The case against MUSTAFA MKULLO

MwanaHabari

MwanaHabari

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2006
Messages
444
Likes
0
Points
0
MwanaHabari

MwanaHabari

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2006
444 0 0
SECTION: ECONOMICS; No. 656

LENGTH: 400 words

HEADLINE: TANZANIA: Dubious loan for CCM

BODY:
About fifty contributors of Tanzania's National Provident Fund (NPF), a parastatal social security system, are considering whether to sue Horace Kolimba, the minister of state in the presidential office, and Mustafa Mkullo, NPF director general for mismanaging 250 million Tanzanian shillings (US$ 470,000). Plaintiffs allege the sum was released contrary to NPF regulations and paid to Kolimba, the secretary general of the government party Chama cha Mapinduzi (CCM), which was the intended beneficiary of the funds. Mkullo is alleged to have taken the decision without consulting the NPF board of directors. Sources claim that only 10 million shillings ever reached the CCM bank account.

Kolimba counterclaims that NPF released 240 million shillings ($ 450,000) to SUKITA, a trading company which is linked with CCM, in the form of a six-month loan. Until recently, SUKITA operated with special tax-exemption facilities which the CCM government granted it, but when the procedure became "uncomfortable", the company turned to NPF for a "loan" and used it to import Kenyan beer for end-of-year festivities. However, SUKITA is coming under increasing market competition and it does not appear at all certain that it will be able to repay the loan and interest due to NPF. In that case, SUKITA executive director John Kapinga is likely to find himself joining the list of suspects possibly being interrogated by a judge on their role in the affair.

I.O.N.- The fifty plaintiffs who have threatened to sue have expressed their "astonishment" that the Organization of Tanzanian Trade Unions (whose secretary general, Bruno Mpangala, is a member of the NPF board of trustees) has not seen fit to intervene in this case of misappropriation of National Provident Fund assets from members' salaries.

LOAD-DATE: January 27, 1995
 
G

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Messages
8,570
Likes
119
Points
0
G

Game Theory

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2006
8,570 119 0
halafu watu hawaulizi huyo Mkullo alipokuwa DG wa NSSF makusanyo yalikuwa kiasi gani na sasa hivi baada ya Dau kuchukua uDG pale makusanyo ni kiasi gani

Maybe hao jamaa wa gazeti la THIS DAY wanaweza kuangalia annual reports za NSSF kablaya kuanza mashambulizi based on the data in hand

No wonder wanamshambulia Dau based on NON-ISSUES ambazo hawana evidence zozote za kuziback up

lakini si mnaua tena RM atakasirika baada ya kusoma habari hizi
 
P

Phillemon Mikael

JF Gold Member
Joined
Nov 5, 2006
Messages
9,294
Likes
3,027
Points
280
P

Phillemon Mikael

JF Gold Member
Joined Nov 5, 2006
9,294 3,027 280
mkullo is somehow decent,,,regarding late kolimba ,hosh sasa tukafukua makaburi ya hoja wakati kuna hoja za leo leo za kujadili,,,bora ungeleta hoja ya sumaye na mkopo wa nyumba wa 50million ,tujue kama umelipwa au la,,
 
Field Marshall ES

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2006
Messages
12,659
Likes
92
Points
0
Field Marshall ES

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2006
12,659 92 0
Kapingaa, aliiba weeeee Dabco mpaka akaiuwa, ndipo akapewa SUKITA, nakoo ameiba weeeeeeeeeee na watu kibao wameneemeka sana na SUKITA, mpaka ameiua, na bado anadunda tu kama vile hakuiba maana ni rafiki wa Kawawa, na anatoka huko kunyumba!
 
M

Mkandara

Verified Member
Joined
Mar 3, 2006
Messages
15,459
Likes
186
Points
160
M

Mkandara

Verified Member
Joined Mar 3, 2006
15,459 186 160
Mzee Es,
Hapa yanatakiwa mapinduzi kama ya China...Kisha wale wote waliohusika na kulihujumu taifa letu wafikishwe mahakamani kama ilivyotokea China...

Kinachosikitisha ni kwamba sasa hivi viongozi wetu ndio WAHUJUMU wa UCHUMI wetu, hii tena sio RUSHWA...hivi ni vitu viwili tofauti kabisa ambbavyo vinakumbatiwa Bongo. Hakika sasa inaingia akilini kwa nini Sokoine aliuawa!
Na vitendo kama hivi we can't make genuine progress in domestic development hata kama tutapewa mabillioni ya misaada... Ng'oooooo!
Until we addresses this stain to be washed out!
 
The Invincible

The Invincible

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2006
Messages
5,167
Likes
1,602
Points
280
The Invincible

The Invincible

JF-Expert Member
Joined May 6, 2006
5,167 1,602 280
Mkandara
Mimi naona tatizo kubwa kabisa tulilo nalo ni fikra potofu kwamba wananchi wanatakiwa kuwatumikia viongozi au serikali; na sio kinyume chake. Kuna mahala Mlalahoi alifafanua vizuri kwa nini kwa mfano IGP (and equivalent leaders in rank) anajisikia kumtumikia mkubwa wake(Rais na chama chake) badala ya kuwajibika kwa wananchi wote. Huo ni udhaifu mkubwa sana katika mfumo wa utawala wa nchi, kwani viongozi wakiwa jeuri, basi tumekwisha. Kwa maneno mengine, tunaendesha maisha yetu kwa huruma tu ya wakuu wetu. Na hii ndiyo hali halisi Tz.

Kama kweli tunataka mabadiliko, kazi iliyopo ni kubwa sana. Kutegemea huruma ya Mungu kutuletea kiongozi unique kama Nyerere, hiyo ni utopian kwa sasa. Such leaders appear once in a century. Pendekezo langu: Expand and empower middle class. Naamini kundi hili lina uwezo wa kuleta mabadiliko. Elite class na lower class zote zinachangia kuiua nchi hii. Kundi la kwanza (elite) linafanya hivyo kwa kujua na ujeuri, likilidanganya kundi la pili (lower).
 
Field Marshall ES

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2006
Messages
12,659
Likes
92
Points
0
Field Marshall ES

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2006
12,659 92 0
Mzee Invicible,

Heshima yako mkuu, strong points,

Bob,

Mimi ninazimia na bongo bro, yaani huyu jamaa Kapinga na jamaa mmoja anaitwa Nyakyoma, hawa wawili ndio walioiua Dabco na Gapex,

yaani mimi nina mshikaji wangu alikuwa Daily News/Uhuru, alipoandika habari za Nyakyoma kuiua Gapex, enzi zile, aliitwa na Butiku, na kuulizwa kwamba ana issue gani na Nyakyoma? Ilikuwa Jumatatu, Jummanne akaambiwa atahamishiwa ubalozi London! Hiii ilikuwa ni awamu ya kwanza!

Huyu jamaa Kapinga, damnnn!, yaani ile Dabco mabaiskeli huyu Mzee katia ndani ile mbaya, tena awamu ya kwanza, sasa wakampa SUKITA, yaani kule hata wafagiaji walijenga majumba bro! na leo huyu mzee yupo tu anakula penssion kama nothing happened!

Ndio maana World Bank wanashangaa, hii nchi haina mortgage lakini wananchi hasa viongozi wanaporomosha majumba, kila ukitolewa mkopo wa bara bara majumba huongezeka tuuuuuu!
 
MwanaHabari

MwanaHabari

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2006
Messages
444
Likes
0
Points
0
MwanaHabari

MwanaHabari

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2006
444 0 0
The Indian Ocean Newsletter

January 28, 1995

TANZANIA: Dubious loan for CCM

SECTION: ECONOMICS; No. 656

LENGTH: 400 words

About fifty contributors of Tanzania's National Provident Fund (NPF), a parastatal social security system, are considering whether to sue Horace Kolimba, the minister of state in the presidential office, and Mustafa Mkullo, NPF director general for mismanaging 250 million Tanzanian shillings (US$ 470,000). Plaintiffs allege the sum was released contrary to NPF regulations and paid to Kolimba, the secretary general of the government party Chama cha Mapinduzi (CCM), which was the intended beneficiary of the funds. Mkullo is alleged to have taken the decision without consulting the NPF board of directors. Sources claim that only 10 million shillings ever reached the CCM bank account.

Kolimba counterclaims that NPF released 240 million shillings ($ 450,000) to SUKITA, a trading company which is linked with CCM, in the form of a six-month loan. Until recently, SUKITA operated with special tax-exemption facilities which the CCM government granted it, but when the procedure became "uncomfortable", the company turned to NPF for a "loan" and used it to import Kenyan beer for end-of-year festivities. However, SUKITA is coming under increasing market competition and it does not appear at all certain that it will be able to repay the loan and interest due to NPF. In that case, SUKITA executive director John Kapinga is likely to find himself joining the list of suspects possibly being interrogated by a judge on their role in the affair.

I.O.N.- The fifty plaintiffs who have threatened to sue have expressed their "astonishment" that the Organization of Tanzanian Trade Unions (whose secretary general, Bruno Mpangala, is a member of the NPF board of trustees) has not seen fit to intervene in this case of misappropriation of National Provident Fund assets from members' salaries.

GEOGRAPHIC: TANZANIA (94%);

COUNTRY: TANZANIA TANZANIA (94%);

LOAD-DATE: January 27, 1995
 
Mr. Zero

Mr. Zero

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2007
Messages
10,518
Likes
3,892
Points
280
Mr. Zero

Mr. Zero

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2007
10,518 3,892 280
Wametoa fisadi mmoja wametuletea mwingine!!! JK ameweka mtu wa kumchotea mahela 2010. Si unajua tena mambo ya CCM. Lakini nafikiri is better than Meghji!!!
 
M

MaMkwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2007
Messages
284
Likes
3
Points
0
M

MaMkwe

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2007
284 3 0
Wametoa fisadi mmoja wametuletea mwingine!!! JK ameweka mtu wa kumchotea mahela 2010. Si unajua tena mambo ya CCM. Lakini nafikiri is better than Meghji!!!
Kumbe mmajua kuwa ni fisadi mbona hamkusema kabla hajachaguliwa? Aliyeficha hili ndiyo fisadi zaidi. Huyu bwana alikuwa Naibu Waziri wa Fedha lakini mkashabikia Zakia ajiuzulu, afukuzwe, hakuna aliyetaja ufisadi wa naibu waziri. Kapandishwa cheo ndiyo mnakuja kusema na huyu naye ni fisadi
 
Mr. Zero

Mr. Zero

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2007
Messages
10,518
Likes
3,892
Points
280
Mr. Zero

Mr. Zero

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2007
10,518 3,892 280
Kumbe mmajua kuwa ni fisadi mbona hamkusema kabla hajachaguliwa? Aliyeficha hili ndiyo fisadi zaidi. Huyu bwana alikuwa Naibu Waziri wa Fedha lakini mkashabikia Zakia ajiuzulu, afukuzwe, hakuna aliyetaja ufisadi wa naibu waziri. Kapandishwa cheo ndiyo mnakuja kusema na huyu naye ni fisadi
Unafikiri JK hawajui mafisadi. Mpaka sasa wangapi wako linked na ufisadi lakini bado wanatanua kwenye serikali. Kuhusu huyu bwana habari ya hapo juu inamlink na ufisadi!!!!!! Anyway, kwa definition yako SISIM wote mafisadi!!!! Thank you.
 
K

KakindoMaster

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2006
Messages
1,351
Likes
58
Points
145
K

KakindoMaster

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2006
1,351 58 145
Kumbe mmajua kuwa ni fisadi mbona hamkusema kabla hajachaguliwa? Aliyeficha hili ndiyo fisadi zaidi. Huyu bwana alikuwa Naibu Waziri wa Fedha lakini mkashabikia Zakia ajiuzulu, afukuzwe, hakuna aliyetaja ufisadi wa naibu waziri. Kapandishwa cheo ndiyo mnakuja kusema na huyu naye ni fisadi

MaMkw..

alikuwa aonekani kama si tishio, sasa ndo ameonekana. Jk alijua
 
Kitila Mkumbo

Kitila Mkumbo

Verified Member
Joined
Feb 25, 2006
Messages
3,347
Likes
102
Points
160
Kitila Mkumbo

Kitila Mkumbo

Verified Member
Joined Feb 25, 2006
3,347 102 160
Kumbe mmajua kuwa ni fisadi mbona hamkusema kabla hajachaguliwa? Aliyeficha hili ndiyo fisadi zaidi. Huyu bwana alikuwa Naibu Waziri wa Fedha lakini mkashabikia Zakia ajiuzulu, afukuzwe, hakuna aliyetaja ufisadi wa naibu waziri. Kapandishwa cheo ndiyo mnakuja kusema na huyu naye ni fisadi

Ebo! Huyo aliyemteua si ndiyo ana nyenzo zote za kuwajua hao mafisadi halafu unataka sisi ndiye tumwambie?
 
Lunyungu

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
8,842
Likes
96
Points
145
Lunyungu

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
8,842 96 145
Kumbe mmajua kuwa ni fisadi mbona hamkusema kabla hajachaguliwa? Aliyeficha hili ndiyo fisadi zaidi. Huyu bwana alikuwa Naibu Waziri wa Fedha lakini mkashabikia Zakia ajiuzulu, afukuzwe, hakuna aliyetaja ufisadi wa naibu waziri. Kapandishwa cheo ndiyo mnakuja kusema na huyu naye ni fisadi
Mamkwe unasema maneno haya ua uchungu wa Mkullo kuletwa hapo ama kupaishwa ama unaleta unazi watu tuko kazini ?Maana maneno mengine bwana .Kama mimi sikusema ama sikujua na wewe ulijua kwa nini usiseme? We expected a major reshuffle ama changes lakini naona naona bado hazina anaweza watu wake wa kumlindia maslahi wacha tuhe na BoT nk ataona moto mwingine . Mimi naona kama kuna kundi fulani katika uteuzi ni 90% what does this imply ama ni mimi tu nimeona vibaya ?
 
K

Kakalende

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2006
Messages
3,256
Likes
46
Points
135
K

Kakalende

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2006
3,256 46 135
Wametoa fisadi mmoja wametuletea mwingine!!! JK ameweka mtu wa kumchotea mahela 2010. Si unajua tena mambo ya CCM. Lakini nafikiri is better than Meghji!!!
Na asiye na dhambi aanze kurusha jiwe!

Kama tunatafuta mtu asiye na doa miongoni mwa wanasiasa wa Tanzania, huenda tusipate mtu. Hii ni pamoja walio katika upinzani, wote walikuwa hukohuko sisiemu na flashback zao zinatia wasiwasi.

Tuvute subira, mengine yalitokea miaka zaidi ya 10 nyuma huenda wakawa wamebadilika.
 
M

Masatu

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2007
Messages
3,285
Likes
25
Points
135
M

Masatu

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2007
3,285 25 135
Kwa hili la Mkulo kukabidhiwa fuko la fedha JK kachemsha big time! Wanaomjua wanasema jamaa hawezi hata kufungua email yake!

In the turbulent times ktk maeneo ya fedha BOT, EPA etc kumpa dhamana ile Mkulo ni sawa na kujaribu silaha vitani!
 
Kamanda

Kamanda

Senior Member
Joined
Dec 5, 2007
Messages
140
Likes
115
Points
60
Kamanda

Kamanda

Senior Member
Joined Dec 5, 2007
140 115 60
Tuombe Mungu wasituletee mambo yetu yale ambayo yametuondolea Lowassa na wat wake. Jamani tuwaangalie sana hawa kwani wanaweza kukumbwa na mwangwi wa waliotangulia na wao kuwa zaidi. Wakigundulika tu waondoke haraka kabla ya fimbo ya wananchi haijawakumba. namhurumia mtu wangu Ngeleja, sikujua kama naye alikuwa kwenye mtandao na anaweza kuaminika namna hiyo. Tutamwangalia sanma asituweke watu wa Sengerema katika ufisadi. Hata hivyo kila heri na tunawaombea kwa sasa. lakini kuloo Mhhh...Chenge ...mhaaaa haya tuone
 
Lunyungu

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
8,842
Likes
96
Points
145
Lunyungu

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
8,842 96 145
Kwa hili la Mkulo kukabidhiwa fuko la fedha JK kachemsha big time! Wanaomjua wanasema jamaa hawezi hata kufungua email yake!

In the turbulent times ktk maeneo ya fedha BOT, EPA etc kumpa dhamana ile Mkulo ni sawa na kujaribu silaha vitani!

Masatu siku zote za maisha yangu nimekujua kuwa ni mtu wa namna hii.Mkweli na mmwaga point sasa ule unazi sijui huwa unatoa wapi .Safi sana mkuu . Lakini huyu Mkullo hana connection na yule Mhindi wa jumba la vioo vyeupe ndugu Manji na baadhi ya wazungusha pesa pale mjini Darisalama ?
 
Kamanda

Kamanda

Senior Member
Joined
Dec 5, 2007
Messages
140
Likes
115
Points
60
Kamanda

Kamanda

Senior Member
Joined Dec 5, 2007
140 115 60
Hivi kweli Dk. Mwinyi na jeshi wapi na wapi na zaidi sana msaidizi wake ni Dk. Nchimbi...hapatatosha hapo, lazima kutazuka ngumi pale wizarani, wanajeshi wakae chonjo...Nchimbi anajulikana kuwa ni mjuaji na Mwinyi hata kubali kuonekana anaburuzwa...natarajia kikwete kupangua baraza lake hivi karibuni. Aksante Yesu
 
K

Katibu Tarafa

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2007
Messages
980
Likes
33
Points
145
K

Katibu Tarafa

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2007
980 33 145
mimi nashukuru kwa sababu ametupa sehemu ya kuanzia kurusha makombora,sasa akae mkao wa kula
 
Forum statistics

Threads 1,239,074
Members 476,371
Posts 29,341,279