Vipi zimetimia hizo Tatu?, Ngoja nikuulize kitu kaka, mbona unapenda kujitesa hivyo ndugu yangu? Kwa nini unajinyima raha kwa vitu vilivyo wazi kabisa? Wewe kila siku unasema leo ndio mwisho wenu, wiki ijayo ndio mwisho wenu, lakini mwishowake unabaki na maumivu na sononeko kuu la Moyo, soma alama za nyakati kaka, Chelsea ni Unstopable msimu huu,

Ngoja nitangulize pole yangu, hapo Jogoo atakapochinjwa na Leicester City

Kaka Malafyale uliisoma hii
 
3D8BBB4D00000578-4250866-Fulham_Tattoo_Centre_posted_a_photo_of_Eden_Hazard_on_their_Inst-a-43_1487806019642.jpg


Fulham Tattoo Centre posted a photo of Eden Hazard on their Instagram page on Wednesday


They captioned the post: 'Chelsea's main man popped in today @hazardeden_10 for a 4 hour session. First of many. Started a half sleeve.

'Top man, top banter and top top player. He ain't going nowhere by the way Chelsea fans.' Make of that what you will.



Read more: Eden Hazard enjoys four hour tattoo session | Daily Mail Online
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
hazard kachora tatoo?
 
Congratulations Victor Moses! The 26-year-old has today signed a new contract with the Blues which will run until 2021!
Alitakiwa a sign mpaka 2022 hapo 2021 ndo atakuwa anagota 30 na chelsea na policy yao ya ku sign under 30 huenda ikamuathiri
 
Sasa nimeamini ChelseaFC wa kukukamata HAYUPO!! baada ya kupokea vipigo viwili toka Arsenal na Liverpool mwanzoni mwa msimu mengi yalisemwa- lakini kumbukeni hayo yalikuwa maneno ya kwenye Khanga...

ChelseaFC ni Bampa to Bamba hadi mida ya wanga!! Hutaki kutembea utabebwa mgogoni.... Huyo number 6 sijui kafunga ndoa na hiyo nafasi ?????

upload_2017-3-2_13-53-13.png
nu
 
Congratulation Antonio Conte for winning @Willow_Fdn LFA17 manager of the year

The Blues boss beat out the rest of his London rivals in what will likely be the first of several awards for the Italian this season

Antonio Conte has been crowned London Manager of the Year at an awards ceremony on Thursday evening.

c6112299d8e7d10cac83bb2e6a7022b8.jpg
 
Katika mchezo wa la Liga BBVA...
Atletico Madrid dhide ya Depotivo.... Fernando Tores aliruka juu kuokoa mpira wa kona na kwa bahati mbaya akagongana na mchezaji wa Depotivo na wakati anatua chini alitanguliza chini sehemu kubwa ya kichwa na kusababisha kumeza ulimi wake...... Shukrani ziwaendee wachezaji waliokuwa karibu na kumuwahi haraka haraka kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.

Mpaka Leo asubuhi anaendelea vyema na ame Twitte kuwashukuru wote walio mtumia meseji..... Uwanja ulijawa na simanzi kwa pande zote mbili...... Kweli mpira sio vita.

Get well soon and recover quickly El Niño.
 
1. PL Player of the year - NGOLO KANTE
2. Manager of the year - Antonio Conte
3. Young playér of the year - Dele Alli
4. Goalkeeper of the year - Hugo Lloris
5. EFL player of the year - Tom Cairney
6. Outstanding Contribution to London Football Frank Lampard.

Hizi ni tuzo za mwaka jijini London.... Hivi ile timu yetu si ipo London au nauliza tu ? Maana hata tuzo za ng'olo kante zilikuwepo London.
8cc1ca8903cfded95dc44c6dab282ce0.jpg
 
1. PL Player of the year - NGOLO KANTE
2. Manager of the year - Antonio Conte
3. Young playér of the year - Dele Alli
4. Goalkeeper of the year - Hugo Lloris
5. EFL player of the year - Tom Cairney
6. Outstanding Contribution to London Football Frank Lampard.

Hizi ni tuzo za mwaka jijini London.... Hivi ile timu yetu si ipo London au nauliza tu ? Maana hata tuzo za ng'olo kante zilikuwepo London.
8cc1ca8903cfded95dc44c6dab282ce0.jpg
Dah Ngolo anakwangua Anga,huyu ndugu atakuja kuwa mchezaji maarufu hapo mbeleni...
 
Vipi zimetimia hizo Tatu?, Ngoja nikuulize kitu kaka, mbona unapenda kujitesa hivyo ndugu yangu? Kwa nini unajinyima raha kwa vitu vilivyo wazi kabisa? Wewe kila siku unasema leo ndio mwisho wenu, wiki ijayo ndio mwisho wenu, lakini mwishowake unabaki na maumivu na sononeko kuu la Moyo, soma alama za nyakati kaka, Chelsea ni Unstopable msimu huu,

Ngoja nitangulize pole yangu, hapo Jogoo atakapochinjwa na Leicester City

Kaka Malafyale uliisoma hii


Hakusoma


Ata km atasoma hawezi jibu kitu.


Kaka umekua mganga WA kienyeji naona utabiri wako ulitimia
 
Back
Top Bottom