Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,879
Nikiangalia youtube videos za huyu Emerson sioni cha kumzidi Kenedy kwa kweli.Nadhan kuondoka kwa Kennedy kuna kitu. Emerson nadhan atajiunga
Sijui lakini...
Nikiangalia youtube videos za huyu Emerson sioni cha kumzidi Kenedy kwa kweli.Nadhan kuondoka kwa Kennedy kuna kitu. Emerson nadhan atajiunga
Kesho kuna chance kubwa tukaanza na false no 9, sioni Conte akimuanzisha Michy
Haya haya tujiandae na fainali Jumapili ya tarehe 25 Februari dhidi ya Manchester City. Wanafungika ila tunahitaji sana concentration ya dakika 90 ya mabeki aisee.
Umewaza kama mimi, nimebaki najiuliza kama kadi ya Pedro haiathiri mchezo wa kesho. Kama haiathiri basi kesho nimehisi atacheza. Ataanza na kikosi cha watu wazima watupu yani mgeni atakuwa Christensen tu ninavyoona.Kesho kuna chance kubwa tukaanza na false no 9, sioni Conte akimuanzisha Michy
Bado masaa mawili tukamilishe ratiba.Leo sijui nini kitatokea uwanjani ila nawatakia wachezaji mchezo mwema