya Costa ndiyo ilipelekea hata Kocha kuondoka.

Ila Costa sio striker pekee aliyebaki. Tunaweza invest kwa striker mwingine au alternative bora ni kutafuta striker wa kawaida na kuinvest zaidi kwenye attacking midfielders/wingers na defensive midfielders.
 
Back
Top Bottom