cahili point of weakness in chelsea defense, hamfikii hata dogo ANDREAS CHRIST achilia mbali rudiger.
sema makocha wa kiitaliano huwa hawana imani na vijana wanapenda kutumia wazee.
sijui alitumia vigezo gani kumpa u captain mtu mzembe kama cahili.
Kumpa ucaptein sio hoja hoja ni kwamba asipofanya vizuri kazi yake awekwe benchi tu
Aspiliqueta si yupo
Adreas yuko vizuri sana asikuambie mtu
 
leo kuna rumors kuwa tunamtaka belloti na vardy, sasa najiuliza hawa wa nini wakati morata na batman wapo.
wanatakiwa wasajili eneo la kiungo mkabaji kuna defficiency, fabregas kachoka anasubiria tu apige pass za mwisho.
ngolo kante akiumia au apate nyekundu tutakuwa wazi kama upara wa gudiola.
lete mtu kama kovasic, granit xhaka waje wagombaniane namba waongeze competition.
Michi sio mtu wa kumtegemea hata kidogo Nando
Ni kweli kabisa tunahitaji mshambuliaji mmoja, beki wa ziada na kiungo mmoja tufunge usajili
 
Naona Bodi Ya Chelsea Inafanya Jambo La Ajabu Kama Ni Kweli Kwa Taarifa Zinazosambaa Binafsi Naamini Conte Kocha Bora Zaid Ya Yule Dortmund Diego Costa Anapendwa Na Bodi Inavoonesha Wamuache Kocha Na Maamuz Yake Mana Bado Anafanya Vizur Mbinu Zake Za Ushindi Ni Nzuri.
 
Naona Bodi Ya Chelsea Inafanya Jambo La Ajabu Kama Ni Kweli Kwa Taarifa Zinazosambaa Binafsi Naamini Conte Kocha Bora Zaid Ya Yule Dortmund Diego Costa Anapendwa Na Bodi Inavoonesha Wamuache Kocha Na Maamuz Yake Mana Bado Anafanya Vizur Mbinu Zake Za Ushindi Ni Nzuri.
Aisee ni kweli mkuu kuna tetesi zinasambaa kwenye mitandao kufukuzwa kwa Conte itakuwa ni jambo la ajabu kama itatokea kweli.
 
Ikitokea Chelsea wakamfukuza Conte basi itafeli milele

Chelsea ni zaidi ya Conte. Akiondoka atakuja mzuri zaidi. Kwani yeye si aliikuta Chelsea na vikombe?. In modern football, money matters than anything else.
 
TAARIFA KWA MASHABIKI NA WAPENZI WA CHELSEA

Kuna taarifa zilizovuma kwa kasi kuwa kocha wa chelsea atafukuzwa muda si mrefu. Taarifa hizo sio za kweli kwa sababu

1. Timu ya chelsea haipendwi na media Nyingi zauingereza Sababu waingereza na Warusi huwa Wanabaguana tokea zamani kisa cha Kubaguana waingereza Siku zote wanawaona warusi ni watu maskin na wasio na akili. Hivyo warusi baada ya Kuona wanaonwa ni Maskin Abramovic Akaamua kuonesha Jeuri ya pesa kwa Kuinunua chelsea ili Kuziba vinywa vya Waingereza. Kwa hiyo mafanikio yanapo Jaribu kuonekana kwenye timu ya Chelsea mambo kama hayo hukuzwa kwa nguvu zote hata kama habari hizo ni dhaifu na hazina vyazo vya kuaminika.

2 Chelsea haitaweza kuvunja mkataba na Conte, ikumbukwe Conte akiwa mapumzikon Italy zilivuma taarifa kamahiz kwamba hawezi kuja kuendelea na kazi cha ajabu Conte alipotua England Chelsea wenyewe walimwomba aongeze mkataba mazungumzo ya kuongeza mkataba yaliendelea takriban kama wiki na nusu na aliyeendesha. Mazungumzo ni mkurugezi wa Chelsea. Kwa nyongeza tajiri wa Chelsea anampenda Conte kocha mzuri

3 Chelsea haiwezi kuvunja mkataba maana itaingia gharama kubwa sana ya kuvunja mkataba ikumbukwe wametoka kwenye usajili wa gharama kubwa nabado wanaendelea na usajili kwa kifup klabu haitakubali kula hasara kubwa kiasi hicho.

4 Waingereza wmeanza kuona dalili za chelsea kuchukua ubingwa maana wameshamfaham Conte juhudi zake na umahiri wa kuisoma timu pinzani. Hivyo wanafanya hivyo ili kuivuruga akili ya Conte na wachezaji na mashabiki kwa ujumla..

Mwisho
Conte hafukuzwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
EFL cup kwa msimu huu itajulikana kama Carabao cup baada ya msimu wa 2016/17 kuwa bila sponsor.

Carabao ambao ni kampuni ya kutengeneza vinywaji vya kuongeza nguvu (Energy drink) kutoka Thailand watakuwa sponsor wa EFL kwa kipindi cha miaka 3. Ikimaanisha watakuwa sponsor mpaka mwaka 2020

Kabla ya hapo wengine waliowahi kuwa sponsor wa EFL cup ni pamoja na

1:Capital One ambapo ilijulika kama capita one cup msimu wa 2012-2016

2:Molson Coors hawa wakaipa michuano hii jina Carling cup msimu wa 2003 - 2012

3: Worthington's hapa ilijulikana kama Worthington cup msimu wa 1998 - 2003

4: Coca cola nao walishawahi kuwa sponsor wa EFL na ilijulikana kama coca cola cup mwaka 1992 - 1998

5: Rumbelows ikajulikana kama Rumbelows cup mwaka 1990 - 1992

6: Littlewoods ikijulikana kama Littlewoods challenge cup mwaka 1986 - 1990

7: Milk marketing Board ikijulikana kama Milk cup mwaka 1981 - 1986
CARABAO CUP - 2017/18

Chelsea will play Nottingham Forest at home in the third round of the CarabaoCup. Games to be played in the week commencing 18 September.
 
Kwa hili la Willian kutakiwa Barca - aisee wakidondosha walau Pound 80m lazima Chelsea wakubali. Ila wakomae komae walau jama wafike 98m hivi. kufa kufaana

skysports-willian-chelsea-premier_4081310.jpg
 
Back
Top Bottom