Kichapo cha leo kitamsaidia sana conte kipindi hiki cha usajili
Team inahitaji mabeki wawili
Team inahitaji washambuliaji wawili
Team inahitaji kiungo mchekeshaji mmoja
Team inahitaji kiungo mkabaji mmoja
Na goal kiper mmoja
Kama huu usajili haujafanyika basi tuandike maumivu
 
Hapana mkuu, Chelsea imekamilika kila idara,
  • Ina kipa bora duniani (nyuma ya De gea na Neuer lakini)
  • Ina mabeki wa uhakikia (Sidhani at ur right mind unaweza kuwabeza Manywele, Cahil, Az, Alonso)
  • Viungo ndo usiseme kuanzia defensive hadi wale offensive (Kante, Matic, Alonso, William, Moses hadi wale wakimbiza upepo wa pembeni Hazard na Pedro)
  • Ina strikers wazuri sana, (Costa, Batshuay). Na kwa offensive midfielders mlionao, mnahitaji mastriker watatu tu. So labda kama Costa ataondoka ndio muongeze.

  • Hapa tatizo ni kuwa Conte sijaona akiwa na ubunifu wowote, tumeona mechi kadhaa akishakamatwa anakosa pumzi kabisa, anabaki kama zezeta flani. He is now predictable. Ni kwa vile alipokuja EPL, formation aliyokuwa anatumia haikuwa imezoeleka sana na ndio maana makocha wanaojitambua baada ya kufungwa mara ya kwanza wakamsoma na kujua namna ya kum-neutralize. Amini nawaambieni kama msimu ujao Conte ataendelea kuwa predictable hivi, plus muanze na nyie kucheza mechi mbili ndani ya wiki moja, sidhani kama atamaliza msimu akiwa Darajani.
 
Hii match ukimlaumu cocha ni kutomtendea haki wachezaji walicheza ovyo sana yaani ni kama walikuwa hawajui majukumu yao
Usajili huu ni muhimu sana hatuwezi kwenda Uefa namna hii
 
Sijamlaumu kocha mkuu, ni jamaa hapo juu kataja idadi ya wachezaji ambao chelsea inatakiwa iwanunue, almost first eleven yote. Ndio maana nikamwambia kila kitu kipo hapo. Ila Conte kuna wakati anatakiwa aanze kujifunza kubadilika, ili asiwe predictable.
 
Moses hakupaswa endelea na mechi
Matic hakupaswa kuwa kwenye mechi
Alonso hakupaswa chenza kule nyuma
Costa hakutakiwa cheza kabisa
Hazard bora aende kwa mkopo
 
Hii match ukimlaumu cocha ni kutomtendea haki wachezaji walicheza ovyo sana yaani ni kama walikuwa hawajui majukumu yao
Usajili huu ni muhimu sana hatuwezi kwenda Uefa namna hii

Kwa nin wacheze ovyo??? Timu ikifanya vibaya anayelaumiwa ni kocha na ndo mana huwa wanafukuzwa kazi...kama vip awauze waliocheza ovyo anunue wengine kama anavyofanya gurdiola
 
Ila ukwel ni kwamba Conte ni mgumu sana kubadilisha watu anao waamini kama jana Matic toka mwanzo game ilikuwa imemshindaa yaan kwa hili asipobadilika kuna mechi nyingine tutakuwa tuanapoteza kizembe.
 
Moses kacheza vizuri msimu mzima anakuja kufanya blunder mech ya mwisho tena fainali..
Dah sema tushukuru tumeshinda hata League maana huu msimu ulikuwa ni wa transition
tutaonaa msimu ujao sasa...
 
Kwa hiyo mlitaka kuchukua kila kombe Msimu ujao mnashuka daraja na conte wenu mtakuwa na transition mbaya sana kama leicister city.
 
Back
Top Bottom