The case against MUSTAFA MKULLO

Jamani Mungu Mkubwa atakuwa upande wetu Watanzania, naona tena mafisadi kadhaa wamerejeshwa na wao, wake zao, na watoto wanajua kuwa ni wezi, wanatuibia, wanatuua sisi na watoto wetu. Siku itafika tutawatumbua matumbo yao kwa mali walizokula na kutafuna mali zetu kwa manufaa binafsi
 
..Mustapha Mkullo ndiyo aliwapa mikopo ya nyumba Sumaye na Dr.Idris Rashidi.

..mtandao walipiga kelele sana kuhusu mikopo hiyo, haswa wa Sumaye. leo hii Mkullo anapewa wizara nyeti kuliko zote.
 
Mwenye Uovu wa Mkullo aweke..mie simjui huyu Bwana..na huwezi amini...Wengi humu JF tulipitiwa kama Mkullo ni naibu wazir. Maana hata washtua Mabomu akina MKJJ na Kitila, masatu na Lunyungu, Yebo*2 hawakumgusa huyu mtu.

Kama walivyosema wengine...CCM wengi mafisadi...hata ukiangalia Sura zao huwezi pata shida...ule Ujasiri, Nidhamu ktk vitu vya UMMAH hawana kabisaa.

Wale waliosoma Post zangu awali nilishamcrash mwanakjj na invisible juu ya kuwepo kwa mixture ya vyama ktk Baraza Jipya na Niliwaambia msitegemea Mapya ktk CCM.

Lunyungu hio nukta yako ya Kundi moja ni 90% sijaifanya analysis hio....may be take time utuwekee LIVE.ila Post nyingi za nyuma tumesema tuangalie Utendaji wa MTU na si Kundi analotoka. Alichoangalia JK ni u-CCM na U-Mtandao wao.

Binafsi sina IMAN na CCM kwasasa labda kwa utendaji wa individuals.

Wabunge wa CCM na Upinzani waliomakini wawe askari wetu wazuri wa Rasilimali zetu, na si vita yao ya kutafuta VYEO thru kulipua mabomu. Brother Mwakyembe na wengine wakae kidedea ili Mikataba yote ifuatiliwe, maana kama wangepata wizara, basi hata huko Bungeni wabunge wangeendelea KULALA
 
hatari,,hatari,,semejiiiiiiiiiiiiiii semejiiiiiiiiiiiii
pepo nzima mafisadi
quiqqqwiqwiqwiiiiiiii
 
mlikuwa wapi,,,tuwape muda jamani kwa hao mafisadi watarajiwa
qwiiiiqwiiiii tehtehhhhtehhhh.....mwanakjito fisadii wana jf mafisadi..kujua siri za watu kabla ya mabo kuiva nayo fisadiiiii...twwiiiiiiii
 
Hivi ni haki kumpa nafasi Chui kukaa chumba kimoja na mbuzi ili kuona kama chui atamla mbuzi?

Kuna wakati tunatoa wasaa tukiwa tunajua fika nini kitatokea.

Chui atamrukia mbuzi na kumkaba koo na pia atatumia wasaa huo kunyonya damu yote.
Baada ya hapo atamgeuza Main Dish na pengine kuita wenzie wawili watatu kwenye karamu hiyo ya kima cha mbuzi.

Mustafa Mkullo siyo kwamba ataiba tu atatia undava kwenye mchakato mzima wa ubadhirifu wa fedha na kuendelea kulinda wote walohusika na wizi, na penghine kuharibu nyaraka na kumbukumbu muhimu.

MH Kikwete amefanya makusudi kabisa kwenye hili ili kulinda siri kubwa kama ile ya wapi Fedha ya Kagoda ziliishia.

Kumbuka kwamba Uchaguzi ulo muweka yeye Kikwete kwenye kiti cha Urais umekuwa Funded na LAUNDERING MONEY( Fedha Haramu).
Kwa hiyo ni wazi ni kwamba amemweka mtu mwenye dhambi Kam Mustafa Mkullo ili azidi kulinda dhambi zao za kuiba kura kwa fedha za kuiba toka BOT.
Pia msisahau kwamba Rais Kikwete naye yumo kwenye LIST OF SHAME.
Kikwete naye ni mwizi msanii na mwongo mkubwa, ndiyo maana ameshindwa kabisa kuwatema baadhi ya Mafisadi wenzie.

Rais Kikwete naye alishawahi kusema RDC ilikuwa ni kampuni safi ila watu tuna majungu pia haturidhiki na maamuzi ya viongozi wachapa kazi. Mbona limemshuka!!
Rais ana mkono kwenye RDC na ITPL na Migodi ya Dhahabu, kwa hiyo kuweka watu safi pekee yake ni kujichimbia kaburi la futi 12, yeye mjinga?

kuendelea kuwepo kwa uchafu ndani ya Baraza lililopangwa kwa mikono ya MH Kikwete kunaonyesha kwamba Mikono ya MH Kikwete ni michafu kweli kweli na inanuka kwa uoza aina zote na hayuko tayari kunawa mikono yake wala kuoga mwili ili ajisafi.

Ahadi yetu kwenu SISIEMU ni moja,Ni lazima tuwainamishe mpaka mbusu ardhi kwa videvu na ndimi zenu na kung'olewa hapo mlipo.
Hayo tutayafanya ndani ya Uhai wetu kwa sababu yamo ndani ya uwezo wetu.


Nahisi makalio yenu yamechoka kukaa kwenye enzi.
Kwa kila hali mmeonyesha kulitamani Bench walo kalia KANU na UNIP.Msiwe na hofu SISIEMU kwa tabia yenu haramu ya kukumbatia uchafu muda wa kwenda na kuanza kalia bench hilo mtauharakisha.

Anzeni kupanga nanmna ya kuiba fedha za uchaguzi mwaka 2010 kama mlivyozoea miaka yote.
Lakini safari hii,Ole wenu.
 
Sioni issue kubwa hapo. Pesa haikupotea.

Ni makosa madogo ya kiutendaji. Vipi Richmonduli ambayo pesa inaendelea kuliwa?!?
 
Nadhani sio rahisi JK atufurahishe waTZ wote, ila Iam so much worried na Mr Mkulo na maissue yake ya PPF, Mr Chenge na mikataba yake ya kiaina alipokuwa Mwanasheria mkuu, And who is this Kapuya??? hivi JK ana washauri kweli? Tusiseme mengi best.,KANYAGA TWENDE History will tell
 
Kwa hili la Mkulo kukabidhiwa fuko la fedha JK kachemsha big time! Wanaomjua wanasema jamaa hawezi hata kufungua email yake!

In the turbulent times ktk maeneo ya fedha BOT, EPA etc kumpa dhamana ile Mkulo ni sawa na kujaribu silaha vitani!

Ni kweli mkuu. Jamaa ni kilaza ile mbaya. Ni mswahili mtupu kabisa.
Alilazimishwa kuachia ngazi huko PPF. Akiwa mwenyekiti wa Bodi ya AICC alitaka kuuza eneo la AICC kwa makaburu wa Afrika Kusini .Watu wa AICC wakashtukia dili kumbe masouth walikwa matapeli.

Kwa maana nyingine JK kakosa watu huko CCm. Aingie mtaani tupo wengi tu ila sio wabunge. Badilisha katiba. Ebo.

Mkitaka kjua alivyo bomu subirini hotuba yake ya bajeti mwaka huu. Mtacheka mfe.
 
Mkullo kwa qualifiaction anafit kuwa waziri wa fedha maana ana ACCA, MBA(though ya distant learning kutoka Almeda University in USA) na amefanya kazi kule NDC, Treasury Registry kidogo na kama Director General pale NSSF.
Ila swali la msingi ni kuwa kuanzia mwaka 2000-2005 alikuwa anafanya nini? Mimi ninavyofahamu alikuwa MFANYABIASHARA . Maana alianzisha kampuni iliyokuwa inaitwa Adam Ribs. Kazi yake ilikuwa ni kufanya dry cleaning. Nakumbuka alipata tenda ya pale Muhimbili kuosha mashuka. Ila pia nakumbuka biashara hiyo ilifeli vibaya mno.Sijui hata kama madeni alimaliza kulipa. Ndio mwaka 2005 akaona kama noma na iwe noma akaenda Kilosa kujaribu ubunge na akapata. Na ndio leo kaula
 
Masatu siku zote za maisha yangu nimekujua kuwa ni mtu wa namna hii.Mkweli na mmwaga point sasa ule unazi sijui huwa unatoa wapi .Safi sana mkuu . Lakini huyu Mkullo hana connection na yule Mhindi wa jumba la vioo vyeupe ndugu Manji na baadhi ya wazungusha pesa pale mjini Darisalama ?

Ndio maana KAPUYA karudi pale,NSSF na Kapuya Na Manji blablaa,hatuoni mwanga wengine hapo!!!!
 
Mkullo kwa qualifiaction anafit kuwa waziri wa fedha maana ana ACCA, MBA(though ya distant learning kutoka Almeda University in USA) na amefanya kazi kule NDC, Treasury Registry kidogo na kama Director General pale NSSF.
Ila swali la msingi ni kuwa kuanzia mwaka 2000-2005 alikuwa anafanya nini? Mimi ninavyofahamu alikuwa MFANYABIASHARA . Maana alianzisha kampuni iliyokuwa inaitwa Adam Ribs. Kazi yake ilikuwa ni kufanya dry cleaning. Nakumbuka alipata tenda ya pale Muhimbili kuosha mashuka. Ila pia nakumbuka biashara hiyo ilifeli vibaya mno.Sijui hata kama madeni alimaliza kulipa. Ndio mwaka 2005 akaona kama noma na iwe noma akaenda Kilosa kujaribu ubunge na akapata. Na ndio leo kaula

Thanks for this short CV! Mimi binafsi simfahamu vizuri sana huyu Mkullo so na fikiri kabla ya yote ni vizuri tupate CV yake kwa undani ndipo tuchangie!! Bwana mbangaizaji, can you provide us with his detailed CV please? cause ''no facts no right to talk''
 
Thanks for this short CV! Mimi binafsi simfahamu vizuri sana huyu Mkullo so na fikiri kabla ya yote ni vizuri tupate CV yake kwa undani ndipo tuchangie!! Bwana mbangaizaji, can you provide us with his detailed CV please? cause ''no facts no right to talk''

CV ya Mkulo ndo hii

EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Almeda University - USA MBA 2004 2005 MASTERS DEGREE
National Board of Accountants & Auditors CPA 1982 1982
S'West London College - London ACCA 1975 1977
Strathmore College - Nairobi ACCA 1971 1973
Private Studies A-Level Education 1969 1970 HIGH SCHOOL
Pugu Secondary School O-Level Education 1965 1968 SECONDARY
Zombo Middle School Primary Education 1961 1964 PRIMARY
Rudewa Primary School Primary Education 1956 1960 PRIMARY

--------------------------------------------------------------------------------
CERTIFICATIONS
Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
No items on list

--------------------------------------------------------------------------------
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
Ministry of Finance Deputy Minister 2006
National Social Security Fund Director General 1987 2000
National Development Corporation Director of Operation 1985 1987
Ministry of Finance Treasury Registrar 1982 1985
National Development Corporation Director, Planning & Finance 1980 1982
National Development Corporation (CONRHO GROUP) Financial Controller 1978 1980
National Development Corporation Various Promotions on Merit 1973 1977

--------------------------------------------------------------------------------
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of Parliament of Tanzania 2005 2010
Chama Cha Mapinduzi - CCM Member (NSSF) 1987 2000
Chama Cha Mapinduzi - CCM Member (NDC Branch) 1977 1987
TANU Member(NDC Branch) 1973 1977

Source:http://www.parliament.go.tz/bunge/Mp_Cv3.asp?PTerm=2005-2010&fpkey=413&vusername=GUEST")
 
..Mustapha Mkullo ndiyo aliwapa mikopo ya nyumba Sumaye na Dr.Idris Rashidi.

..mtandao walipiga kelele sana kuhusu mikopo hiyo, haswa wa Sumaye. leo hii Mkullo anapewa wizara nyeti kuliko zote.

Jokakuu, alishirikiana na wenzake kuwapelekea mtandao doc za mkopo wa Sumaye, lakini kwa taarifa mkopo wa Sumaye ulitolewa na PPF na Mkulo alikua NSSF ambayo sasa yuko DAU ila alikua anapata information kwa DG mwenzake, David Mataka na baadaye Nsemo. Na ndio kama unavyoona Mataka kapewa ATCL hata akinunua madege mabovu na magari huku shirika likijifia hafanywi kitu
 
Huyu Bwana Mustafa Mkullo hiyo MBA yake mbona imetokea kwenye vile vyuo hewa? Yaani Waziri wa fedha ana MBA feki?? Only in Tanzania...

Kwenye hilo Baraza wenye vyeti feki nilivyoona kwa harakaharaka ni pamoja na:

1. "Dr" Makongoro Mahanga
2. "Dr" Mary Nagu
3. Mustafa Mkullo "MBA"
4. "Dr" David Mathayo David
5. "Dr" Diodorus Kamala
6. "Dr" Nchimbi
7.
 
Huyu Bwana Mustafa Mkullo hiyo MBA yake mbona imetokea kwenye vile vyuo hewa? Yaani Waziri wa fedha ana MBA feki?? Only in Tanzania...

Kwenye hilo Baraza wenye vyeti feki nilivyoona kwa harakaharaka ni pamoja na:

1. "Dr" Makongoro Mahanga
2. "Dr" Mary Nagu
3. Mustafa Mkullo "MBA"
4. "Dr" David Mathayo David
5. "Dr" Diodorus Kamala
6. "Dr" Nchimbi
7.

Kuna haja ya ku-expose hili tatizo la digrii feki. Wahusika watupe maelezo yafuatayo:
1. Walifanya registration lini
2. Waonyeshe proof ya registration
3. Waonyeshe baadhi ya assignment walizofanya
4. Thesis zao
5. Wataje majina ya supervisors wao

Kuwa na digrii fake inatupa ujumbe kuwa elimu na digrii zinaopatikana kwa njia ya mkato.

Investigative journalists kazi kwenu sasa!.
 
Kuna haja ya ku-expose hili tatizo la digrii feki. Wahusika watupe maelezo yafuatayo:
1. Walifanya registration lini
2. Waonyeshe proof ya registration
3. Waonyeshe baadhi ya assignment walizofanya
4. Thesis zao
5. Wataje majina ya supervisors wao

Kuwa na digrii fake inatupa ujumbe kuwa elimu na digrii zinaopatikana kwa njia ya mkato.

Investigative journalists kazi kwenu sasa!.

6. Je hivyo vyuo vinatambulika na serikali za huko vilipo(accreditation)?
 
Mwakilishi, kuna wakati niliweka hii post ndani ya JF:

http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=2994

Unajua kwa wkati ule tulikuwa tumeanza kuliona na sababu kubwa ya mimi kuiweka ni kwmba kuna baadhi ya viongozi by then ambao walikuwa hizi "PhD" ambazo kwa kweli naona kama vile ni uchwara....

Sasa kama ilivyokuwa kule kwenye hiyo thread, bado nina hizi concern:
1. Ule mpango wa kufanya accreditation ulikuwa ni kutafuta pesa tu au kusimamia accademics:
2. Hawa wakubwa wenye PhD na MBAs za kwenye mitandao, kweli jamani qualifications ambazo TCU wanazipitisha kiurahisi rahisi tu??
3. Je hawa wakubwa (kama ulivyotuwekea kwenye posti yako ya pili kutoka mwisho) sheria hii inawagusa? Kama inawagusa je, mimi mtu wa kawaida nikipeleka vyeti vyangu kwa accreditation kutoka kwenye "internet college" kwa MBA itapitishwa?? Nina uhakika kuna watu wamekataliwa!!

So haraka haraka ni kwamba nadhani swala la "VIHIYO" lipo na Muungwana lazima aanze kuliangalia manake naona miaka ya 2000 kuja mbele kuna "maDokta" wengi na "MBA" even more lakini swali ni kwamba "Are they credible??"
 
Back
Top Bottom