Guantanamo Sobibor
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 897
- 1,133
Vipi Rudiger?Kikweli kama sio goalkiper will cabalero tulikuwa tunafungwa zaidi ya tatu
Man of the match kwa upande wangu ni yeye willi
Kacheza vizuri pia ila mimi wa kwangu ni will cabaleroVipi Rudiger?
Nafikiri Kenedy kamsaidia sana la sivyo ingekuwa majanga mara mbiliHalafu kukuchokoza tu, umeona leo ilivyokuwa Cahill - Kenedy - Musonda? Umeonaje defence upande huo?
Wahenga waliposema, you are as strong as your weakest link, hawakukosea.Nafikiri Kenedy kamsaidia sana la sivyo ingekuwa majanga mara mbili
Kacheza vizuri pia ila mimi wa kwangu ni will cabalero
Wapo wengine kama wakina, na zappa pia wamecheza vizuri ila wangu cabalero halafu ndio rudiger