Man city yabwaga manyanga kumsajili Sanchez kwa kushindwa kufikia bei, Sasa njia nyeupe kwa Man U waliojipendekeza kuongeza dau la mshahara hadi paundi laki 4 na hivyo kumfanya Sanchez kuwa mchezaji anayelipwa zaidi katika EPL.

Kwa taarifa za leo ni kwamba Man U na Sanchez wamekubaliana terms na kwa sasa Sanchez ni Shetani Mwekundu. Mourinho pia yuko tayari kuilipa Arsenal Paundi mil 30 chini ya kiwango Arsenal walichokihitaji cha mil 35.

Hii ina maana kwamba sasa Sanchez hatahama bure na kwa hiyo hatasubiri mpaka mkataba wake uishe na kwa hiyo atahamia Man U kwenye dirisha dogo la usajili wa mwezi huu
 
ww zwazwa unasema fa ni makombo???...
nambie key player wako ambaye hakucheza mechi ya fainali dhidi ya arsenal....
nimekutana na mancity composed of all key players nimemnyuka ..
nimekutana na nyie zuzu's fainali,nimewasaga kama kawa....
punguza bange kijana,usivute kabla ya kupost,Bali vuta baada ya kupost akili iingie...
Narudia FA ni kokembe cha makombo kwa wale walioishiwa pumzi na EPL au UEFA. FA ni mojawapo ya unpopular competitation in Europe na ni wachache sana wanaoizungumzia na kuiwekea maanani na wengi wa hao ni The Gunners tu. Makombe maarufu Europe ni Kombe la ligi na UEFA, hizo zingine ni condolences trophies tu
 
Narudia FA ni kokembe cha makombo kwa wale walioishiwa pumzi na EPL au UEFA. FA ni mojawapo ya unpopular competitation in Europe na ni wachache sana wanaoizungumzia na kuiwekea maanani na wengi wa hao ni The Gunners tu. Makombe maarufu Europe ni Kombe la ligi na UEFA, hizo zingine ni condolences trophies tu
Mfyuuuuuuuuuuuuuuu!!! Kisa ww hulibebi?? Wacha kukurupuka ww...
Ulaya kuna makombe matatu yenye heshima... Uefa,ligi na kombe la ligi.. Ukibeba vyote vitatu ndo tunakupa five stars,vinginevyo kafie mbali....
Unaikumbuka Barcelona ya 2015??? Ile ndo tunAsema timu bora.... Leicester 2016 hakuprove kuwa yy ndiye timu bora England pamoja na kubeba ubingwa unajua ni kwa nn???
Madrid pamoja na kubeba ligi na uefa msimu uliopita,bado watu hawakumconsider kama superior team in Spain unajua kwa nn???
Yawezekana ligi ukabahatisha ila chukua na league cup basi uwaaminishe watu ww ndo bingwa umenielewa ww mbishi???
 
Back
Top Bottom