kishumbaz
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 896
- 1,231
Coaches are hired 2 be fired mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Coaches are hired 2 be fired mkuu
big up mkuu!!mi mwenyewe sioni kama kuna sababu za msingi za kumuondoa conte!!kila siku ninasali tactical conte abaki Chelsea..nitafurahi sana dili la sarri likibuma..Conte ni mtu sahihi kwa Chelsea yetu. Tatizo tu kuna msuguano kati yake na bodi. Wachezaji anaowataka Conte siyo anaoletewa.
Ni mtu ambaye anaweza kuimprove timu na wachezaji. Naweza kusema Chelsea ya kwetu angekaa nayo muda wa miaka mingine miwili tungekuja kupata timu nzuri sana.
Msimu huu ukweli ni kwamba hatukuwa na wachezaji ambao Conte anawahitaji hasa katika baadhi ya maeneo kama Striker na midfield. Lakini pia hatukuweza kupata beki wa kati mzoefu.
Sari ni kocha anayependa mpira wa pass(tick-tack) na kushambulia. Ni mpira mzuri ila ukichezwa bila malengo na mikakati madhubuti hauna maana. Mfano ni Tottenham ambao wamecheza mpira mzuri wa kuchambulia lakini mpaka sasa hawana cha maana walichochukua.
Isitoshe Chelsea haina aina ya wachezaji wa kucheza tick-tack. Kante, Fabrigas, Hazard, Christensen na Azpillicueta kidogo ndo wangeweza kufit. Sasa hapo ujue inakuwa vigumu kuchukua EPL kwa mazingira haya.
Sari atahitaji muda wa kutengeza timu inayofit style yake. Swali linakuwa ni je Chelsea itamvumilia kwa misimu miwili au mitatu?
Je klub itakubali kutumia pesa kama Man city wanavyofanya ili kununua wachezaji wa kufit style ya Sari?
Au yatakuwa kama ya Andre Boaz? Maana sababu ya kumleta Boaz ni sababu anapenda mpira wa pass ni offensive football. Lakini tunajua kilichompata. Sari is not an exception.
Tatizo jingine la Chelsea wachezaji fulani wanakuwa na power(indirectly) kuliko makocha. Kipindi kile walikuwepo Terry, Lampard, Drogba na Peter Cheki, Yaani hawa ilikuwa wakimchukia kocha basi hakuna namna lazima aondoke. Haka katabia naona kuna watu wamekarithi.
Alafu falsafa ya Conte ni work, work, work. Hii ni kama haieleweki kwa wachezaji wengi wa Chelsea, mfano mtu kama Willian mgogoro wake ni kwa sababu hapendi kunituma sana mpaka aamue.
So Sari peke yake hatamaliza matatizo ya Chelsea.
[HASHTAG]#Conte[/HASHTAG] abaki apewe World class sticker, full back mmoja mzoefu na kiungo mmoja pamoja na RWB. Atatusaidia sana.
Juventus inaweza kumruhusu mshambuliaji Gonzalo Higuain kuondoka kwneye klabu hiyo, ikiwa watapata mkataba unaofaa msimu huu, huku Chelsea wakioongoza katika kutimiza vigezo vya kumchukua raia huyo wa Argentina mwenye umri wa miaka 30. (Calciomercato)
haya mambo ya kucheza Kama spurs na kufanikiwa kucheza UEFA ni uduwanzi wa kiwango cha juu tunahitaji vikombe ambavyo vinapatikana kwa kushinda tu regardless mpira mzuri au mbaya.Conte ni kocha mzuri ndiyo...ila senior players pamoja na bodi hawamtaki...kutokana na kiburi chake....sarri hajachukua kombe lolote....ila ni aina ya kocha kama Poch wa spur...they like 2 play beautiful football... that is what the big boss want....
Nani alianzisha 'saga' ya kuondoka Chelsea? Conte au Costa? January move to China alikuwa nani anataka ikamilike na ni mid of the season? Nani alikuwa anatishia kutokucheza? Jawabu utaona ni Diego Costa. Ss utovu wa nidhamu huu uvumiliwe? Je alitakiwa awe treated kama king? Naamini angekuwa wakati wa enzi za SAF Man U angeliondoka mapema sana wakati ule ule wa demand ya kwenda China. Na angeuzwa asikotaka. Huwezi ukamwacha mchezaji ambaye akili yake na mapenzi yake hadi ana xpress waziwazi kuwa yupo Atletico Madrid na kocha amamkubali ni Diego Simione bado abaki kundini.Conte kibri sana, nafikiri hakuna mchezaji aliyependa jinsi Costa alivyoondoka.. Its him against the Big boys
tupo pamoja mkuu maana watu wamezidi sana kutetea ujinga wa wachezaji kwa vigezo vya viwango vyao.....mimi sijawahi juta kwanini HARUNA MOSHI hajaitwa timu ya taifa na kocha ingawa alikuwa ana kiwango kikubwa,siwezi shangaa wachezaji aina ya kina RADJA NAINNGORAN,KARIM BENZEMA ,MAURO ICARDI nk wakitoswa katika timu zao za taifa ingawa wana viwango vikubwa......!!!!!!!!sisi waafrika tuna tabia ya kulealea ujinga na upumbavu kwa kusujudia watu ila wenzetu hawapo hivyo.....suala la nidhamu ni muhimu sana kwa mchezaji nakuhakikishia kwa wazungu ukiwa huna nidhamu hata kama una kiwango cha aina gani lazma ufeli hata CR7 na MESSI tunawaona wapo juu mpaka leo kutokana na nidhamu zao za ndani na nje ya uwanja...huyo COSTA pumbaaaaaav sana alikuwa anataka kocha amsujudie kama nani....binafsi nilimuunga mkono CONTE kwa maamuzi yakeNani alianzisha 'saga' ya kuondoka Chelsea? Conte au Costa? January move to China alikuwa nani anataka ikamilike na ni mid of the season? Nani alikuwa anatishia kutokucheza? Jawabu utaona ni Diego Costa. Ss utovu wa nidhamu huu uvumiliwe? Je alitakiwa awe treated kama king? Naamini angekuwa wakati wa enzi za SAF Man U angeliondoka mapema sana wakati ule ule wa demand ya kwenda China. Na angeuzwa asikotaka. Huwezi ukamwacha mchezaji ambaye akili yake na mapenzi yake hadi ana xpress waziwazi kuwa yupo Atletico Madrid na kocha amamkubali ni Diego Simione bado abaki kundini.
Hebu mara nyingine tutenganishe PROFESSIONALISM NA USHABIKI
Simtetei Conte lakini tuweke balansi ya mizani baina yao. Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni
Baada ya saga la China mbona Costa alitulia tu na akawa na focus uwanjani, second phase ya msimu hata utata wake uwanjani ulipungua. Mapungufu mengine ni personality yake na yalikuwa hayana impact kwenye mechi wala trainings, he was giving his 100% akiwa uwanjani. Hata kulalamika kwake baada ya kutumiwa SMS na Conte ni kuwa hakutegemea baada ya kujirudi kuwa angetimuliwa kwa namna ile. Namuheshimu Conte ila sijawahi kumuelewa kwa nn alimua kumalizana na Costa kwa njia ile, mpaka leo sijawahi kumuelewa.Nani alianzisha 'saga' ya kuondoka Chelsea? Conte au Costa? January move to China alikuwa nani anataka ikamilike na ni mid of the season? Nani alikuwa anatishia kutokucheza? Jawabu utaona ni Diego Costa. Ss utovu wa nidhamu huu uvumiliwe? Je alitakiwa awe treated kama king? Naamini angekuwa wakati wa enzi za SAF Man U angeliondoka mapema sana wakati ule ule wa demand ya kwenda China. Na angeuzwa asikotaka. Huwezi ukamwacha mchezaji ambaye akili yake na mapenzi yake hadi ana xpress waziwazi kuwa yupo Atletico Madrid na kocha amamkubali ni Diego Simione bado abaki kundini.
Hebu mara nyingine tutenganishe PROFESSIONALISM NA USHABIKI
Simtetei Conte lakini tuweke balansi ya mizani baina yao. Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni
Si kweliBaada ya saga la China mbona Costa alitulia tu na akawa na focus uwanjani, second phase ya msimu hata utata wake uwanjani ulipungua. Mapungufu mengine ni personality yake na yalikuwa hayana impact kwenye mechi wala trainings, he was giving his 100% akiwa uwanjani. Hata kulalamika kwake baada ya kutumiwa SMS na Conte ni kuwa hakutegemea baada ya kujirudi kuwa angetimuliwa kwa namna ile. Namuheshimu Conte ila sijawahi kumuelewa kwa nn alimua kumalizana na Costa kwa njia ile, mpaka leo sijawahi kumuelewa.
Diego Costa says he was “very happy” at Chelsea, but is delighted to be coming “home” to play for Atletico Madrid.Si kweli
Kwanza tambua japo anaetupiwa lawama kumfukuza Diego Costa kua ni Conte, lakini ukweli ni kwamba tayari utawala wa juu wa Chelsea walishapanga kumtimua Diego Costa kwa kumuuza timu yoyote itakayofika dau na Abramovic aliridhia hili
Pili, tayari kulikuwa na "high tension" kati ya Diego Costa na makocha hasa wa viungo baada ya "kuzinguana mbaya" hivyo kuweka mazingira yasiyo rafiki baina ya wachezaji kwa kuwagawa
Tatu, wale jamaa wa China Tianjin Quanjian walishapanga kuja na improved offer kumtoa Chelsea ila kilichokuja kuwakamisha ni kuanzishwa kwa sheria mpya ya kuwalinda wachezaji wazawa ambapo wachezaji watatu tu wakigeni waliruhusiwa kusaini kandarasi ya kuchezea timu kwa msimu badala ya ile ya awali ya wanne. Tayari huyu jamaa kisaikolojia hakuwa tena na mzuka wa kuwepo Chelsea. Ukifuatilia hata alipokuwa anazungumzia suala la meseji " being five months without playing? I donot know, its complicated but people know that I love Atletico a lot and that I love to live in Madrid". Hivyo utaona kabisa hy tyr hakuwa na mood yyt ya kuwa Chelsea bali kimwili tu na sio kama mwanzo.
He had never enjoyed life at London. Find more sources of informationDiego Costa says he was “very happy” at Chelsea, but is delighted to be coming “home” to play for Atletico Madrid.
Regarding his departure from the Blues, the Spain international told Marca: “It’s not the way I wanted to leave, ever. I have a special affection for the people at Chelsea.