Chelsea hatuna historua nzuri na Liverpool na nafikiri mchezo utakuwa very tight.

Katika mechi nane walizocheza Che na Liv tangu 2015, Liv kashinda 2 zote Stanford na Che kashinda 2 moja stanford na nyingine Anfield. Wametoka draw mara nne.
Liv wana injuries nyingi zaidi ya Che.

12114ae6140a3cd00a8d35babccb7043.jpg

Kama Conte akimaintain kikosi kilichocheza na Man U na Westham Chelsea itawafunga Liv
 
Km Lukaku na Kane walipotezwa na dogo Christensen seuze hao mizambwada kina Mane, Firmenoh na Sarafina?

Km Matic na Herrera na Dembele na Wanyama walipotezwa na Bakayoko na Kante seuze huyo prono injury Cout? Ivi Herndo atakuwepo?

Unanitajia trashes akina Lukaku kwa mashine tatu za Liverpool?
Acha utani wewe!
Mechi 3 za Ligi bao 10 against 1
How many goals did you score on the last 3 EPL and 2 CL games respectively?Hapo ndipo utaona tofauti
Mechi 5 mfululizo tumefunga bao 20 tumefungwa bao 1 tu!
Free scoring machine unafananisha na akina Lukaku?
 
Hata sare huwezi pata Anfield
Lallana Hendo Coutihno
Mane Firminoh Salah
Unazuiaje hawa watu 6 walio iva ?
Acha utani mkuu hata ww unajua unalala easy tu!
frimino nae ni mtu kumbe dah.... Ana muda gani hajui goli wal assist na anaanza kila mara sturridge anaingia anafunga chamberlain anaingia anafunga frimino yupo tu.. Tusubiri jumamos mkuu
 
Mkuu with 3+5+2 nothing to worry kabisa. Hii ni defensive machine. Najua keshokutwa Luiz atacheza ktk Champions League na dogo Andy atapumzika kwaajili ya Liverpool. Moses atakua amesharudi mana kesho Kutwa atatokea sub. All I know ni kwamba wingback zetu siku hiyo hazitafunguka sn ili kusaidia CB3 ktk ulinzi na kadri watakavokua Liverpool wanalegea ndo goma itapanda kwa nguvu.

Kingine Bakayoko na Kante tuwategemee kuwaona wakipanda sn km siku ya ATM. Yani watapiga box to box ya nguvu kuhakikisha Liverpool hawako salama huku Faby akisokomeza mipasi yake ya mauwaji..
Salah na Mane na Frimenho lazima wapotee.

Ila kuna uwezekano mkubwa Cahill akaanzia benchi na nafasi yake kuchukuliwa na Rudiger maana hutu tu Liverpool tunakimbia sn... Azpilicueta, Christensen na Rudiger hawa wanakimbia sn kuliko Luiz na Cahill.

Liverpool lazima akalishwe
Nakubali sana. Liver bado hayuko vizuri sana kwenye beki najua fab Bakayoko wakiwa on form Morata hatakua na kazi kubwa sana. Beki na uhakika tuki mdhibiti Salah wengine hawana shida sana
 
Nakubali sana. Liver bado hayuko vizuri sana kwenye beki najua fab Bakayoko wakiwa on form Morata hatakua na kazi kubwa sana. Beki na uhakika tuki mdhibiti Salah wengine hawana shida sana
Salah atapotea tu siku hiyo haweze leta usumbufu mbele ya mabeki 3 wakisaidiwa na wingbacks 2 na Mids 3
 
Anacheza upande wa kulia atakua na Rudiger au Cahill lkn huwa wanapenda kupishana na Mane
Nami nilikuwa nafikiri hivyo hivyo...ndo maana sikuelewa mtu aliyesema atakabwa na Azpi.

Anyway, bado nashikilia mechi ya kesho itatupa mwanga wa kikosi kitakachocheza jmosi!
All in all, siwaogopi hao mitetea kabisa aisee...
 
Kuna mabadiliko kesho Conte atafanya.

Hasa kwa upande wa Luiz kua featured ktk XI na Moses ataingia kupasha misuli.

Kati ya Cahill na Rudiger hapo pia nina mashaka mmoja atapumzishwa...
 
Unanitajia trashes akina Lukaku kwa mashine tatu za Liverpool?
Acha utani wewe!
Mechi 3 za Ligi bao 10 against 1
How many goals did you score on the last 3 EPL and 2 CL games respectively?Hapo ndipo utaona tofauti
Mechi 5 mfululizo tumefunga bao 20 tumefungwa bao 1 tu!
Free scoring machine unafananisha na akina Lukaku?
Na goli 5 Mlizofungw na man cty vp
 
frimino nae ni mtu kumbe dah.... Ana muda gani hajui goli wal assist na anaanza kila mara sturridge anaingia anafunga chamberlain anaingia anafunga frimino yupo tu.. Tusubiri jumamos mkuu

Fimo scored two goals against Seville today!
What is your point buddy?
 
Ile iliyopigwa 3-0 na Roma ?
Au 2-0 na CP ugenini ?
Chelsea hata sare hapati Anfield
Hata nyie mnajua bali mnajitutumua tu
Defensive machine

3⃣5⃣2⃣

Cahill Christensen Azpilicueta.

Moses Faby Kante Bakayoko Alonso.

Morata Hazard.

Defensive machine kui unlock lazima ujue patten zake.....

Once blue always blue

[HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom