Nani aitake ii takataka

Sent using Jamii Forums mobile app
80040000598c9e431586b1400e7b6810.gif


Acha wivu wewe na wakati Mourinho mwenyewe alimtaka
 
Kwa hili la Willian kutakiwa Barca - aisee wakidondosha walau Pound 80m lazima Chelsea wakubali. Ila wakomae komae walau jama wafike 98m hivi. kufa kufaana

skysports-willian-chelsea-premier_4081310.jpg

Baca wakiingia kingi tumuuze fasta kwa pesa nzuri kisha tumvute mahrez
 
Back
Top Bottom