Basi kuna mwana kila siku alikua anakosa amani anajiona ye ni bonge la fara, siku nilipomuambia kuhusu chelsea kumuuza matic na kumreplace na bakayoko akapiga magoti chini akamshukuru mungu akasema nilikua najiona fara mwenye digrii kumbe kuna wenye masters kabisa.
 
drinkwater
bakayoko
morata
rudiger
zapacosta
batshuayi
hiki ndio kikosi alichokisajili conte......ivi msimu huu tutakua mabingwa maana msimu uliopita ni kikosi cha Mou ndio kilitupa ubingwa wa epl
 
Tatizo hatuna mshambuliaji anayejua kulazimisha yaani tungepata mtu staili ya aguero au teves wale west ham wangefungwa goli nyingi tu huyu morata ni mbovu sana hasa kwenye kufunga kwa miguu ilifika wakati nilitamani kocha amwingize bashuayi pengine angetuokoa kwa nafasi zilizopatikana kuliko morata
Simlikuwa naye anayejua kulazimisha?
 
8810d2ebadda134d312ae633c11e508c.jpg
Huyu ndo striker sasa. Siyo yule striker wetu wa sasa mwenye afya kama ya Oscar
 
Ila muhuni wangu bakayoko alikuja darajani kwa mbwembwe nyingi mno, siku ya kwanza kafika kapiga picha na kila mchezaji wa Chelsea... afu eti siku ya kutambulishwa kaja na familia yake nzima MAMAYOKO,BABAYOKO NA YEYE BAKAYOKO...Akapiga picha nao pale blue carpet. But i still trust in his talent, atarudi tu kama zamani.
 
Huyu kocha conte siyo, anatuyeyusha MNO, angalia wataliano kama Zola, vialli, Roberto di Mateo walichukua ndoo ya ulaya uefa ndogo 1997, goli zuri la supersub ZOLA, angalia kocha Robert di Mateo uefa champions league mwaka 2012
 
Tetesi
Mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard, 26, anasema kuwa hana haraka ya kuondoka klabu hiyo, baada ya raia huyo wa Ubelgjji kuhusishwa na kuhama kwenda Real Madrid. (Onze Mondial, via Sun on Sunday)
 
Tetesi
Kipa wa Chelsea Thibaut Courtois amesema hakuna sababu ya yeye kukosa kusaini mkataba mpya na klabu hiyo. Mchezaji wa umri wa miaka 25 anahusishwa na kuhamia Uhispania. (VTM Stadion, via Evening Standard)
 
Tetesi
Chelsea watamruhusu mshambuliaji raia wa Ubelgiji Michy Batshuayi, 24, kuondoka kwa mkopo mwezi Januari. (Sun on Sunday)
 
Back
Top Bottom