Magoli yote ya jana yamefungwa na vijana wa Chelsea, Romeo na Betrand wote ni X-ChelseaSharp shooters Chelsea score seven goals from eight attempts
- How about for this for efficiency: Chelsea's first three shots on target all ended up in the back of the net.
- Similarly, Chelsea had five shots on target during the entirety of Saturday's FA Cup win over Tottenham and scored four.
Bertrand move was big mistake,Romelu ni wakawaida thou he is one of the best combative midfieldersMagoli yote ya jana yamefungwa na vijana wa Chelsea, Romeo na Betrand wote ni X-Chelsea
Wafungwe kabisa hakuna cha drawLeo sisi ni kiwaombea njaa Totenham, hata wakipata sare kwetu itakuwa na faida sana
Kweli kabisa kaka, maana tulishaanza kuyumba na beki wa kushoto baada ya Cole kuchuja, Azip ni beki wa kulia akaja kukaba kushoto, kweli tulipotezaBertrand move was big mistake,Romelu ni wakawaida thou he is one of the best combative midfielders
Dogo alishaanza kuiva ilitakiwa aaminiwe tu kama makocha Wa Saints walivyomuaminiKweli kabisa kaka, maana tulishaanza kuyumba na beki wa kushoto baada ya Cole kuchuja, Azip ni beki wa kulia akaja kukaba kushoto, kweli tulipoteza