The case against MUSTAFA MKULLO

To me this says more about the character of JK than even of those he appointed. Is he, JK, incompetenct, ignorant, lazy or all of the above? How does he expect to run an efficient govt with incompetent executives? It incompetence from wilayani, mikoani, wizarani to the embassies? Well if there are impeachable offences in TZ, JK has clearly accumulated them in a mass.




Huyo Demu alikuwa demu wa mshikaji wangu mmoja alikuwa anasoma Jitegemee na alikuwa nakaa maflet ya Bagamoyo Road pale karibu na Ubalozi wa Ufaransa.Mkullo kamputa mshikaji demu hivi hivi tunaangalia, sasa jamaa kuangalia Mkullo anaona kama mshua wake vile, na demu actually alikuwa na age ndogo kuliko mtoto ambaye Mkullo angeweza kumzaa by age 25, which makes him more like his father.Mshikaji alivyoona hivyo akaona si riziki wala nini asije kuniletea maradhi bure, vizee vina mengi hivi.Akamsusia demu, mpaka jina lake ninalo ila nina respect privacy yake tu.

That is Mkullo for you, alipokuwa NSSF alikuwa hatosheki, alikuwa anafanya kila jitihada kwenda Harbours mara BOT, mijicho inamtoka tu kuwania vyeo.Naona sasa kampata muungwana kafurahiii sana.


Kuhusu MBA tafuta CV yake, angalia chuo alichofanyia MBA (Almeida University) halafu ki-google uone wanavyotoa among other things "life experience degree".



Waziri wetu wa Fedha ndiyo kasoma hapo, na watu wakiomba CV yake wataona kapata MBA yake kutoka chuo kinachompa degree hata mbwa!
 
To me this says more about the character of JK than even of those he appointed. Is he, JK, incompetenct, ignorant, lazy or all of the above? How does he expect to run an efficient govt with incompetent executives? And it is incompetence from wilayani, mikoani, wizarani to the embassies? Well if there are impeachable offences in TZ, JK is clearly accumulating them in a mass.

KJ maneno makubwa hayo, what should be done...sasa!! Kama JK ndo huyo na executives wake....
 
Hii yote inadhihirisha uwezo mdogo alionao JK, mimi nwashangaa mnaomshangaa mkullo, huyo JK nani alimpa urahisi maana hiyo ndiyo root cause ya yoote haya.

Kwa mwendo huu kutakuwa na maisha bora hapo??????

Kweli kabisa mkuu Nyambala,

reflection hapa ya Mkullo ni JK mwenyewe aliyeamua kumpa uwaziri wa fedha. Swali kubwa la kujiuliza ni kuwa, ukiunganisha kashfa ya BoT, ushiriki wa IMMA, mkopo wa NSSF kwa kina Manji na baadhi ya viongozi kwenye serikali ya JK, na uamuzi wa Kikwete kumweka Mkullo wizara ya fedha, Masha wizara ya mambo ya ndani, na uteuzi wa Mujilizi kuwa jaji unapelekea wapi mtizamo wa serikali ya Kikwete kwenye ufisadi?
 
KJ maneno makubwa hayo, what should be done...sasa!! Kama JK ndo huyo na executives wake....



Mkuu Ushi,
Nafikiri umefika wakati wa kuanza kukusanya ushahidi wa 'madudu' ya JK ili aweze kushitakiwa bungeni. Bunge linao uwezo wa kikatiba kumuondoa madarakani. Hata hivyo, kwa kujadili tu kukosa imani na uongozi wake, hilo pekee litakuwa fundisho kwake kuacha kuifanya nchi kama vile ni nyumba yake ndogo, hata kama itashindikana kumuondoa kwenye kiti. There are so many people, even within CCM, who are tired of JK govt. It can as well start from here, collect evidence and create a case and let the wabunges pick the pieces.
 
I will givwe you more facts tommorow afternoo the middle east time stay tuned.

Sijui home itakuwa mida gani
 
Mustafa Mkullo ninayemfahum mimi ni kweli ana ACCA, na MBA ya chuo feki.

Baada ya kutoka NPF, akaanzisha ka biashara ka dry cleaner nakumbuka kalikuwa kanaitwa Adam Ribs. Alikopa pesa pale kwenye kabenki ka wahindi opposite na Kitega Uchumi.Akapata tenda nzuri tu ya kuosha mashuka pale Muhimbili, ila biashara ile ikamshinda na tenda akanyanganywa na tena hiyo biashara ikafa. Na mpaka ninavyosema sasa hivi kwa mujibu wa record zangu bado anadaiwa na kale kabenki na wamefanya provision kubwa tu(50%)kwa lugha ya kibenki ni doubtful debt.Ujasiliamali ulimshinda huyu mkuu na ndo maana akakimbilia siasa(ubunge). Ila naona mambo yake si mabaya kwaupande huo.



Ukitaka kujua kama JK in incompetent ndio hapa

huyu jamaa inshort ni MAFIA thats what describe him best,kwani anatabia zote ambazo zinafanana fanana na hao costra nostra

sasa ha ajabu mkullo alipita vipi kwenye hiyo vetting system ya Tanzania sijui
 
Huyu JK sasa naye anaharibu..na vitu vingine anajitakia yeye mwenyewe..mimi si fikiri kabisa kama yeye hajui kuwa mkulo ana rekodi mbaya..sasa hiyo wizara ikienda vibaya atamlalamikia nani?? mimi hizi lawama za kwamba jamaa JK anafanya kazi lakini wasaidi wake ndio wanaomuangusaha naomba tusipende kuziendeleza..ukweli ni kwamba yeye mwenyewe ndio anayejiangusha sababu anawajua kabisa watu wake anaowachagua..ila sababu ya uzito wa urafiki anaaamua kuwapa mambo ambayo athari yake kama yasipoendeshwa vizuri ni kilio kwa wananchi zaidi ya milioni 30 na aibu kwa wanaotutazama...

'' HUU ni MTAZAMO tu WANANCHI MSIJENGE CHUKI''
 
Huyo Demu alikuwa demu wa mshikaji wangu mmoja alikuwa anasoma Jitegemee na alikuwa nakaa maflet ya Bagamoyo Road pale karibu na Ubalozi wa Ufaransa.Mkullo kamputa mshikaji demu hivi hivi tunaangalia, sasa jamaa kuangalia Mkullo anaona kama mshua wake vile, na demu actually alikuwa na age ndogo kuliko mtoto ambaye Mkullo angeweza kumzaa by age 25, which makes him more like his father.Mshikaji alivyoona hivyo akaona si riziki wala nini asije kuniletea maradhi bure, vizee vina mengi hivi.Akamsusia demu, mpaka jina lake ninalo ila nina respect privacy yake tu.

That is Mkullo for you, alipokuwa NSSF alikuwa hatosheki, alikuwa anafanya kila jitihada kwenda Harbours mara BOT, mijicho inamtoka tu kuwania vyeo.Naona sasa kampata muungwana kafurahiii sana.


Kuhusu MBA tafuta CV yake, angalia chuo alichofanyia MBA (Almeida University) halafu ki-google uone wanavyotoa among other things "life experience degree".



Waziri wetu wa Fedha ndiyo kasoma hapo, na watu wakiomba CV yake wataona kapata MBA yake kutoka chuo kinachompa degree hata mbwa!


baada majibu yake kwenye kujibu hoja ya Zitto Mkullo nimejiuliza uwezo wake wa kuelewa na kujenga hoja .Hivi huyu kasoma wapi vile ?
 
There are so many people, even within CCM, who are tired of JK govt. It can as well start from here, collect evidence and create a case and let the wabunges pick the pieces.

Well said. Unfortunately the sheep (sorry CCM voters) don't read JF and will sleep walk anywhere JK wants them to just as long as the benefits keep rolling in. Just like MKULLO, we all know that JK's forte is stealth, hypocrisy(loads of that), dishonesty and cowardice - all wrapped under a shinning halo. As I've said before it wont matter that much when someone tries to interview him on MKULLO subject for very simple reason, he is incapable of giving a straight answer to a straight question. Or any other kind of answer, for that matter. He arrives with his script and sticks to it.

what a twat he is!
 
Nimeambiwa Mkullo keshaulizwa na wakuu wake wa kazi kuhusu hili
.

Cha kujiuliza walishindwa vipi kumfanyia vetting hapo awali?
 
Vyombo vyetu vya habari mbona viko kimya kuhusu hili? maana wao kazi yao ni kuja na kucopy from JF bila hata kufanya reference yoyote ile
 
WAKATI NI HUU....

Tunaomba waandishi wa habari mliomo humu chimbueni na kuandika magazetini uchafu wa huyu fisadi,

kila kona aanikwe, jF kama kuna mtu mwenye ushahidi wa karatasi ya uozo wake aiscan hapa ili mshindo uwe mkuu,

Moja bada wa mwingine lazma waondoke, tujenge TZ iliosafi

Mapambano yaendelee.
 
waandishi wa habari kama mpo hapa sebuleni naomba kwanza mkichambue chuo kikuu alichosoma waziri wetu wa fedha ili watanzania wote wakijue. hakuna haja ya kusema cheti chake feki, wananchi wenyewe wataunganisha dots.
 
Chenge out!!
Mkullo, Wakati Umewadia......majeshi songa mbele !!

Mkullo haendi kokote! Anakidhi sana kile kigezo namba moja cha teuzi za viongozi wa CCM na serikali yake tangu alipokuwa NPF/NSSF.Anaweza kukusanya/kutafuta fedha nyingi haraka zinapohitajika kwa kazi maalum/nyeti kwenye chama, serikali au Wakubwa wake.
 
OOh My God ..this terrible... Tena ni waziri wa wizara nyeti halafu kihiyo... hivi JK hua anaangalia CV kweli na kuridhika nazo??? au bora liende...
 
Back
Top Bottom