Habari hizi sio nzuri!
Kane Mnyama leo anacheza!
Nadhani kesho Son ndiyo atabariki safari yenu ya Yuropa mwakani
Lkn mwakani Yuropa mnaweza fika mbali,huku CL kidogo bado team yenu sio nzuri

Hakika na kama hawat kwenda
Europe bhas wafunge maombi
Yasiyona kikomo
 
Hellow yuropa ligi my old friend
tapatalk_1512556548414.jpeg
 
Siyo bure yaani Mun utd chama langu limalize nafasi ya 4 toka ya 2.wewe utakuwa unachuki binafsi kutokana na kichapo.mzunguko huu liver,asenal wanakuja OT away mech kubwa moja ya man city.Utaumwa presha kwa roho yako mbaya..!
Umeonaeeee...!
 
Form aliyokuwa nayo Liverpool sasa hivi ni unstopable. Hata angekukuta gulioni angekuchapa sembuse OT? Chelsea condition moja tu inaweza kuiondoa top 4! Nayo ni kufungwa na Man City j2
Bado Liverpool hawana consistency... kwa hiyo hawawezi kutisha sana.
 
Back
Top Bottom