idumu
Member
- Jun 5, 2009
- 44
- 1
Jaman Waziri mkullo si ameabika, Pinda wazri mkuu amenena jana kuwa Taasisi za DINI hazitakiwi kulipishwa kodi hata siku moja.
Nani mkweli sasa na nani anaumia ktk nchi hii???
Kama kweli JK yupo serious na nchi Mkullo amwambie aondoke??
TRA ndo wenye makosa maana hao ndo wanaleta watu kwa njia za panya kuwa ni makanisa na kusamehe kodi, Serikali iko wapi ?? Kwa nini wasiwe na team ya kwenda kila mzigo unapitishwa mpaka unakoenda na kudhibiti haya.
KICHEKESHO???