Moderator huyu kijana anaetukana kiasi hiki kwanini hampi BAN, mpira ni starehe na si matusi, na starehe ya mpira ni pamoja na changamoto toka kwa wapinzani, haya matusi hayana nafasi katika jukwaa hili
 
Habari Mupya!!! - £36m to end striker Michy Batshuayi's misery to Lille

Lille ready to offer £36million for Chelsea striker Michy Batshuayi and end his misery at Stamford Bridge
Batshuayi only scored five Premier League goals last season and is now playing second fiddle behind new arrival Alvaro Morata.

Arsenal-v-Chelsea-FA-Community-Shield-Football-Wembley-Stadium-London-Greater-London-United-Ki.jpg

Unaonaje? Anende ama abaki? Kumbuka kwamba mshambuliaji huyu ana miaka 23 tu, consider he has room to improve...tusije kujuta na kumnunua tena kwa Pound 70m
Abaki
 
Da Unatia Huruma 20 Kwa 6 Halafu Na Wewe Umezoea Makombe Mungu Wangu Kasome Ubao Wa Manchester United Uje Usome Na Wa Chelsea Utaona Utofaut

ILA SIIDHARAU CHELSEA FOOTBALL CLUB.
Unaanzaje kuidharau wakat kila msimu nakupiga nje ndani! Yaani kati ya timu ambayo hat hainipi homa ni manure, timu yenu ya kawaida sana halafu mnachooonga ........ mliongea sana alivyonunuliwa Pogoba badae mlivyoona mmepewa mbuzi kwenye gunia mkakaa kimya, sasa muda utafika mtakaa kimya!

Makombe sita nimeyashudia yote,we hayo 20 umeshuhudia mangap?
 
Moderator huyu kijana anaetukana kiasi hiki kwanini hampi BAN, mpira ni starehe na si matusi, na starehe ya mpira ni pamoja na changamoto toka kwa wapinzani, haya matusi hayana nafasi katika jukwaa hili
Acha uchoko ww! nikishapgwa ban halafu ww unafaidika na nn? ......... hapa tunajadili mpira sasa akija mtu anatoka nje y mpira inakubidi na wewe utoke nje y mpira. Sasa kama hujui imeanza vp ni bora utulie hivyo hivyo.
 
Kwa Kukusaidia Chelsea Kashinda Msimu Wa Moyes Nje Ndani Usiwe Muongo Na Manchester Ndo Timu Inayoongoza Kuzifunga Timu Zote Epl Mara Nyingi Chukua Hiyo Dogo Angalizia Hata Google Toka Mwaka 2011 Hatukuwah Kupata Matokeo Darajan Nyingi Droo Mmeshinda Mara 3
Suala La Mbuzi Kwenye Gunia Hakuna Timu Ambayo Haijasajili Watu Wakachemka Hapo Chelsea Wamepita Wakina Crespo,shevchenko,mateja Kazman,veron,torres Falcao Had Drogba Ndo Kaja Kuokoa Jahaz Achana Na Pogba Yule Sio Flop Wewe Bado Mpya Kumbe Ndo Mana Unaparamia Watu Wenzio Tumeanza Kuona Makombe Toka 1996 Ndo Mana Nkakwambia Ngoja Ukue We Wa 2004
 
Acha uchoko ww! nikishapgwa ban halafu ww unafaidika na nn? ......... hapa tunajadili mpira sasa akija mtu anatoka nje y mpira inakubidi na wewe utoke nje y mpira. Sasa kama hujui imeanza vp ni bora utulie hivyo hivyo.

Weka Post Niliyotoka Nje Ya Mpira Hapa Ona Unachoandika Bado Nakuonea Huruma Sana Ndugu Yangu Unawadanganya Had Wanajukwaa Wenzio!!! Halafu Unajidanganya Sana Nilichogundua Eti Nakufungaga Nje Ndani Hatar Sana Ila Sifikirii Kama Mashabik Wote Wa Chelsea Wako Ivo Wanavyojidanganya Kama Wewe Google Hapo Uone Kati Ya Chelsea Na Manchester Nani Kafumuliwa Sana.
 
Moderator huyu kijana anaetukana kiasi hiki kwanini hampi BAN, mpira ni starehe na si matusi, na starehe ya mpira ni pamoja na changamoto toka kwa wapinzani, haya matusi hayana nafasi katika jukwaa hili

Mkuu Usipate Nae Shida Cha Msingi Ukishajua Ktk Jamii Yetu Kuna Watu Wa Namna Hiyo Maisha Yanakuwa Rahisi Sana Anajijua Yeye Na Nafsi Yake Pamoja Na Mungu Wake Watu Kama Hawa Unatakiwa Kuwa Mtulivu Usimpe Nafas Ya Kuingia Ktk Jambo Lake Chafu Shikilia Utu Wako Tu Na Iman Yako.
 
Tactical Analysis - Chelsea vs Tonteham:

Playying David Luiz in central midfield alongside N'Golo Kante and Tiemoue Bakayoko meant Alli and Eriksen were forced out of the game.

Chelsea's approach left them very narrow - and allowed Ben Davies and Kieran Trippier plenty of space on the flanks, and Conte felt Spurs should have overloaded those areas more often than they did during the game.

To me (mchambuzi), the tactical was designed for one opponent and one game. I'm not saying we won't ever see it again, but last season they had some pain with Alli and Eriksen and I think it was designed for a one-off.

They were up against it, as well. He took a step back to go forward in that it was a defensive performance and they only had 32% possession.

"For me it wasn't the normal Chelsea team we are going to see every week in terms of style, but I have to say I think it was a good tactic for the day. It worked."

"That was typical Conte"

Kimario Luiz Na Cahil Sio Kazi Nyepes Kuwapora Namba Wakina Rudiga Wanakaz Ngumu
Kwa cahil hakuna beki pale halafu kwa ninavyomjua conte ametoka kufungwa akiwa na kikosi kingine then akaja kushinda akiwa na baadhi ya wachezaji waliokamata nafasi ya mtu basi ndio imepita hivyo

Rudiger kwangu mimi ni bora kuliko cahili ni muda tu utaongea
 
Mkuu pita najukwaa yakina man u wanajadili mpira ila umu shombo zmejaa namatusi
...... ILI NI GENGE LA WEZI.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa cahil hakuna beki pale halafu kwa ninavyomjua conte ametoka kufungwa akiwa na kikosi kingine then akaja kushinda akiwa na baadhi ya wachezaji waliokamata nafasi ya mtu basi ndio imepita hivyo

Rudiger kwangu mimi ni bora kuliko cahili ni muda tu utaongea

cahili point of weakness in chelsea defense, hamfikii hata dogo ANDREAS CHRIST achilia mbali rudiger.
sema makocha wa kiitaliano huwa hawana imani na vijana wanapenda kutumia wazee.
sijui alitumia vigezo gani kumpa u captain mtu mzembe kama cahili.
 
leo kuna rumors kuwa tunamtaka belloti na vardy, sasa najiuliza hawa wa nini wakati morata na batman wapo.
wanatakiwa wasajili eneo la kiungo mkabaji kuna defficiency, fabregas kachoka anasubiria tu apige pass za mwisho.
ngolo kante akiumia au apate nyekundu tutakuwa wazi kama upara wa gudiola.
lete mtu kama kovasic, granit xhaka waje wagombaniane namba waongeze competition.
 
Back
Top Bottom