Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,879
Nafikiri everton baada ya kumfukuza kocha watataka kutafuta sifa kwetu leo
kama crystal palace ...
Nafikiri everton baada ya kumfukuza kocha watataka kutafuta sifa kwetu leo
Wa kunywa maji amerudi sio
Swali ni; yeye na Ampadu, wameshacheza pamoja hata kwenye mazoezi!??Ngoja tumuone Drinkinwater leo inaeleta faraja sasa pale kati
Defence tuko vizuri sasa tuone mbele kukichangamka. Ingawa kweli duh Everton wamepanga kama fainali. Madogo wawili tu ndo wwapya.Evertom wamekamia game naona wameanza full mkoko
Tumia mobdro mkuuNaombeni link yakuangalia hii game kwa simu
Hapa ndo tunamkumbuka Loftus cheekSwali ni; yeye na Ampadu, wameshacheza pamoja hata kwenye mazoezi!??
Besides, am not a big fan wa Ampadu labda leo ndo nitamuangalia vyema.
Hivii hapa nani atacheza AM na nani atakuwa DM!???
Totalsportek.comNaombeni link yakuangalia hii game kwa simu
tv 1 wanaonyeshaNaombeni link yakuangalia hii game kwa simu