The case against MUSTAFA MKULLO

Mbogela

JF-Expert Member
Jan 28, 2008
1,379
1,250
FROM: The Tanganyikan Post

Only in Tanzania can stuff like this happen. The most unqualified people get the heaviest posts.

1."A level" education - "private studies",.. Alijisomea Nyumbani (kwa Posta)?:eek:
2. CPA in one year - 1982 - mmmmh :confused:
3. ACCA cerificate - ;)
4. college in Southwest london - Hakipo Mungu wangu???:confused:
5. he got his Masters degree - Shahada ya kwanza ipo wapi???
6. Almeida University - in the USA. Toba!!!! :mad: anaungana na akina Dr. Nchimbi et al kwa kifupi hii inaitwa degree Fake! Haitambuliwi
7. sign of intelligence - Uwe umefaulu mitihani sio kujisomea nyumbani
8. sit down with educated form Harvard, Oxford, Cambridge, and negotioate some sophisticated deals, - Atasaini mikataba fake, ya kutumaliza tu
9. give him a benefit of doubt on the ACCA from SW London, kwanini? Kama Kilifutwa si ingetajwa?
10. Alameda? -
11. Please make him a head master - you must be kidding!! afundishe watoto wa nani??
12. Serious - Maelezo yanatakiwa akifuatiwa na kuwaomba msamaha waTZ na baadaye kauchia ngazi :rolleyes:

13. Bongo please!!! - TAMBARARE

14. Enough said - This is just the begining More 2 come
15. (See below) - Inatosha Convicted Guilty

Vacancy
A prosecutor is needed immediately
 

Kidatu

JF-Expert Member
Jun 11, 2008
1,503
1,250
FROM: The Tanganyikan Post

Only in Tanzania can stuff like this happen. The most unqualified people get the heaviest posts.

This guy is our Minsiter of Finance and plannning. See Mkulo CV in Bunge(parliament) site, he cited his "A level" education as "private studies",.. me never heard that before!!, he then earned his CPA in one year - 1982. Wait, it gets better he then has some ACCA cerificate, degree or something- you go figure!.... from some college in Southwest london. Here thank God there is google, cause I found no such college. Then wait, to top it all, he got his Masters degree in Almeida University here in the USA. Now if you google or wikipedia -Almeida university, you will sigh, cry, vomit,....

I mean see for yourself.....google it!

I mean we have a media, that does not check the credibility of those who lead us. So here we have, the appointments of ministers in the highest and vital function in our nation that are not vetted by the parliament, nor the media, and so therefore not by citizens.

My question is then, what is a level of our curiosity as people. Simply, because that is how we learn, judge, develop, succeed. Curiosity never killed a cat, but it also indicate certain level of appettite for knowledge which is a sign of intelligence.

Now this guy Mkulo suppose to sit down with other finance ministers in the world, well educated form Harvard, Oxford, Cambridge, and negotioate some sophisticated deals, I mean they will have us for lunch. I mean can you imagine him talk some sense to Trevor Emannuel?

And then we wonder why the country resources are given away by the shit load? Well, lets give him a benefit of doubt on the ACCA from SW London, but Alameda? I mean is this is the best we have for a finance minister? Please make him a head master somewhere but a finance minister? Serious?

Bongo please!!!

But I suspect if you look futher you will found many more.

Enough said.(See below)
Mkulo CV:http://www.parliament.go.tz/bunge/mpcv.php?vpkey=413
http://en.wikipedia.org/wiki/Almeda_University
Almeda University
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jump to: navigation, search
Almeda University (possibly also called Almeda College or Almeda College & University[1][2]) is an unaccredited[1][3] American institution that offers various academic degrees through distance education, including a "Life Experience Degree". Almeda was founded in 1997.[4] Bears' Guide says that they could not locate the physical ..........

Programs and courses

Kwa hali kama hiyo tutegemee maendeleo kweli?
 

Kidatu

JF-Expert Member
Jun 11, 2008
1,503
1,250
This guy is professional Accountant, registered with respectable bord of ACCA, Has years of experience on accounting and finance. FULL STOP

Achakupayuka, ACCA non questionable, tuangalie utendaji wake sio wether ana Phd, Dr watever

ACCA nikiboko ya Account na Financial qualificaTION ZOTE ACHA WIVU!!!


Umetumwa hapa JF kuwachafua watu bila vielelzo vya kutosha, kabla ujaandika post hapa javini fikiria kwanza usilete blabla zako

Leta data za kukidhi hoja zako. Mbona unabishana na ukweli?
 

share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
5,813
2,000
Mkulo nilikwishamstukia siku nyingi. Hata mimi niliwahi kujiuliza juu ya elimu yake mapema sana. Nikaenda ku-surf website ya bunge nikapata hayo madudu. Bado nilikuwa natafuta data zaidi. Pengine siku si nyingi tutamwaga mchele hadharani. Mpaka sasa kwa haya ninayoyajua juu ya Mkulo, ni kichekesho huyu jamaa kuwa waziri wa fedha.
 

kanda2

JF-Expert Member
Apr 22, 2007
1,318
1,225
Kuna watu wengi wamesoma O Level hadi A Level kwa kujisomea wenyewe au Private Candidate hadi sasa inakubalika.

Mfano mtu akisema alisoma Diploma ya ualimu chuo cha Ualimu Chang'ombe mwaka 1992.hivi sasa uki google hakuna chuo hicho kwani kimekuwa chuo kikuu kishiriki DUCE.
au mtu akisema kasoma Institute of Development and Management-IDM MZUMBE 1988 akapata Advanced Diploma ya uhasibu.uki google hivi sasa hutapata kwani kipindi hicho Google haikuwepo.

Master unaweza kufanya bila ya kuwa na digri hata kidato cha sita mifano iko mingi hata ukiwa na elimu ya kidato cha nne unaweza kufanya masters.Professor Mwandosya hana digri ana diploma tu,Kamala ana advanced Diploma na akapata Masters.
Chuo kinaweza kubadili jina au kufa mifano ni mingi sana.

ACCA ni Qualification ya heshima kubwa duniani sana na bodi yake inashemika sana ni kati ya bodi bora duniani.

KUHUSU vyeti feki kuna Mary Nagu,Kamala,Nchimbi,MAHANGA,LUKUVI,DAVID MATHAYO,nk.
 

Kidatu

JF-Expert Member
Jun 11, 2008
1,503
1,250
Haya mambo ya private candidate kwa Tanzania yalianza lini hasa kwa O level na A level?.
 

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
5,566
1,195
Usidhani una dili na wajinga hapa. Umesema ACCA ndio qualification ya juu kabisa katika fani hiyo. Sasa kwa nini baada ya ACCA alijaribu tena kutafuta CPA feki?

Ndiyo mambo ya secret ID hizo. Unaweza kukuta mnamsema mwenyewe au mtu wake haha. Maana hata mimi nashangaa anavyo mtetea kwa jazba. Halafu anaongea kama anamjua personally so utakuta ni mtu wake wa karibu.
 

Jasusi

JF-Expert Member
May 5, 2006
11,524
2,000
Siku nyingi nilishahisi kuwa Mkulo ni kihiyo na tapeli. Lakini ndio hao Mwungwana anapenda ku rub shoulders nao.
 

Kite Munganga

JF-Expert Member
Nov 19, 2006
1,767
2,000
Siku nyingi nilishahisi kuwa Mkulo ni kihiyo na tapeli. Lakini ndio hao Mwungwana anapenda ku rub shoulders nao.


final.gif
Time it Takes to Get a Bachelor's Degree. Earning a bachelor's degree on the basis of your life experience or online equivalency test is a matter of days, not months or years. No classes and no admissions are required; hence, there is no need to wait for something you already deserve. You can apply to receive your degree in just 15 days
 

Boramaisha

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
820
0
Mbona wapo wengi why pick on Mkulo pekee? Baraza zima la Mawaziri lichunguzwe. Halikadhalika maofisini kuna Wakurugenzi na maofisa wa ngazi za juu na za chini 'vihiyo' wengi tu wanaopata nafasi hizo kwa upendeleo na kifisadi. Tutakuwa hatutendi haki kwa kushutumu mtu mmoja wakati system nzima imeoza. Binafsi namfahamu Mkulo, he is just an innocent guy ambaye upepo wa 'bahati' umemkumba!
 

Kachero

JF-Expert Member
May 25, 2009
216
0
Siku nyingi nilishahisi kuwa Mkulo ni kihiyo na tapeli. Lakini ndio hao Mwungwana anapenda ku rub shoulders nao.

Muungwana kwa kweli amefanya mambo ya ajabu,kama haya yanayosemwa huku kuhusu Mkulo na mawaziri wenzake ni kweli kwa nini asiwamwage na kuteua mawaziri wenye sifa zinazofaa.Kuna wakati muungwana alisema Urais wake hauna ubia na mtu.

Lakini kwa mambo yanavyokwenda inaonekana kuna mawaziri kibao vihio amewabeba mgongoni na matokeo yake ndio kuwa na serikali inayopaform vibaya kuliko zote tulizokwisha kuwa nazo.

Swali kwa nini asifanye mabadiliko kama kweli muungwana yuko makini na anachokifanya?
 

Nyauba

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
1,098
1,195
hivi viongozi wanafanyiwa vetting au system yote ndo ilivyooooooooooooooooo...
 

Boramaisha

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
820
0
hivi viongozi wanafanyiwa vetting au system yote ndo ilivyooooooooooooooooo...

Hujui kwamba Vetting ni 'fashion' ya zamani iliyopitwa na wakati! Hata wauza 'unga' na 'mafiosa' wanaweza kuteuliwa kushika nafasi nyeti!
 

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
23,711
2,000
kanda2 said:
Professor Mwandosya hana digri ana diploma tu,

kanda2,

..Prof.Mwandosya amesoma 1st degree na PhD ktk vyuo vinavyoheshimika UK.

..elimu yake huyu mzee siyo ya kubabaisha.mwanaHabari,Kidatu,Dilunga,Jasusi,steveD,

..nadhani ukiwa na ACCA bodi ya wahasibu inakutambua moja kwa moja.

..ninachoshangaa ni kwanini Mkulo atafute na CPA. labda alikuwa anafanya kama hobby tu. pia hailezwi kama ni CPA I au CPA II.

..kwa mtizamo wangu ACCA peke yake, bila advanced degree ktk masuala ya accouting, finance, au banking, haitoshi kwa waziri wetu wa fedha ktk zama hizi.

..Mkullo amepata MBA bila kuwa na 1st degree ya fani yoyote ile. hilo tu kwangu ni tatizo. Wizara ya fedha siyo mahali pa kuweka watu waliosoma kwa kuunga-unga.

..suala lingine ni kwamba CHUO kilichomtunukia MBA inaelekea ni FEKI.

NB:

..hata Mary Nagu naye ana matatizo kama ya Mustafa Mkullo.
 

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,293
1,250
Nimekuwa nikifuatilia mjadala huu kwa muda mrefu nikajaribu kutafuta CV ya Mustafa Haidi Mkulo sijui kwa CV hii hawezi kuwa waziri wa fedha au mapaka awe na PHD

(1) Almeda University-MBA 2004-2005
(2)S west London College-ACCA 1975-1977
(3)Strathmore College Nairobi-ACCA 1971-1973
(4)NBAA-CPA 1982
(5)Pugu sec school-O-level 1965-1968
(6)Private studies-A-level 1969-1970
(7)Zombo Midle School-Primary 1961-1964
(8)Rudewa Primary School-1956-1960

EMPLOYMENT
NSSF-Director General-1987-2000
National Developmemt Corp-Director of Operation-1985-1987
Ministry of Finance-Treasury registrar-1980-1982
National development Corp-Director Planning&Finance-1980-1982


Je kwa CV hii haitoshi kuwa waziri wa fedha nipeni jibu

Bongo Tambarare huyu Mzee bado anapeta tu......
 

adobe

JF-Expert Member
May 6, 2009
2,348
2,000
Nyie mnamteetea Dau hmna kitu.Makusanyo ya NSSF kupanda ni kutokana na hali ya uchumi pia kupanda na mishahara nayo kupanda.Kwani wakati wa Mkulo kulikuwa na Members wangapi NSSF na sasa wako wangapi?Dau kaleta mabadiliko katika imani za kidini tu.Kaanziasha udini NSSF utadani ni taasisi ya kiislamu.
 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,555
0
Tunaomba uongozi wa JF uwafanyie Watanzania wema na kuirudisha siasa hii thread

wiki hii tunaipumzisha ile ya website sasa tutajadili hii ya Mkulo...degree feki na mengineyo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom