-Naona bakayoko anazidi kugain match fitness. Muda si mrefu atakuwa mchezaji tegemeo

-Morata anatakiwa kucheza mpira na sio kucheza na refa, tena marefa wa Epl wakigindua unadekadeka ndo balaa zaidi

-I think conte should swallow his pride na kumrudisha costa kikosini, kwenye mechi kama hizi fujo zake zinasaidia sana

-Hazard is 100% fit now, nadhani mechi zijazo ataanza

-Luiz red card? Ni mbaya ingawa nimefurahi ili kocha apate changamoto ya kumpata mchezaji mwingine ili hata akipata injury basi isiwe pengo.

-All in all, nadhani kocha leo aliamua tupate sare baada ya kuona tumefungwa mechi 2 mfululizo na arsenal, fa cup final na commumity shield kwa sababu alikuwa na kikosi kipana cha kushambulia ila akaamua kuwa defensive. Back pass nyingi sana leo nadhani courtouis amegusa sana mpira kuliko hata morata.
KTBFFH
 
Big up mkuu
 
Nilikuboared sana na uchezaji wa Pedro yaani anabaki yeye kipa, anashindwa kufunga, fabregas na William hawa kuwa ktk ubora wao, luiz alicheza faulo ya ovyo MNO.
Nina wasiwasi sana na mechi na stock city jmamosi na msisahau mechi na MAN CITY tarehe 30/09/2017 daraja
 
Ngika halafu ngalu....chagua upande wako Madebe au Sumbi..
 
Conte OUT
Anashindwa mfunga Arsenal ambaye kafungwa na Liverpool?
He has to go!!
Kuna watu hapa na kule hawajui lolote kuhusu soka!
Matter of fact watani hongereni sana,point moja EPL sio mbaya hata kidogo
Vipi hawa hawayaogopi majogoo?
 
Back
Top Bottom